0 votes
5.3k views
in Fasihi by
Eleza sifa za maigizo.

1 Answer

0 votes
by
  1. Hutolewa mbele ya hadhira
  2. Lazima pawe na fanani na hadhira
  3. Hutolewa mahali maalum
  4. Waigizaji huvalia maleba
  5. Huiga hali ya maisha ya kisasa
  6. Lazima pawe na tendo la kuigizwa
  7. Hufungamana na shughuli za kijamii

Related questions

0 votes
1 answer
0 votes
1 answer
0 votes
1 answer
0 votes
1 answer
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...