0 votes
944 views
in Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine by

2 Answers

0 votes
by
msemaji ni Dk. Maboga.
Alikuwa darasani katika chuo kikuu Cha Kivukoni.
Alikuwa akimsemea msicha mmoja aliyeuliza swali darasani.
Kilicho mchomchea kusema maneno hayo ni kuwa alimini swali alilouliza msicha yule halikustahili kulizwa na mwanafunzi yeyote katika darasa like. 
0 votes
by
Hii ni hadithi ya mapenzi ya kifaurongo
Maneno haya ni ya dkt mabonga akimwambia Dennis wakiwa chuo kikuu
Sifa zake ni 
1msemaji ni mwenye kejeli
2Dharau 3 msomi 
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...