0 votes
2.2k views
in Isimu Jamii by
Ni nini maana ya isimu jamii

13 Answers

0 votes
by
Ni taaluma inayochunguza uhusiano kati ya watu na lugha

0 votes
by
Ni taaluma inayochunguza lugha na uhusiano wa jamii kisayansi
0 votes
by
Ni taaluma inayochunguza uhusiano uliopo baina ya lugha na jamii
0 votes
by
Nisayansi inayo chunguza maingiliano kati ya lugha na binadamu????
0 votes
by
Ni taaluma inayachunguza namna lugha inavyo tumika na Jamii


0 votes
by
Ni taaluma inachungusa uhusiano ulioko baina ya lugha na jamii
0 votes
by
In sayansi inayochunguza matumizi ya lugha
0 votes
by
Ni lugha inayotumiwa katika jamii

0 votes
by
Cikweli

0 votes
by
Ni taaluma ya lu
gha inayotumiwa katika

Related questions

0 votes
1 answer
asked Dec 26, 2021 in Isimu Jamii by DomitilaMboya
0 votes
1 answer
0 votes
0 answers
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...