Tuesday, 24 October 2023 08:00

Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Maswali - Grade 2 End Term 3 Exams 2023 Set 1

Share via Whatsapp

SEHEMU YA 1 : KUSKILIZA NA KUZUNGUMZA
Mwalimu atmuuliza mwanafunzi maswali yafuatayo

Mwakimu: Hujambo!

Mwanafunzi: Ajibu ..........

Mwalimu: Kwa majina kamili unaitwaje?

Mwanafunzi: Ajibu..........

Mwalimu: Je, ni mnyama mgani hubeba mizigo?

Mwanafunzi: Ajibu..........

Mwalimu: Ni nani anaendesha gari la shule?

Mwanafunzi: Ajibu...........

Mwalimu: Mtu anaendesha ndege huitwa?

Mwanafunzi: Ajibu ...........

SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu hiki kwa sauti

Miriam na Stella walikua marafiki sana. Miriam alikua na vitu vya kucheza kama kamba, mpira, baiskeli. Stella hakua na chochote. Lakini Miriam alimsaidia na vitu vya kucheza. 

Siku moja Miriam aligonjeka sana na Stella hakukuwa na mtu wa kucheza naye. Alienda kuona Miriam kwao. Siku hiyo Miriam alifurahia sana kuona rafiki yake wa ukweli.

Join our whatsapp group for latest updates

Download Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Maswali - Grade 2 End Term 3 Exams 2023 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.