Tuesday, 24 October 2023 08:02

Shuguli za Kiswahili Maswali na Majibu - Grade 2 End Term 3 Exams 2023 Set 1

Share via Whatsapp

SEHEMU YA : KUSOM KWA UFAHAMU
Soma hadithi ifwatayo kisha ujibu maswali

Mwili wa binadamu huhitaji kutunzwa vyema. Ni lazima tule vyakula bora vya kutulinda na maradhi, kutukuza na kutupa nguvu za kucheza na kufanya kazi. Tule mboga na matunda ili tujikinge na magonjwa, ugali na wali ili tupate nguvu na maziwa, mayai na maharagwe ili tukue.

  1. Mwili wa binadamu huhitaji? ________
  2. Andika aina ya matunda nne
  3. Kuku hutupa ______ (maziwa, mayai)
  4. Ugali na ____ hutupa nguvu.
  5. Mboga na matunda zinakinga ______ (mwili, nguvu)

SEHEMU YA NNE: SARUFI
Tumia 'hiki', 'huu' au 'huyu'

  1. _____ ni moto wetu.
  2. Mti _____ ni wake.
  3. Kitanda ____ ni chake.

Andika kwa nambari ama maneno

  1. Thelathini na mbili ______
  2. 16 ______

Andika majina ya picha hizi

  1.  
    MathsGrade1Q35
  2.  
    MathsGrade1Q36

Andika kwa wingi

  1. Mtoto yule analia.
  2. Kiatu changu ni kipya.

Andika kwa herufi ndogo

  1. UBAO  _____
  2. NYOTA ______

Jaza 'li' au 'fa'

  1. Mwalimu a ___ beba samaki jana.
  2. Mimi si____ enda shuleni kesho.

Andika kinyume cha maneno haya

  1. Cheka _____
  2. Mnono _____
  3. Umbo hili huitwa _____
    MathsGrade1Q37
  4. Ana mabawa maridadi sana _____ (nyuki, kipepeo, mbu)
  5. Kanusha sentensi hii
    Mtoto huyu ni mrefu _______

Kamilisha methali na Kitendawili

  1. Pole pole ndio _____ (njia, mwendo)
  2. Nyumba yangu haina mlango ____ (gunia, yai)

Andika vizuri

  1. ndukusa ______
  2. mulaka ______
  3. Haongei, ni ______ (bubu, kiwete)

Chagua jibu sahihi

  1. Tunatembea _____ mguu. (na, kwa, la)
  2. Nilikula chakula _____ (tamu, mtamu, kitamu)

SEHEMU YA TANO: KUANDIKA
IMLA

  1.  
  2.  
  3.  
  4.  
  5.  

MWONGOZO WA KUSAHIHISHA

  1. Kutunzwa vyema
  2. Kupitiwa na mwalimu 
  3. mayai 
  4. wali
  5. mwili 
  6. huyu 
  7. huu 
  8. hiki 
  9. 32
  10. kumi na sita 
  11. ufagio 
  12. kikombe
  13. Watoto wale wanalia
  14. Viatu vyetu ni vipya
  15. ubao 
  16. nyota 
  17. li 
  18. ta 
  19. lia 
  20. mwembamba 
  21. pembetatu
  22. kipepeo 
  23. Mtoto huyu si mrefu 
  24. mwendo
  25. yai
  26. sanduku 
  27. mulaka 
  28. bubu  
  29. kwa
  30. tamu 

SEHEMU YA TANO: KUANDIKA IMLA - Mwalimu Kupitia

Join our whatsapp group for latest updates

Download Shuguli za Kiswahili Maswali na Majibu - Grade 2 End Term 3 Exams 2023 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.