Maswali
SEHEMU YA KWANZA
KUSIKILIZA NA KUONGEA
- Habari?
(Mwanafunzi anajibu) - Hujambo?
(Mwanafunzi anajibu)
SEHEMU YA PILI
KUSOMA
- Soma silabi hizi
b t k w z p d - Soma neno fupi
paa saa taa uko kitu tai
SEHEMU YA TATU
KISWAHILI LUGHA
- Rembesha silabi hizi kwa rangi upendayo.
- Linganisha maneno haya.
Paka dada
hapa paka
zaza lala
lala zaza
dada hapa - Unganisha kisha usome.
- Andika jina la picha hizi
Majibu
SEHEMU YA KWANZA
Mwanafunzi anapswa kujibu maswali vizuri
SEHEMU YA PILI
Mwanafunzi anapaswa kusoma maneno na silabi yaliyoandikwa
SEHEMU YA TATU
- Mwanafunzi anapaswa kupaka rangi silabi alizopewa. Rangi yoyote inakubalika
-
-
- Kitabu, yai
Please download this document as PDF to read all it's contents.
Why PDF Download?
- You will have the content in your phone/computer to read anytime.
- Study when offline.(No internet/data bundles needed.)
- Easily print the content to hard copy.