0 votes
2.6k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Bainisha aina za vishazi tegemezi katika sentensi ifuatayo: 

  • Kipakatalishi kilichonunuliwa jana kitatumiwa inavyotakiwa na mwenyewe.

1 Answer

0 votes
by
Kishazi tegemezi kirejeshi/kivumishi – kilichonunuliwa jana

Kishazi tegemezi kielezi cha namna – inavyotakiwa na mwenyewe
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...