0 votes
2.7k views
in Kigogo by
Kigogo ni kioo cha jamii za Kiafrika. Jadili

1 Answer

+1 vote
by
 • Uongozi mbaya unaoendelezwa na majoka
 • Unyakuzi wa ardhi majoka kipande cha ardhi palipokuwa soko la chapa kazi na kujenga hoteli ya kifahari majoka and majoka Resort.
 • Mauaji – vijana waoandama wanauawa. Mpinzani k.m Jabali Vitisho wanasagamoyo wanaishi kwa hofu. Tunu kuvunjwa mguu.
 • Matumizi ya vyombo vya dola. Askari wanatawanya waandamanaji pasi kupata haki zao.
 • Maandamano na migomo wafanyikazi wanagoma kutetea haki zao. Walimu na wauguzi.
 • Uongozi wa kinasaba/ukoo familia ya Ngao inatawala Ngao bin Marara, Majoka bin marara aliyekusudia kumrithisha mwanawe Ngao Junior.
 • Ufisadi wanasagamoyo wanatozwa kodi ya juu
 • Ubadhirifu wa mali ya umma. Pesa za mkopo zinatumika kufadhili mradi wa uchongaji vinyago.
 • Umaskini Ashua anaenda kuomba msaada kwa majoka Ukoloni mamboloea 
 • Juhudi za mapinduzi
 • Ubaguzi wa wa kinjisia hasa kwa wanawake – Tunu alikejeliwa kuwa angereuliwa kama kiongozi wa sagamoyo.
 • Matumizi mabaya ya vyombo vya habari. 10x2 = 20
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...