0 votes
1.4k views
in Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine by

Ukirejelea hadithi zifuatazo, eleza jinsi maudhui ya mapenzi na asasi ya ndoa yanavyojitokeza

  • Ndoto ya Mashaka

1 Answer

0 votes
by
  1. Kuna ndoa ya Mashaka na Waridi
  2. Kuna ndoa ya mtumwa na mumewe mzee Rubeya
  3. Tatizo la kwanza ni ndoa ya kulazimishwa. Mashaka na Waridi walitoka kwenye matabaka mawili tofauti
  4. Waridi - tabaka la kitajiri
  5. Mashaka - tabaka la maskini
  6. Kuna kutohusisha wanawake katika ndoa. Mamake Waridi hakuhusishwa katika harusi
  7. Ndoa inakumbwa na tatizo la malazi bora - upendo, kujikubali, ukosefu wa taasubi ya kiume
  8. Kuna changamoto zinazojitokeza baada ya kifo cha mmoja. Mashaka anawachwa yatima
  9. Kuna utengano katika ndoa. Waridi anatengana na mumewe kutokana na hali ngumu ya kiuchumi

Related questions

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...