0 votes
727 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
recategorized by

Andika visawe vya kauli zilizopigiwa mstari.  

  • Musei alikumbwa na matatizo mengi lakini hakukata tamaa.

1 Answer

0 votes
by
  • kabiliwa / tingwa / patwa / fikwa /zongwa/alizunguliwa (MNYAMBULIKO)/alitatizwa/alitanzwa/ alisibiwa/aliandamwa/alisumbuliwa/alisakamwa/alitaswa/alisibwa.
  • hakwenda nguu / hakufa moyo
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.8k questions

8.2k answers

6 comments

590 users

...