0 votes
5.8k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Andika sifa bainifu za sauti. 

 1. e:-
 2. n:-

1 Answer

0 votes
by
 1.  
  1. Irabu ya mbele – hutamkwa kutumia sehemu ya mbele ya ulimi
  2. Irabu ya midomo – hutamkwa midomo ikiwa imetandazwa
 2.  
  1. sauti ya ufizi
  2. Nazali
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.3k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...