0 votes
865 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Bainisha vitenzi halisi kwa kuvipigia mstari

  1. Nyanchama hakufika mkutanoni
  2. Horukut amerudi kutoka masoni

1 Answer

0 votes
by
  1. Hakufika
  2. Amerudi
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...