0 votes
31.8k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Sauti mwambatano ni nini?

1 Answer

0 votes
by
sauti mwambatano ni sauti ambazo j=hujumuisha konsonanti mbili au zaidi kabla ya irabu kasha kutamkwa kama silabi moja.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...