0 votes
19.8k views
in Isimu Jamii by
Taja sifa tano za lugha.

11 Answers

0 votes
by
  1. Hakuna lugha iliyobora kuliko/kushinda zingine. Lugha zote ni sawa.
  2. Kila lugha ina sauti zake zilizo tofauti na nyingine.
  3. Lugha hubadilika kutegemea mazingira , aina ya tukio, wakati n awatumizi wa lugha hiyo.
  4. Lugha ina uwezo wa kukua.
  5. Lugha hufa, kwa msamiati wake kupotea.
0 votes
by
Kila lugha hina sifa zake

0 votes
by
1.kila lugha ni muhimu, hakuna lugha Bora kushinda zingine.
2.Lugha hukua kwa kupata msamiati.
3.Lugha hufa kwa kupoteza msamiati.



0 votes
by
lugha ni mfumonasibu,wa kubahatisha.
0 votes
by
kazi za sauti za lugha ni mawasiliano
0 votes
by
1.hakuna lugha iliyo Bora kuliko nyingine
2.kila lugha in sifa zake
3.lugha hubadilika kutegemea mazingira
4.lugha hukua
5. Lugha hufa
0 votes
by
Lugha hukua 
Lugha huburudisha
0 votes
by
Hakuna lugha iliyobora kuliko/kushinda zingine. Lugha zote ni sawa.
Kila lugha ina sauti zake zilizo tofauti na nyingine.
Lugha hubadilika kutegemea mazingira , aina ya tukio, wakati n awatumizi wa lugha hiyo.
Lugha ina uwezo wa kukua.
Lugha hufa, kwa msamiati wake kupotea.
0 votes
by
Inaweza kufa.  Inaweza kufa.  Kula lugha ina sifa zake.  Lugha zote ni Sawa. Hubadilika kutegemea mazingira
0 votes
by
1 Huwa Na Adabu Na heshima   

Related questions

0 votes
2 answers
0 votes
3 answers
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...