0 votes
599 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Eleza tofauti kati ya sauti za vipasuo na vikwamizo

1 Answer

0 votes
by
Vipasuo - Hewa huzuiwa kabisa na kuachiliwa kw ghafla kwa mpasho k.m p& b

Vikwamizo – Ala za kutamkia hukaribiana na kutoa sauti ya mkwaruzo wa hewa au msuguano k.m.(f/v/lt gh)

Related questions

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.5k questions

6.7k answers

6 comments

590 users

...