0 votes
763 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Tambulisha aina ya virai vilivyotumika katika sentensi zifuatazo

  1. Walisomba changarawe 
  2. Kwa hofu alimkabidhi matokeo

1 Answer

0 votes
by
  1. Walisomba changarawe 
    • walisomba (kirai kitenzi)
  2. Kwa hofu alimkabidhi matokeo 
    • Kirai kihusishi(kwa)
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...