Bibi huyu ni mpole uso wake wenye haya huuinamisha kila mara.Huyu – Kivumishi kiashiria.Wake – kivumishi kimilikishi.Wenye – Kivumishi cha pekee.
5.9k questions
8.2k answers
6 comments
590 users