0 votes
2.2k views
in Kigogo by
edited by

“Wamenimaliza… wamenigeuka.”

 1. Weka dondoo hili katika muktadha wake.
 2. Eleza namna msemaji alivyomalizwa na kugeukwa. 
 3. Eleza jinsi wahusika wengine walivyomalizwa katika tamthilia. 

2 Answers

0 votes
by
 1.  
  1. Maneno ya mama pima yaani Asiya
  2. Anamwambia Tunu
  3. Wako katika soko chapakazi
  4. Hii ni baada ya kupinduliwa kwa seirkali ya majoka ambaye mamapima alikuwa mfuasi wake.
 2.  
  1. Mambo yameanza kumuendeda segemnege (Kinyume)
  2. Serikari iliyopinduliwa ilikuwa inamwinda ili imuue.
  3. Anasema wamegeuka hata kufika kuimwaga pombe yake.
  4. Anaomba ulinzi kutoka kwa akina wanasogamoyo na tunu anamhakikishia usalamu.
 3.  
  1. Tunu
   Mwanaharakati huyu na kuvunjwa mguu, Mpango wa awali ulikuwa ni kumuua. Hata hivyo alipona kwa bahati tu.
  2. Ngurumo
   Ngurumo ananyongwa na chatu hata baada ya kuwa na manufaa makubwa katika utekelezaji maasi katika uongozi wa majoka.
   Kijana huyu anajitolea kufanya kila analoambiwa na utawala lakini anaangamizwa kwa sababu alijua siri nyingi za uongozi .
  3. Chopi
   Ni mlinzi wa majoka ambaye anatekeleza maovu ya utawala kama vile mateso kwa kenga ipasavyo. Hivyo katika mwendelezo uo huo majoka na kenga wakubaliana kumuua Chopi ili asitoe siri zao.
  4. Jabali
   Alikuwa mpinzani wa karibu sana wa majoka. Alifanyiwa njama akauwawa kwa vile kilichoonekana kama ajali ya barabarani.
0 votes
by
Msemaji:Mama Pima
Msemewa:Tunu
Mahalo:Soko la Chapakazi
Mazungumzo:Majoka alimwagia pombe yake ilhali alikuwa  amepewa kibali Cha kuusa pombe.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...