0 votes
1.6k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Tunga sentensi moja ili kutofautisha maana ya maneno yafuatayo pafu and bafu.

  1. Pafu –
  2. Bafu – 

1 Answer

0 votes
by
  1. Pafu – Kiungo cha mwili
  2. Bafu – chumba cha kuogea
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...