0 votes
629 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Kiimbo ni nini?

7 Answers

0 votes
by
Ni kupanda na kushuka Kwa sauti mtu anapoongea
0 votes
by
Ni upandishaji na ushushaji wa sauti unaotokea wakati mtu anapozungumza.
0 votes
by
F
0 votes
by
Ni upandishaji na ushushaji wa sauti pindi mtu anapotamka
0 votes
by
Ni upandaji na ushukaji wa sauti katika sentensi

0 votes
by
Ni mawimbi ya sauti yanayo panda Na kushuka mtu anapoongea Kwa mfano mtu anaposema"baba yupo nyumbani" ni tofauti Na wakati anapouliza "baba yupo nyumbani?
0 votes
by
Ni mawimbi ya sauti yanayo panda Na kushuka mtu anapoongea Kwa mfano mtu anaposema"baba yupo nyumbani" ni tofauti Na wakati anapouliza "baba yupo nyumbani?

Related questions

0 votes
4 answers
0 votes
1 answer
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.5k questions

6.7k answers

6 comments

590 users

...