0 votes
1.3k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Kiimbo ni nini?

11 Answers

0 votes
by
Ni kupanda na kushuka Kwa sauti mtu anapoongea
0 votes
by
Ni upandishaji na ushushaji wa sauti unaotokea wakati mtu anapozungumza.
0 votes
by
F
0 votes
by
Ni upandishaji na ushushaji wa sauti pindi mtu anapotamka
0 votes
by
Ni upandaji na ushukaji wa sauti katika sentensi

0 votes
by
Ni mawimbi ya sauti yanayo panda Na kushuka mtu anapoongea Kwa mfano mtu anaposema"baba yupo nyumbani" ni tofauti Na wakati anapouliza "baba yupo nyumbani?
0 votes
by
Ni mawimbi ya sauti yanayo panda Na kushuka mtu anapoongea Kwa mfano mtu anaposema"baba yupo nyumbani" ni tofauti Na wakati anapouliza "baba yupo nyumbani?
0 votes
by
 mawimbi ya sauti yanayo panda Na kushuka mtu anapoongea
0 votes
by
Kiimbo no upandaji na ushukaji wa sauti unaofanyika wakati ambao mwanadamu anapozungumza.
0 votes
by
Kiimbo ni sauti inayo panda na kushuka mtu anapoongea

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...