Kiswahili (Mufti) - Class 8 Schemes of Work Term 3 2023

Rate this item
(3 votes)

RATIBA YA MAFUNZI YA KISWAHILI
DARASA LA 8
MUHULA 3 2023

WIKI KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA MAFUNZO NYENZO ASILIA MAONI
 1  1 Kusoma  Ufahamu 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini maneno magumu na matumizi yake, Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu. -
 • Kujadili somo la awali.
 
 • Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
 • Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
 • Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
 • Kuwapa zoezi.
 • Kujadili majibu sahihi. 

 • Maelezo ubaoni
  Kamusi sanifu
 • Kiswahili Mufti uk 233
 
   2  Sarufi  Matumizi ya “na” 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini matumizi ya ‘na’ na kutunga sentensi zenye matumizi yake.  
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini matumizi ya ‘na’.
 • Kutunga sentensi zenye matumizi ya ‘na’.
 • Kufanya zoezi.
 • Kusahihisha na kufanya marudio.
 • Maelezo ubaoni
 • Vifaa halisi 
 
 • Kiswahili Mufti uk 236
 
   3  Kusikiliza na kuongea   Misemo,Nahau 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kutaja misemo mbalimbali, kutunga nahau na kutunga sentensi zenye misemo na nahau. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini misemo na nahau.
 • Kutaja misemo mbalimbali.
 • Kutaja nahau mbalimbali.
 • Kufanya zoezi. 
 
 • Kamusi ya semi
 • Wanafunzi 
 • Kiswahili Mufti uk 238
 
   4  Msamiati  Akisami 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini akisami na kujadili maswali ya zoezi.
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini akisami.
 • Kutaja akisami mbalimbali.
 • Kufanya zoezi.
 • Kusahihisha na kufanya marudio. 
 • Vifaa halisi
 • Ubao 
 
 • Kiswahili Mufti uk 239
 
   5  Kuandika  Sentensi 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kuandika sentensi sanifu kwa hati nadhifu. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili mahitaji ya hati nadhifu.
 • Kuwaelekeza wanafunzi kuandika sentensi faridi.
 • Kufanya zoezi.
 • Kusahihisha na kufanya marudio.
 
 • Maelezo ubaoni
 
 •  Kiswahili Mufti uk 239
 
 2  1  Kusoma  Ufahamu 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini maneno magumu na matumizi yake, Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu. 

 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
 • Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
 • Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
 • Kuwapa zoezi.
 • Kujadili majibu sahihi. 
 
 • Maelezo ubaoni
 • Kamusi sanifu
 • Kiswahili Mufti uk 242 
 
   2  Sarufi  “a” unganifu 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kung’amua matumizi ya ‘a’ unganifu, kuitambua katika ngeli mbalimbali na kufanya zoezi.
 • Kujadili somo la awali.
 • Kung’amua matumiz ya ‘a’ unganifu.
 • Kuijadili katika ngeli mbalimbali.
 • Kufanya zoezi.
 • Kusahihisha na kufanya marudio. 
 • Vifaa halisi
 • Ubao 
 • Kiswahili Mufti uk 245
 
   3  Kusikiliza na kuongea  Methali 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kutambua methali mbalimbali na kutunga sentensi. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kutambua methali mbalimbali.
 • Kukamilisha methali kadhaa.
 • Kutunga sentensi zenye methali. 
 • Kamusi ya methali
 • Ubao 
 • Kiswahili Mufti uk 246
 
   4  Kuandika  Ushairi 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini mashairi mbalimbali, kutambua muundo wa shairi na kujibu maswali ya zoezi. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini mashairi mbalimbali.
 • Kutambua muundo wa shairi.
 • Kufanya zoezi.
 • Kusahihisha na kufanya marudio. 
 • Maelezo ubaoni
 • Wanafunzi
 •   Kiswahili Mufti uk 248
 
   5  Msamiati  Teknolojia 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini teknolojia, kutambua vifaa vya teknolojia na kung’amua matumizi ya baadhi ya vifaa hivyo. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini teknolojia.
 • Kutambua vifaa vya teknolojia.
 • Kujadili matumizi ya vifaa hivyo. 
 • Maelezo ubaoni
 • Picha mbalimbali
 •  Kiswahili Mufti uk 249
 
 3  1  Kusoma  Ufahamu 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini maneno magumu na matumizi yake, Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu.  
 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
 • Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
 • Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
 • Kuwapa zoezi.
 • Kujadili majibu sahihi.
 •  Maelezo ubaoni
 • Kamusi sanifu 
 •  Kiswahili Mufti uk 251
 
   2  Sarufi  Vielezi 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini vielezi, kutambua aina mbalimbali ya vielezi na kutunga sentensi. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini maana ya vielezi.
 • Kutambua aina mbalimbali.
 • Kubaini vielezi katika sentensi.
 • Kufanya zoezi. 
 •  Maelezo ubaoni 
 •  Kiswahili Mufti uk 254
 
   3  Kusikiliza na kuongea  Sentensi zenye taksiri 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini taksiri na kutunga sentensi zenye taksiri. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini taksiri.
 • Kutaja taksiri mbalimbali.
 • Kutunga sentensi zenye taksiri. 
 •  Maelezo ubaoni
 • Vifaa halisi 
 •  Kiswahili Mufti uk 259
 
   4  Kuandika  Mkato wa maneno 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kung’amua mkato wa maneno na kujibu maswali ya zoezi. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kung’amua mkato wa maneno.
 • Kufanya zoezi.
 • Kusahihisha na kufanya marudio. 
 •  Maelezo ubaoni 
 •  Kiswahili Mufti uk 260
 
   5  Msamiati  Misemo 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini misemo kwa kina na kutambua maana ya misemo. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini misemo kwa kina.
 • Kutaja misemo mbalimbali.
 • Kutambua maana ya misemo.
 • Kufanya zoezi.
 • Kamusi ya misemo 
 •  Kiswahili Mufti uk 260
 
 4  1  Kusoma   Ufahamu

 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini maneno magumu na matumizi yake, Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili maneno magumu na matumizi yake
 • Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
 • Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
 • Kuwapa zoezi.
 • Kujadili majibu sahihi.
 •  Maelezo ubaon
 • Kamusi sanifu
 •   Kiswahili Mufti uk 263
 
   2  Sarufi  Matumizi ya “katika ” ni

 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kung’amua matumizi ya‘katika’ ‘ni’ ‘kwenye’ na kujibu maswali ya zoezi.
 • Kujadili somo la awali.
 • Kung’amua matumizi ya‘katika’ ‘ni’ ‘kwenye’ kwa usanifu
 • Kufanya zoezi.
 • Kusahihisha na kufanya marudio. 
 • Maelezo ubaoni
 • Vifaa halisi 
 •  Kiswahili Mufti uk 264
 
   3  Kusikiliza na kuongea  Maamkizi vitawe 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini maamkizi katika nyakati mbalimbali na kutaja maana ya vitawe. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili maamkizi katika nyakati mbalimbali.
 • Kutaja vitawe na maana mbalimbali.
 • Kujadili vitawe.
 •  Maelezo ubaoni
 • Kamusi sanif
 • Bango la visawe, vitate na vitawe 
 •  Kiswahili Mufti uk 267-268
 
   4  Kuandika  Insha 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kuandika insha ya kusisimua
 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili kauni za uandishi.
 • Kuandika insha ya kusisimua.  
 •  Maelezo ubaoni
 •  Kiswahili Mufti uk 268
 
   5  Msamiati  Misemo 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini misemo kwa kina na kutambua maana ya misemo. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini misemo kwa kina.
 • Kutaja misemo mbalimbali.
 • Kutambua maana ya misemo
 • Kufanya zoezi. 
 
 •  Maelezo ubaoni
 •  Kiswahili Mufti uk 268
 
 5  1  Kusoma  Ufahamu 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini maneno magumu na matumizi yake,
 • Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu.
 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
 • Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
 • Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
 • Kuwapa zoezi.
 • Kujadili majibu sahihi. 
 •  Maelezo ubaoni
 • Kamusi sanifu 
 •  Kiswahili Mufti uk 270
 
   2  Sarufi  Viulizi 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini viulizi mbalimbali na kufanya zoezi.
 •  Kujadili somo la awali.
 • Kubaini maana ya kiulizi.
 • Kutaja viulizi mbalimbali.
 • Kutunga sentensi zenye viulizi.
 • Kufanya zoezi.
 •   Maelezo ubaoni
 • Vifaa halisi 
 •  Kiswahili Mufti uk 273
 
   3  Kusikiliza na kuongea  Kiambishi “ki” 

 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini maana ya kiambishi nakutunga sentensi zenye kiambishi. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini maana ya kiambishi.
 • Kutunga sentensi zenye kiambishi.
 • Kujadili sentensi hizo. 
 •  Maelezo ubaoni 
 •  Kiswahili Mufti uk 276
 
   4  Kuandika  Sentensi zenye vivumishi sahihi 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kutaja vivumishi mbalimbali na kufanya zoezi.
 •  Kujadili somo la awali.
 • Kutaja vivumishi mbalimbali.
 • Kubaini muundo wa vivumishi katika sentensi.
 • Kufanya zoezi.
 •   Maelezo ubaoni 
 •  Kiswahili Mufti uk 277
 
   5  Msamiati  Madini vito 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini madini na vito na kutaja baadhi yazo.
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini madini na ivito.
 • Kutaja baadhi ya madini na ivito.
 • Kujibu maswali ya zoezi.  
 •  Maelezo ubaoni
 • Kamusi
 •  Kiswahili Mufti uk 278
 
 6  1  Kusoma  Ufahamu 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini maneno magumu na matumizi yake, Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu.
 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
 • Kuwateuwa wanafunzi wasome kwa zamu.
 • Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
 • Kuwapa zoezi.
 • Kujadili majibu sahihi. 
 •  Maelezo ubaoni
 •  Kiswahili Mufti uk 281
 
   2  Sarufi Mnyambuliko wa vitezi 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kunyambua vitenzi katika hali ya kutendeka, kutendesha na kutendeshwa. -
 • Kujadili somo la awali.
 • Kunyambua vitenzi katika kauli zilizotolewa.
 • Kufanya zoezi. 
 •  Maelezo ubaoni
 • Vifaa halisi 
 •  Kiswahili Mufti uk 285-287
 
   3  Kusikiliza na kuongea  Vitawe 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini vitawe na kukamilisha zoezi.
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini vitawe.
 • Kutaja vitawe mbalimbali.
 • Kufanya zoezi.
 • Maelezo ubaoni 
 •  Kiswahili Mufti uk 289
 
   4  Kuandika Maelezo na mpangilio wa sentensi 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kuandika hati nadhifu na kuakifisha sentensi ifaavyo.
 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili mahitaji ya hati nadhifu.
 • Kujadili uakifishaji wa sentensi.
 • Kuandika sentensi zenye maendeleo shwari.
 • Kufanya zoezi.
 • Maelezo ubaoni 
 •  Kiswahili Mufti uk 290
 
   5  Msamiati  Wizara mbalimbali 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini wizara na kutaja wizara mbalimbali.
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini wizara.
 • Kutaja wizara mbalimbali.
 • Kung’amua kazi za wizara mbalimbali.
 • Kujadili msamiati kwa jumla. 
 •  Mabango
 • Ubao 
 •  Kiswahili Mufti uk 291
 
 7  1  Kusoma   Ufahamu 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini maneno magumu na matumizi yake,
 • Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu. 
 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili maneno magumu na matumizi yake.
 • Kuwateua wanafunzi wasome kwa zamu.
 • Kuwaelekeza kujibu maswali ya ufahamu.
 • Kuwapa zoezi.
 • Kujadili majibu sahihi. 
 •  Maelezo ubaoni
 • Kamusi sanifu 
 •  Kiswahili Mufti uk 294
 
   2  Sarufi  Ukubwa na udugo 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kutambua ukubwa na udogo wa nomino mbalimbali.
 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili nomino katika hali ya wastawi na ukubwa.
 • Kutambua udogo wa nomino mbalimbali.
 • Kufanya zoezi. 
 • Maelezo ubaoni
 • Vifaa halisi 
 •  Kiswahili Mufti uk 296
 
   3  Kusikiliza na kuongea  Hotuba 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini muundo wa hotuba na kuhutubia hotuba fupifupi.  
 • Kujadili somo la awali.
 • Kubaini muundo wa hotuba.
 • Kuwaelekeza wanafunzi kuhutubia hotuba fupi fupi.
 • Kujadili muundo wa hotuba.
 •  Maelezo ubaoni
 • Wanafunzi 
 •  Kiswahili Mufti uk 300
 
   4  Kuandika  Insha 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kuandika insha ya kusisimua kwa kufuata maagizo.
 • Kujadili somo la awali.
 • Kujadili kauni za uandishi.
 • Kuandika insha ya kusisimua. 
 •   Maelezo ubaoni
 •  Kiswahili Mufti uk 300
 
   5  Msamiati   Ukoo 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 • Kubaini ukoo na kutambua majina mbalimbali ya ukoo.
 •  Kujadili somo la awali.
 • Kubaini ukoo
 • Kutambua majina ya ukoo.
 • Kujadili maswali ya zoezi. 
 •  Maelezo ubaoni
 • Kamusi sanifu
 •   Kiswahili Mufti uk 300
 
 8 MAREJELEO NA MAJARIBIO YA MTIHANI    
Read 607 times Last modified on Thursday, 24 November 2022 11:23

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.