Kiswahili (KwaDarasa) - Class 8 Schemes of Work Term 2 2023

Rate this item
(0 votes)

RATIBA YA SOMO LA KISWAHILI DARASA LA NANE MUHULA PILI – 2023

WK

KIP

FUNZO

MADA

SHABAHA

SHUGHULI ZA MAFUNZO

NYENZO

ASILIA

MAONI

1

 

MARUDIO

Mada mbalimbali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuyarudia  aliyoyapitia katika muhula wa kwanza ili kujitayarisha kwa kazi ya muhula wa pili

 • Kuuliza na kujibu maswali ya kauli na ya kimaandishi.
 • Karatasi za mitihani iliyopita

Vitabu mbalimbali vya marudio.

 

2

 

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Mahojiano

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia maneno ya adabu na heshima kwa njia sahihi

 • Kuuliza na kujibu maswali
 •  Kuigiza mahojiano kati ya Vundi na daktari
 • Ubao
 • Zoezi kitabuni mwa wanafunzi.

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu)uk.  69

 

2

KUSOMA

Ufahamu

Panga

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi
 • Ubao
 • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.

,,

Uk. 70

 

3

KUANDIKA

Insha ya kimalizio

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kimalizio kwa hati nadhifu

 • Kutunga sentensi
 • kujibu maswali
 • Kuandika sentensi
 • vidokezo Ubaoni

Uk. 72

 

4

SARUFI

Viulizi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 kutumia viulizi  vya viambishi ngeli kwa kutunga sentensi sahihi

 • Kuunda sentensi
 • Kutoa mifano ya viulizi
 • Kufanya zoezi
 • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi

 

Uk. 72

 

5

MSAMIATI

Vitawe

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa vitawe kwa  kuunda sentensi sahihi na kujibu maswali

 • kueleza maana ya itawe
 • kuunda sentensi
 •  Kufanya zoezi
 • chati yenye mifano ya vitawe

Uk. 75

 

3

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Sentensi zenye miundo mbalimbali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja na kutoa mifano ya aina za sentensi mbalimbali

 • kutoa maelezo
 •  kutoa mifano ya sentensi
 • kutunga sentensi
 •  Uhusika wa wanafunzi
 • maelezo kitabuni mwa wanafunzi

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  76

 

2

KUSOMA

Ufahamu:

Moto

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa  kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa  hiyo kwa usahihi.

 • Kusoma
 • kueleza maana ya maneno mapya
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Taarifa kitabuni mwa wanafunzi.

 

Uk 78

 

3

KUANDIKA

Insha ya masimulizi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kuvutia kwa hati nadhifu

 • kuandika insha ya masimulizi
 • Vidokezo ubaoni

Uk 80

 

4

SARUFI

Matumizi ya katika, ni na kwenye

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maatumizi sahihi ya ni, katika, na kwenye.

 • Kutaja matumizi ya ni, katika na kwenye
 • Kufanya zoezi
 • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi

 

Uk 80

 

5

MSAMIATI

Teknologia

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa teknologia kwa  kutunga sentensi sahihi .

 • Kutaja na kujadili msamiati wa teknologia
 • Kufanya zoezi
 • Picha na michoro mbalmbali.

 

Uk 82

 

4

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Taarifa mbalimbali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma na kusikiliza taarifa mbalimbali, kutaja maudhui. Na kutaja msamiati uliotumika

 • Kusoma
 •  kujadili taarifa mbalimbali
 • Uhusika wa wanafunzi
 • mjarida na magazeti, redio

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  84

 

2

KUSOMA

Maktaba

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma makala mbalimbali na kujibu maswali kwa usahihi.

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi
 • makala na vitabu mbalimbali.

Vitabu kutoka maktaba

 

3

KUANDIKA

Insha ya methali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya methali kwa hati nadhifu

 • kuandika insha
 • Maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 84

 

4

SARUFI

Kauli ya kutendeka

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutunga sentensi sahihi akitumia maneno katika hali ya kutendeka

 • kuuliza na kujibu maswali
 • Kuunda sentensi
 • Maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 85

 

5

MSAMIATI

Ukoo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja msamiati wa ukoo kwa usahihi.

 • Kutaja msamiati wa ukoo
 • Kufanya zoezi
 • Chati yenye msamiati wa ukoo

Uk. 86

 

5

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

methali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutoa mifsno ya mithali na visawe vya methali hiyo

 • Kuuliza na kujibu maswali.
 • kutaja methali na visawe vyake
 • Kamusi ya methali

 

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi:kiswaili kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  87

 

2

KUSOMA

shairi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma na kukariri shairi dawa za kulevya kwa sauti murua.

 • kusoma na kukariri shairi
 • kujibu maswali
 • shairi kitabuni mwa wanafunzi

UK. 88

 

3

KUANDIKA

Insha ya kumbukumbu

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kumbukumbu kulingana na mpangilio muafaka

 • kutoa mifano ya viunganishi
 • Kuunda sentensi
 • Kufanya zoezi
 • maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 90

 

4

SARUFI

Udogo, wastani na ukubwa wa nomino

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika sentensi atakazopewa katika udogo, wastani na ukubwa

 • kutaja ukubwa na udogo wa nomino
 • Kuunda sentensi
 • Kufanya zoezi
 • maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 91

 

5

MSAMIATI

viwandani

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja vifaa na matumizi ya baadhi ya vyombo vya viwandani          

 • Kujadili msamiati wa viwandani Kuunda sentensi
 • Kufanya zoezi
 • Michoro na picha vifaa vya viwandani

Uk. 93

 

6

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Misemo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kutao mifano ya misemo na maana yake

 •  kutaja misemo, kueleza maana na matumizi yake

 

 • mifano ya misemo kitabuni mwa wanafunzi na ubaoni

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  94

 

2

KUSOMA

Ufahamu:

Kazi ni kazi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi
 • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.

Uk. 95

 

3

KUANDIKA

Insha  ya mazungumzo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya mazungumzo kwa hati nadhifu

 • kuandika insha ya mazungumzo

 

 •  vidokezo ubaoni

Uk. 97

 

4

SARUFI

Usemi halisi na usemi wa kawaida

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa halisi au usemi wa taarifa

 • kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa halisi au usemi wa taarifa
 • Mifano ubaoni
 • maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 98

 

5

MSAMIATI

Matunda

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja aina ya matunda na kutumia msamiati wa matunda kutunga sentensi.

 • Kutaja aina ya matunda
 • Kutunga sentensi
 • Picha na michoro mbalimbali.

Uk. 99

  

7

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

vitendawili

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutega na kutegua viendawili kwa ustadi

 • kutega na kutegua viendawili
 • uhusika wa wanafunzi

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.100 

 

2

KUSOMA

Ufahamu;

Uanaskauti

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa  kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa  hiyo kwa usahihi.

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi
 • Picha na makala katika kitabu cha mwanafunzi.

Uk.101

 

3

KUANDIKA

Insha ya masimulizi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa hati nadhifu.

 • kuandika insha

 

 • vidokezo ubaoni

Uk. 102

 

4

SARUFI

Matumizi ya ‘na

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja matumizi sahihi ya  “na

 • kutunga sentensi
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi
 • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
 • mifano ubaoni

Uk. 102

 

5

MSAMIATI

Mimea

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja majina ya mimea mbalimbali na idara zake katika serikali.

 • Kuandika majina ya mimea kutoka kwa jedwali
 • jedwali kwenye kitabu cha wanafunzi

Uk. 105

 

8

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Majadiliano

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja hoja muafaka kwenye mjadala kuhusu haki na usawa wa jinsia.

 • kushiriki mjadala
 • Uhusika wa wanafunzi

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 106

 

2

KUSOMA

Ufahamu

Matatu

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifai kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi
 • taarifa kitabuni mwa wanafunzi.

Uk. 107

 

3

KUANDIKA

Insha ya kuendeleza

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kuendeleza kwa hati nadhifu.

 • Kuandika insha
 • Vidokezo ubaoni

Uk.108

 

4

SARUFI

Kauli ya kutendesha

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika vitenzi katika kauli ya kutendesha kwa usahihi

 • Kuunda sentensi
 • kunyambua vitenzi
 • Kufanya zoezi
 • mifano ubaoni
 • Na kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 109

 

5

MSAMIATI

Viumbe vya kike na kiume

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja msamiati wa viumbe vya kike na kiume na kuutumia kuunda sentensi sahihi.

 • Kujadili msamiati Kuunda sentensi
 • Kufanya zoezi
 • Mifano ubaoni

Uk. 111

 

9

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Taarifa:

Hotuba ya mfamasia

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza kwa makini taarifa itakayosomwa na kujibu maswali ya kauli kwa usahihi

 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kuigiza hotuba

 

 • Makala kitabuni

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  54

 

2

KUSOMA

Hotuba

Elimu ni ufunguo wa maisha

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma hotuba kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye hotuba hiyo kwa usahihi.

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali ya ufahamu
 • Kufanya zoezi
 • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.

Uk.113

 

3

KUANDIKA

Insha ya mazungumzo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya mazungumzo a kulingana na muundu ufaao.

 • Kuandika insha
 • Vidokezo ubaoni

Uk.  114

 

4

SARUFI

Usemi halisi na usemi wa taaarif0a

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa halisi au usemi wa taarifa

 • kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa halisi au usemi wa taarifa
 • Mifano ubaoni
 • maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Uk.114

 

5

MSAMIATI

Nomino za makundi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuendelea kupanua kiwango chake cha msamiati kwa kutumia ipasavyo  nomino za makundi

 • Kutaja nomino za makundi
 • Kuunda sentensi
 • Kufanya zoezi
 • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi

Uk. 117

 

10

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Shairi

Hongera Bi Maathai

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kukariri shairi kwa mahadhi

 • kusoma na kukariri shairi
 • kuuliza na kujibu maswali
 • Uhusika wa wanafunzi

 

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk119

 

2

KUSOMA

Maktaba

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma majarida  mbalimbali na kujibu maswali kwa usahihi.

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali

 

 • majarida  mbalimbali.

Majarida kutoka maktaba

 

3

KUANDIKA

Insha ya kumalizia

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kumalizia kwa hati nadhifu

 • Kuandika insha
 • Vidokezo ubaoni

 

Uk. 121

 

4

SARUFI

Kauli ya kutendeshwa

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika vitenzi katika kauli ya kutendeshwa kwa usahihi

 • Kuunda sentensi
 • kunyambua vitenzi
 • Kufanya zoezi
 • mifano ubaoni
 • Na kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 121

 

5

MSAMIATI

Vitate

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa vitate kwa  kuunda sentensi sahihi na kujibu maswali

 • kueleza maana ya vitate
 • kuunda sentensi
 •  Kufanya zoezi
 • chati yenye mifano ya vitate

Uk. 75

 

11

MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

 

Read 281 times Last modified on Wednesday, 23 November 2022 12:06

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.