Wednesday, 23 November 2022 12:09

Kiswahili (KwaDarasa) - Class 8 Schemes of Work Term 1 2023

Rate this item
(4 votes)
 WK   KIP   FUNZO   MADA   SHABAHA   SHUGHULI ZA MAFUNZO   NYENZO   ASILIA   MAONI 
 1  -  MARUDIO   Mada mbalimbali  ufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuyarudia aliyoyapitia katika darasa la saba ili kujitayarisha kwa kazi ya darasa la nane. Kuuliza na kujibu maswali ya kauli na ya kimaandishi. Karatasi za mitihani iliyopita Vitabu mbalimbali vya marudio.  
 2      1 KUSIKILIZA NA KUONGEA  Maamkuzi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumi maneno ya adabu na heshima kwa njia sawa Kuuliza na kujibu maswali
kuigizama
-Ubao
-Zoezi kitabuni mwa wanafunzi.
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu)uk. 1  
 2 KUSOMA  Ufahamu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.
 " Uk 2  
 3 KUANDIKA Sentensi zenye miundo mbalimbali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufafanua sentensi zenye miundo mbalimbali (neno moja, fupi, mseto/ndefu)
  • Kutunga sentensi
  • kujibu maswali
  • Kuandika sentensi
Mifano Ubaoni   Uk. 3  
 4 SARUFI Viambishi ngeli Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
  • kutumia ya viambishi ngeli kutunga sentensi sahihi
  • Kuunda sentensi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
-Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi   Uk. 4  
 5 MSAMIATI Tarakimu (10,000,001- 30,000,000) Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa tarakimu (10,000,001- 30,000,000) kwa kuunda sentensi sahihi.
  • kuandika tarakimu kwa maneno
  • chati zenye tarakimu
  Uk. 7  
 3      1 KUSIKILIZA NA KUONGEA  Adabu na heshima Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuigiza mazungumzo yanayohusisha maneno ya adabu na heshima.
  • kutunga sentensi
  • kuigiza mazungumzo ya adabu na heshima
  • Uhusika wa wanafunzi
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 9  
 2 KUSOMA Ufahamu:
Usafi wa mazingira
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ufahamu kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • kueleza maana ya manono mapya
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Taarifa kitabuni mwa wanafunzi.
  • mazingira ya shuleni
 Uk. 10  
 3 KUANDIKA Insha ya wasifu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika wasifu wa kiongozi ampedaye kwa hati nadhifu.
  • Kuandika wasifu
 Vidokezo ubaoni  Uk. 12  
 4 SARUFI  Vivumishi visivyochukua ngeli Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya vivumishi, kutoa mifano ya vivumishi vya sifa kapa, kutunga sentensi sahihi akiyumia vivumishi vya sifa.
  • Kueleza maana ya vivumishi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
 Uk. 13  
 5 MSAMIATI Akisami Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa akisami kwa kutunga sentensi sahihi .
  • Kutaja na kujadili msamiati wa akisami
  • Kufanya zoezi
  • Picha na michoro mbalmbali.
 Uk. 13  
 4      1 KUSIKILIZA NA KUONGEA  Hadithi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma hadithi kwa sauti na kusimulia hadithi hiyo kwa maneno yake mwenyewe.
  • Kusoma
  • kusimulia hadithi
Uhusika wa wanafunzi KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 15  
 2 KUSOMA Ufahamu:
Msiba wa kujitakia hauna kilio
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.
 Uk. 17  
 3 KUANDIKA Imla Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika maneno atakayosomewa kwa maendelezo sahihi.
  • kusikiliza kwa makini na kuandika maneno
Mifano ya maneno kitabuni mwa wanafunzi  Uk. 20  
 4 SARUFI Vihisishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya vihisishi, kutoa mifano ya vihisishi, kutunga sentensi sahihi akionyesha hisia tofauti
  • kueleza maana ya vihisishi, kutoa mifano
  • Kuunda sentensi
Maelezo kitabuni mwa wanafunzi  Uk. 21  
 5 MSAMIATI Pembe kumi na sita za dunia Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa dira kwa usahihi.
  • Kutaja pembe 16 za dira
  • Kufanya zoezi
michoro mbalimbali ubaoni  Uk. 22  
 5      1 KUSIKILIZA NA KUONGEA  Vitendawili Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutega na kutegua vitendawili kwa ustadi
  • Kuuliza na kujibu maswali.
  • Kusoma taarifa

Picha na michoro ubaoni na kitabuni

 

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi:kiswaili kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 24

 

 
 2 KUSOMA  Maktaba Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma kitabu chochote akipendacho cha hadithi kutoka kwa maktaba
  • Kusoma
  • kueleza hadithi iliyosomwa
vitabu vya hadithi kutoka maktaba Vitabu vya hadithi vilivyosomwa  
 3 KUANDIKA  Barua ya kirafiki Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika barua ya kirafiki kwa hati nadhifu
  • kueleza mundo wa barua ya kirafiki
  • kuandika barua
mfano wa barua ya kirafiki ubaoni  Uk. 25  
 4 SARUFI  Viunganishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya viunganishi, kutoa mifano ya viunganish, kutunga sentensi sahihi akitumia viunganishi.
  • kutoa mifano ya viunganishi
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
Mifano ubaoni
-zoezi kitabuni mwa wanafunzi
 Uk. 26  
 5 MSAMIATI  Sayari Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja sayari
  • Kujadili msamiati
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
Michoro na picha zinazoonyesha
sayari
 Uk. 28  
 6  -  TATHMINI YA MASOMO   " Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujibu maswali ya mtihani kwa usahihi kulingana na mafunzo ya awali.
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • kufanya mitihani
Mtihani wa katikati mwa muhula  Karatasi za mitihani  
 7                                                               MAPUMZIKO MAFUPI
 8      1 KUSIKILIZA NA KUONGEA  Mafumbo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufumba na kufumbua mafumbo kwa ustadi. kufumba na kufumbua mafumbo Uhusika na wanafunzi KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 29  
 2 KUSOMA  Ufahamu: zilizala ufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.
 Uk. 29  
 3 KUANDIKA  Insha: Barua rasmi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi kwa mpangilio muafaka.
  • kuandika barua rasmi
  • Kufanya zoezi
mfano wa barua rasmi ubaoni na kitabuni  Uk. 31  
 4 SARUFI  Vielezi vya mkazo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutoa mifano ya Vielezi vya mkazo na kutunga sentensi sahihi akitumia Vielezi vya mkazo
  • Kuunda sentensi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
 Mifano ubaoni  uk. 33  
 5 MSAMIATI  Maliasili Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja aina za maliasili na kutumia msamiati wa maliasili kutunga sentensi.
  • Kutaja aina za maliasili
  • Kutunga sentensi
-Picha na michoro mbalimbali.  Uk. 34  
 9      1 KUSIKILIZA NA KUONGEA  Misemo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja misemo na kueleza maana yake.
  • Kutaja mifano ya misemo.
  • Kuuliza na kujibu maswali.
 mifano ya misemo kitabuni na ubaoni.  

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.36

 
 2 KUSOMA  Ufahamu: Kazi ipewe nani Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma mazungumzo kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye mazungumzo hayo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Kuigiza mazungumzo
 -Picha na makala katika kitabu cha mwanafunzi.   Uk. 37  
 3 KUANDIKA  Ushairi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja kanuni za ushairi na kutunga shairi fupi kuhusu jambo alipendalo.
  • kuataja kanuni za ushairi
  • Kutunga shairi fupi
 Mifano ubaoni   Uk 41  
 4 SARUFI Kirejeshi -amba pamoja na ngeli Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia kirejeshi –amba na ngeli za A-WA,U-I, KI-VI, LI-YA, U-YA na YA-YA kutunga sentensi sahihi.
  • kutunga sentensi
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • mifano ubaoni
  Uk 42  
 5 MSAMIATI  Msamiati wizara  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja wizara mbalimbali na idara zake katika serikali.
  • Kutaja wizara na idara mbalimbali.
  • kujibu maswali
  • Picha na michoro mbalimbali
 Uk. 44  
 10      1 KUSIKILIZA NA KUONGEA  Methali  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja methali mbalimbali na kueleza maana ya methali hizo.
  • Kutaja methali na maana yake
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • kufanya zoezi
 Mifano ya methali ubaoni na kitabuni mwa wanafunzi KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 45  
 2 KUSOMA  -Ufahamu
Shairi:- Ukimwi janga hatari
 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma shairi kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye shairi hilo kwa usahihi.  
  • Kusoma
  • kukariri shairi
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • shairi kitabuni mwa wanafunzi.
 Uk. 47  
 3 KUANDIKA  Insha ya maelezo  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kwa hati nadhifu.  Kuandika Insha  Vidokezo ubaoni  Uk. 49  
 4 SARUFI  Matumizi ya ndi- na si Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja matumizi sahihi ya viambishi ndi na si
  • Kuunda sentensi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
  •  mifano ubaoni Na kitabuni mwa wanafunzi
 Uk.49  
 5 MSAMIATI  Mahakamani  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja msamiati wa Mahakamani na kuutumia kuunda sentensi sahihi.
  • Kujadili msamiati Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
  • picha na michoro mbalimbali
 Uk. 52  
 11      1 KUSIKILIZA NA KUONGEA Taarifa:
Hotuba ya mfamasia
 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza kwa makini taarifa itakayosomwa na kujibu maswali ya kauli kwa usahihi
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kuigiza hotuba
 Makala kitabuni  KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 54  
 2 KUSOMA  Ufahamu
Ajira ya watoto
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali ya ufahamu
  • Kufanya zoezi
  • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.
 Uk.55  
 3 KUANDIKA  Insha ya hotuba  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika isha ya hotuba kulingana na muundu ufaao.  Kuandika insha  vidokezo ubaoni  Uk. 57  
 4 SARUFI  Vivumishi vya A -unganifu  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja vivumishi vya A unganifu na kutunga sentensi zenye vivumishi hivyo.
  • kutaja vivumishi vya A unganifu
  • Kutunga sentensi
 Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi  Uk. 59  
 5 MSAMIATI  Tarakimu  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuendelea kupanua kiwango chake cha msamiati kwa kutumia ipasavyo tarakimu za (30,000,001 -60,000,000)
  • Kutaja tarakimu
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
 Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi  Uk. 60  
 12      1 KUSIKILIZA NA KUONGEA  Majadiliano  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kushiriki mjadala kwa kutoa hoja muhimu kuhusu faida na hasara za mbuga za kuhifadhi wanyama pori.
  • Kushiriki mjadala
  • kuuliza na kujibu maswali
 Uhusika wa wanafunzi  KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 61  
 2 KUSOMA  Ufahamu
Haki za mtoto ni zipi?
 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.
  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kujadili taarifa
  • Taarifa katika kitabu cha wanafunzi.
 Uk. 61  
 3 KUANDIKA  Insha ya kuendeleza Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kuendeleza kwa hati nadhifu  Kuandika insha
  •  Vidokezo ubaoni
 Uk. 64  
 4 SARUFI  Vielezi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja aina za vielezi kwa kutoa mifano sahihi.
  • kutaja aina za vielezi
  • kutoa mifano
 Maelezo kitabuni mwa wanafunzi  Uk. 65  
 5 MSAMIATI  Mekoni Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa akisami kuunda sentensi sahihi.
  • Kujadili msamiati
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
Vifaa asili kama mbuzi, mwiko, uteo, susu n.k  Uk. 67  
 13   - MAREJELEO  Mada zote zilizosomwa awali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kurudia yale yote aliyojifunza ili kujitayarisha kwa mtihani wa mwisho wa muhula. Kuuliza na kujibu maswali ya kauli naya kimaandishi. Mazoezi ya marudio kitabuni mwa wanafunzi KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 1-68  
 14                    MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA KUSAHIHISHA NA KUNAKILI MATOKEO
Read 471 times Last modified on Thursday, 24 November 2022 08:51

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.