Kiswahili Schemes - Grade 1 Schemes of Work Term 3 2023

Rate this item
(0 votes)

WIKI

KIPINDI

MADA

MADA NDOGO

MATOKEO MAALUM YANAYOTOKEA

MASWALI DADISI

MAPENDEKEZO YA SHUGLI ZA UFUNZAJI

KAZI YA ZIADA

NYEZO

MAONI

1

Kwanza

Kusoma:

Hadithi

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:

kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi ili kuimarisha mawasilian

Je, ni nini maana ya usafi gani?

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.

Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma na kusomewa hadithi.

Mwalimu asikize sentensi za wanafunzi wanapotunga.

Wanafunzi 

Uk 91 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi  ya lugha gredi 1

 

 

Pili

Kusoma:

hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazohusu usafi wa mwili katika kujenga stadi ya kusoma

Je, ni matayarisho yapi unayofanya kabla ya kuja shuleni?

Mwanafunzi asome hadithi baada ya mwalimu, kisha pamoja na mwalimu na baadaye akiwa peke yake au wawili wawili

Fanya zoezi la kwanza ukurasa 93

Tarakilishi 

Uk 92-93 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

Tatu

Kusoma:

hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma hadithi zinazohusu usafi wa mwili katika kujenga stadi ya kusoma

 

Unafikiri ni nini kitakachotokea katika hadithi hii?

Mwanafunzi aeleze maana na matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi

Mwalimu asahihishe zoezi la mwanafunzi.

Wanafunzi

Uk 93

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

2

Kwanza

Sarufi:

Matumizi ya huyu na hawa

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:

kutambua matumizi ya huyu na hawa katika mawasiliano kusoma sentensi zinazojumuisha huyu na hawa ili kuimarisha mawasiliano

Je, unajua ni kwa nini tunatumia huyu na hawa

Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya huyu na hawa k.m. Huyu anakata kucha - Hawa wanakata kucha; Huyu anachana nywele - Hawa wanachana nywele.  

Mwanafunzi aandike sentensi zinazojumuisha matumizi ya huyu na hawa

Mwalimu asikize wanafunzi wakisoma.

Tarakilishi 

Uk94 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

Pili

Sarufi:

Matumizi ya huyu na hawa

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze 

kuandika sentensi kwa kutumia huyu na hawa katika kuimarisha stadi ya kuandika kuthamini utunzi wa sentensi sanifu katika mawasiliano.

Je, utatumia neno lipi kuonyesha kwamba mtu ni mmoja? 

Watu wakiwa wengi unaonyesha vipi?

Mwanafunzi aweza kujaza mapengo kwenye tarakilishi kupitia mchezo wa kuburura na kutia kapuni.

Mwalimu asikize majibu wa mwanafunzi kuhusu maswali aliyowapa.

Uk 95-96 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 

Wanafuzi

 

 

Tatu

Vyakula vya kiasilia

Sauti na majina ya herufi za Kiswahili

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha stadi ya kuzungumza

Ni sauti zipi unazoweza kutamka?

Mwanafunzi atambue sauti lengwa /s/, /b/, /y/ na /z/ katika maneno. 

Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili na kama darasa.

Mwalimu asikize sauti ambazo mwanafunzi anaweza tamka.

Wanafunzi 

Uk97-98 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 

Wanafunzi

 

3

Kwanza

Vyakula vya kiasilia

Sauti na majina ya herufi za Kiswahili

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze 

kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno katika kuimarisha stadi ya kuzungumza

Unajua kusoma herufi na maneno yapi?

Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya) kutamkia sauti. 

Mwanafunzi atambue  herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi

Mwalimu asikilize mwanafunzi akisoma.

Wanafunzi Uk 98

Oxford Kiswahili

Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

Pili

Vyakula vya kiasilia

Sauti na majina ya herufi za Kiswahili

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze 

kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma

Unajua kusoma herufi na maneno yapi?

Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa. 

Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.

Mwalimu atazame mwanafunzi akisoma silabi katika uk 99 kisha utunge maneno.

Wanafunzi 

Uk 98-99 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

Tatu

Vyakula vya kiasilia

Sauti na majina ya herufi za Kiswahili

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze 

kusoma herufi za sauti moja katika kuimarisha stadi ya kusoma

Unajua kusoma herufi na maneno yapi?

Wanafunzi waweza kushirikishwa kusikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri wa kutamka sauti lengwa. 

Mwanafunzi aweza kufinyanga maumbo ya herufi inayowakilisha sauti iliyofunzwa.

Mwalimu aanaglie mwanafunzi akifanya zoezi.

Wanafunzi 

Uk99-100 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

4

Kwanza

Vyakula vya kiasilia

Sauti na majina ya herufi za Kiswahili

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma

Unajua kuandika herufi na maneno yapi?

Mwanafunzi aandike maumbo ya herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni.

Mwalimu atazame mwanafunzi akiandika maneno.

Wanafunzi 

Uk 101 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

Pili

Vyakula vya kiasilia

Sauti na majina ya herufi za Kiswahili

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma

Unajua kuandika herufi na maneno yapi?

Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kwa kugawa maneno marefu katika sehemu ndogo ndogo ili kuyasoma kwa urahisi.

Mwalimu aangalie mwanafunzi anapoandika herufi anazojua.

Tarakilishi

Uk 102

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

Tatu

Vyakula vya kiasilia

Sauti na majina ya herufi za Kiswahili

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kuandika maumbo ya herufi yanayowakilisha sauti lengwa

Unajua kuandika herufi na maneno yapi?

Mwanafunzi aandike maumbo ya herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni

Mwalimu atazame maumbo ambayo mwanafunzi anachora.

Wanafunzi 

Uk103 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

5

Kwanza

Vyakula vya kiasilia

Sauti na majina ya herufi za Kiswahili

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti lengwa katika mawasiliano ya kila siku.

Unajua kuandika herufi na maneno yapi?

Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yanayobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili

Mwalimu atazame kazi ambayo mwanafunzi anachora.

Wanafunzi Uk103 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

Pili

Msamiati

Msamiati

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:

kutambua vyakula vya kiasili ili kuimarisha lishe bora

kusoma majina ya vyakula mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kusoma

Unapenda waweza kutaja chakula kipi?

Mwanafunzi atambue vyakula mbalimbali vya kiasili kwa kutumia vyakula halisi, picha na michoro kama vile mihogo, viazi, mahindi, maharagwe, mboga na matunda. 

Mwanafunzi atumie msamiati aliyofunzwa kutunga sentensi.

Mwalimu asahihishe sentensi ambazo mwanafunzi anaandika.

Wanafunzi 

Uk 104 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

tatu

Msamiati

Msamiati

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kuandika majina ya vyakula katika kuimarisha stadi ya Kuandika

kutumia majina ya vyakula katika sentensi sahihi

Vyakula vipi hukuzwa shambani?

Mwanafunzi aweza kupewa kadi za majina ya vyakula vya kiasili asome kwa sauti. 

Wanafunzi waweza kuambatanisha majina ya vyakula halisi au michoro na majina yavyo.

Mwalimu asikize baadhi ya chakula vinazokuzwa shambani.

Wanafunzi 

Uk 105-106 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

6

kwanza

Kusikiliza na Kuzungu mza

Masimulizi

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:

kusikiliza masimulizi kuhusu vyakula vya kiasili katika kuimarisha stadi ya kusikiliza

Kwa nini tunakula chakula?

Mwanafunzi asimulie hadithi kuhusu vyakula vya kiasili. 

Wanafunzi wajadiliane kuhusu umuhimu wa vyakula vya kiasili. 

Wanafunzi wasimuliane visa kuhusu vyakula vya kiasili.wanafunzi

Mwalimu asikilize mwanafunzi akieleza umuhimu wa chakula.

Tarakilishi 

Uk 107 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

Pili

Kusikiliza na Kuzungu mza

Masimulizi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kufahamu masimulizi aliyosikiliza katika kuimarisha stadi ya kusikiliza kufurahia vyakula vya kiasili katika maisha ya kila siku.

Je, umuhimu wa vyakula vya kiasili ni upi?

Mwanafunzi aweza kuhusishwa katika kuimba nyimbo na kukariri mashairi kuhusu vyakula vya kiasili. 

Mwanafunzi aweza kusikiliza nyimbo na mashairi yaliyorekodiwa kwenye vifaa vya kiteknolojia kuhusu vyakula vya kiasili.

Mwalimu atazame mwanafunzi akifanya zoezi.

Tarakilishi 

Uk107-108 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

tatu

Kusoma:

Hadithi

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi aliyosoma au kusomewa ili kuimarisha mawasiliano

Je, unaona nini katika picha?

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. 

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. 

Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenywae hadithi.wanafunzi

Mwalimu asikize mwanafunzi akisimulia kis a chochote.

Wanafunzi 

Uk 110 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

7

Kwanza

Kusoma:

Hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu kuhusu vyakula vya kiasili ili kuimarisha stadi ya kusoma

Unadhani ni nini kitakachotokea katika hadithi

Mwanafunzi asikilize mwalimu anaposoma hadithi, asome pamoja na mwalimu kisha asome peke yake, wawili wawili au katika vikundi.

Mwalimu asikize mwanafunzi akisoma hadithi.

Wanafunzi Uk 110-111

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

Pili

kusoma

Hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kufurahia vyakula vya kiasili maishani.

Unakumbuka hadithi gani uliyoisoma?

Mwanafunzi asikilize hadithi ya mwalimu au hadithi iliyorekodiwa kuhusu vyakula vya kiasili.

Mwalimu asahihishe kazi ya mwanafunzi.

Tarakilishi 

Uk112 

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

 

tatu

Sarufi

Matumizi na –angu na –etu

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:

kutambua matumizi ya –angu na – etu katika mawasiliano kutumia –angu na

– etu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano

Je, ni maneno gani tunayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu?

Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya -angu na –etu. 

Mwanafunzi aandike sentensi zenye kuhusisha-angu na –etu.

Mwalimu asikilize mwanafunzi akitunga sentensi.

Wanafunzi

Uk 113

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

8

Kwanza

Sarufi

Matumizi na –

angu na –etu

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kufurahia kutumia

–angu na –etu katika mawasiliano.

Je, ni maneno gani tunayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu?

Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya -angu na –etu. 

Mwanafunzi aandike sentensi zenye kuhusisha

-angu na –etu.

Mwalimu asikilize mwanafunzi akitumia angu na etu katika kutunga sentensi.

Tarakilishi 114-15

Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

 

9

marudio

Read 129 times Last modified on Friday, 03 February 2023 09:23

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.