Kiswahili Schemes - Grade 3 Schemes of Work Term 2 2023

Rate this item
(2 votes)

Wiki

Kipindi

Mada

Mada Ndogo

Matokeo Maalum Yanayotokea

Maswali Dadisi

Mapendekezo Ya Shughuli Za Ufunzaji

Kazi Ya Ziada

Nyenzo

Maoni

1

1

Kusoma:

Hadithi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua picha za watu na kazi mbalimbali ili kuimarisha ufahamu wa hadithi 

kusikiliza hadithi ikisomwa na mwalimu kuhusu kazi mbalimbali ili kuimarisha usomaji na usikivu

Unaona nini kwenye picha?

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.  

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.  

Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.  

Wanafunzi waweza kusoma katika darasa, wakiwa wawili na baadaye mwanafunzi asome peke yake.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakielezea wanachoona kwa picha.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 62-63

 

 

2

Kusoma:

Hadithi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kusoma hadithi kuhusu kazi mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kusomakufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa kuhusu kazi mbalimbali ili kupata ujumbe kuchangamkia kusoma hadithi.

Ni aina gani ya kazi ambayo imewasilishwa kwenye picha?

Wanafunzi waweza kusoma katika darasa, wakiwa wawili na baadaye mwanafunzi asome peke yake.  

Mwanafunzi anaweza kusikiliza hadithi ikisomwa kupitia vifaa vya kiteknolojia kama vile tarakilishi na projekta.  

Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kwa kutumia jitabu mbele ya darasa.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakiimarisha stadi ya kusoma huku wakisoma hadithi.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 63-64

 

 

3

Kuandika.

Kusikiliza na kuzungumza.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi.

Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?

Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka.  

Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.  

Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakijadili mambo ya kuzingatia wanapoandi ka kisa.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 64

 

2

1

Kuandika

Kusikiliza na kuzungumza.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi.

Je, unaweza kuandika kisa gani kifupi kinachohusiana na kazi yoyote?

Wanafunzi waweza wakaandika kisa kifupi wakiwa wawili wawili.

 Mwanafunzi aandike kisa kifupi kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji.

Mwalimu awaangalie wanafunzi wakiandika kisa chochote wanachokifa hamu.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 65

 

 

2

Sarufi.

Ukanusho wa nyakati.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze;  kutambua ukanusho wa -li-; -na-; -ta- katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano  kusoma ukanusho wa nyakati katika sentensi ili kuimarisha usomaji

Unafanya nini sasa?  

Ulifanya nini jana?

Wanafunzi watumie -li; -na-; -ta- kuelezea vitendo walivyofanya katika wakati uliopita (LI), ulipo (NA) na ujao (TA) wakiwa katika vikundi au wawili wawili.  

Mwanafunzi akamilishe vifungu kwa kutumia -li-; -na-; ta- na ukanusho wake.

Mwanafunzi asome vifungu vyenye matumizi -li-; -na-; ta- na ukanusho wake.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakijieleza.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 66

 

 

3

Sarufi.

Ukanusho wa nyakati.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kuandika ukanusho wa nyakati katika sentensi ili kujenga ubunifu kuchangamkia matumizi ya nyakati katika mawasiliano.

Utafanya nini kesho? 

Je, ni nyakati zipi ambazo unajua kukanusha?

Mwanafunzi aweza kupewa zoezi la ukanusho wa nyakati akiwa peke yake, wawili wawili au katika kikundi.  

Mwanafunzi aweza kutazama jinsi nyakati zinavyokanushwa katika vifaa vya kiteknolojia na kufanyia zoezi kwenye mtandao.

Mwalimu awaangalie wanafunzi wakiandika ukanusho wa nyakakati katika mawasiliano

.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 67

 

3

1

Usalama.

Msamiati.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kutambua msamiati ambao hutumiwa katika usalama ili kuimarisha mawasiliano  kusoma msamiati unaohusiana na usalama ili kujenga usomaji bora wa usalama ili kuimarisha ufahamu

Je, ni nini maana usalama?

Mwanafunzi asome maneno yanayohusiana na usalama kwa kutumia kadi za maneno.  

Mwanafunzi aeleze maana ya msamiati wa usalama akiwa peke yake au katika vikundi.  

Mwanafunzi atunge sentensi sahihi kwa kutumia msamiati wa usalama.

Mwalimu asikize maoni ya wanafunzi kuhusu usalama.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 69-70

 

 

2

Usalama.

Msamiati.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kutumia msamiati wa usalama katika sentensi ili kuimarisha ufahamu  kuandika maneno yanayohusiana na usalama ili kujenga uandishi bora 

Kuthamini usalama katika mazingira yake.

Usalama huhusisha mambo yapi?

 Mwanafunzi aweza kutazama video kuhusu usalama k.m. utekaji nyara na moto na kisha kujadili jinsi ya kujilinda kutokana na hatari.  

Mwanafunzi atazame michoro na picha inayolenga maana ya maneno kuhusu usalama.  

Wanafunzi wajadiliane kuhusu umuhimu wa usalama.

Mwalimu asikilize sentensi za wanafunzi kuhusu usalama.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 71-73

 

 

3

Kusikiliza na Kuzungu mza:

Maagano.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweza:  kutambua maneno yanayotumiwa katika maagano ili kuwezesha mazungumzo 

kutumia maneno yanayotumiwa katika maagano kwenye mawasiliano

Je, ulipoagana na mzazi asubuhi alikwambiaje?

Mwanafunzi anaweza kueleza matumizi ya maagano kama vile: kwaheri; siku njema, mchana mwema, safiri salama na usiku mwema.  

Mwanafunzi atazame michoro inayoashiria vitendo vya kuagana.  

Mwanafunzi ashiriki katika maigizo ya kuagana.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakiagana huku wakitumia maneno wanayojua.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 73

 

4

1

Kusikiliza na Kuzungu mza:

Maagano.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kujibu maagano kwa njia ifaayo ili kudhihirisha ufahamu 

Kuthamini matumizi ya maagano katika mawasiliano ya kila siku.

Je, mzazi hukwambiaje unapoenda kulala?  

 Mtu anaposafiri anaambiwaje?

Mwanafunzi aweza kutazama vibonzo katika tarakilishi vikiigiza vitendo na maneno mbalimbali ya kuagana.  

Mwanafunzi aweza kutaja neno la kuagana linalofaa kutokana na maelezo mbalimbali akiwa peke yake, wawili wawili au katika vikundi.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakijibu maagano.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 74

 

 

2

Kusikiliza na Kuzungu mza.

Masimulizi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kutambua mambo yanayoathiri usalama ili kujihakikishia usalama 

kutambua njia za kudumisha usalama katika mazingira yake ili kujihakikishia usalama 

kusimulia kuhusu mambo yanayoweza kuhatarisha usalama katika mazingira yake ili kuimarisha stadi ya kuzungumza

Usalama ni nini?  

Usalama unatusaidia na nini?

Mwanafunzi asimulie baadhi ya mambo yanayoweza kuhatarisha usalama katika mazingira yake kupitia k.m. mgeni mwalikwa.  

Mwanafunzi aweza kutazama video inayoonyesha mambo yanayoathiri usalama katika mazingira yake.  

Wanafunzi wajadiliane namna ya kuepuka dhuluma k.m. kutozungumza na watu wasiowajua, kupiga ukelele anapokumbwa na hatari.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakielezea maana ya usalama.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 74

 

 

3

Kusikiliza na Kuzungu mza.

Masimulizi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kusikiliza masimulizi kuhusu usalama ili kujenga stadi ya kusikiliza 

Kuthamini umuhimu wa usalama katika maisha ya kila siku.

Unaweza ukafanya nini unapovamiwa?

Mwanafunzi aandike baadhi ya mambo yanayoathiri usalama katika mazingira yake.  

 Mwanafunzi asimulie kisa alichokishuhudia kuhusu usalama.

Mwalimu asikize maoni ya wanafunzi kuhusu vile wanaeza fanya wanapovami wa.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 75

 

5

1

Kusoma:

Hadithi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kutambua picha

zinazoonyesha usalama katika mazingira mbalimbali ili kurahisisha ufahamu 

kutambua maneno yanayohusiana na usalama ili kuyatumia katika mawasiliano 

kusikiliza hadithi za mwalimu kuhusu usalama ili kuimarisha ufahamu

Je, usalama unahusu nini?  

 Ukosefu wa salama husababishwa na nini?

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. 

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi  

Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.  

Mwanafunzi asome darasani, wakiwa wawili na baadaye asome peke yake.  

Wanafunzi wasomeana hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakitambua picha katika kitabu.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 76

 

 

2

Kusoma:

Hadithi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kusoma hadithi kuhusu usalama ili kujenga usikivu 

kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa kuhusu usalama ili kupata ujumbe  

Kuthamini umuhimu wa usalama katika maisha ya kila siku.

Unapojipata kwenye hatari unafaa kufanya nini?

Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi.  

Mwanafunzi aweza kusimulia hadithi kutokana na picha alizopewa kuhusu usalama.  

Mwanafunzi atoe muhtasari wa hadithi aliyosoma au kusomewa.

Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kutokana na hadithi.

Mwalimu asikilize maoni ya wanafunzi kuusu vile wanavyofan ya wanapojipat a kwa hatari.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 77

 

 

3

Kuandika.

Kusikiliza na kuzungumza.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kutambua kisa chenye mtiririko 

kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada 

Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?

Mwanafunzi aweza kupewa hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka.  

Mwanafunzi aongozwe kujadili yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.

Mwalimu asikilize maoni ya mwanafunzi kuhusu mambo anayofaa kuzingatia kuhusu kisa.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 79

 

6

1

Kuandika.

Kusikiliza na kuzungumza.

Kufurahia uandishi wa visa tofauti maishani.

Je, unaweza kuandika kisa gani kifupi kinachohusiana na usalama?

Wanafunzi waweza kuandika kisa kifupi wakiwa wawili wawili.

Mwanafunzi apewe fursa ya kuandika kisa kifupi kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji.

Mwalimu kuangalia visa mbalimbali wanafaunzi wanavyiandi ka darasani.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 80

 

 

2

Sarufi:

Vinyume vya vitendo.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze;  kutaja vinyume vya vitendo  

kusoma sentensi zilizo na vinyume vya vitendo

Je, unajua vinyume vya vitendo unavyofanya kila siku?

Mwanafunzi aweza kufafanuliwa juu ya vinyume vya vitendo kama vile lala-amka; keti- simama; chekalia; tabasamu – nuna; enda-rudi; panda – shuka nk. 

Wanafunzi waweza kuigiza vinyume vya vitendo wakiwa wawili wawili.

Mwalimu apewe maana ya kinyume na wanafunzi.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 80

 

 

3

Sarufi:

Vinyume vya vitendo.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kuandika vinyume vya vitendo   

Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku.

Je, unajua vinyume vya vitendo unavyofanya kila siku?

Mwanafunzi aweza kushirikishwa kutunga na kusoma sentensi zilizo na vinyume vya vitendo.  

Mwanafunzi aweza kuelekezwa kuandika vinyume vya vitendo.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakisema vinyume vya vitendo wanavyofan ya kila siku.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 82-83

 

7

1

Usafi wa Mazingira.

Msamiati

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kutambua msamiati wa usafi wa mazingira  

kutumia msamiati wa usafi wa mazingira katika sentensi

 Je, unajua msamiati gani unaohusiana na usafi wa mazingira?

Mwanafunzi aweza kuelekezwa kusoma maneno yanayohusiana na usalama kwa kutumia kadi za maneno.  

Mwanafunzi aweza kuelekezwa kutoa maana ya msamiati unaohusiana na usafi wa mazingira.  

Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu maana za maneno yanayohusiana na usafi wa mazingira.  

Mwanafunzi aweza kutunga sentensi sahihi kwa kutumia msamiati unaohusiana na usafi wa mazingira.

Mwalimu asikilize baadhi ya msamiati wa usafi kutoka kwa mwanafunzi

.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 84-85

 

 

2

Usafi wa Mazingira.

Msamiati

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kubainisha mazingira safi na yale machafu   kuthamini mazingira safi.

Unaweza kutumia msamiati gani unaohusiana na usafi wa mazingira sentensi?

Mazingira safi ni yapi?

Mwanafunzi aweza kutazama video kuhusu usafi wa mazingira k.m. kuokota na kuchoma taka, kufyeka nyasi n.k.  

Mwanafunzi aweza kutazama michoro na picha zinazolenga maana ya maneno kuhusu usafi wa mazingira.   

Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu umuhimu wa usafi wa mazingira wakiwa kwenye vikundi.  

Mwalimu asikilize maoni ya wanafunzi kuhusu mazingira machafu.

Mwanafunzi

Tarakilishi

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 86-87

 

 

3

Kusikiliza na Kuzungu mza:

Masimulizi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kutofautisha mazingira safi na yasiyo safi kutambua umuhimu wa mazingira safi  

Ni nini maana ya mazingira? 

 Mazingira safi ni yapi?

Mwanafunzi aweza kufahamu maana ya usafi wa mazingira.  

Wanafunzi waongozwe katika vikundi kusimulia  visa vinavyohusiana na usafi wa mazingira k.v. umuhimu na jinsi ya kutunza mazingira

Mwalimu asikilize tofauti kati ya mazingira chafu na safi kutoka kwa wanafunzi.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 88

 

8

1

Kusikiliza na Kuzungu mza:

Masimulizi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kusikiliza masimulizi kuhusu usafi wa mazingira  

kuelezea kuhusu usafi wa mazingira

Je, tunawezaje kuborasha mazingira?

Mwanafunzi aweza kuigiza jinsi ya kudumisha usafi katika mazingira yake 

Wanafunzi waweza kutazama video inayohusu mazingira

safi na chafu kisha wabainishe mazingira

Mwalimu asikilize jinsi ya kuboresha mazingira kutojka kwa wanafunzi.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 89-90

 

 

2

Kusoma:

Hadithi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze;  kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi  

kusikiliza mwalimu kwa makini anaposoma hadithi kuhusu usafi wa mazingira  

kusoma hadithi kuhusu mazingira safi

Je, unaweza kukumbuka hadithi gani uliyosoma?

 Mwanafunzi aweza kujadili kuhusu picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.   

 Mwanafunzi aweza kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi.   

Mwanafunzi aweza kuthibitisha utabiri wake baada ya kusoma hadithi.   

Mwanafunzi aweza kufahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.

Mwalimu asikilize maoni ya mwanafunzi

.

Mwanafunzi

Tarakilishi Kusoma:

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 91-92

 

 

3

Kusoma:

Hadithi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

Kufahamu hadithi aliyosoma na aliyosomewa kuhusu usafi wa mazingira  kuthamini mazingira safi.  

 Je, hadithi unayoweza kukumbuka inahusu nini?   

Je, umeweza kusoma hadithi ngapi?

Wanafunzi waweza kusoma kama darasa, wakiwa wawili na baadaye asome peke yake.   

 Mwanafunzi aweza kutoa muhtasari wa hadithi aliyosoma au kusomewa.   

 Mwanafunzi aweza kutabiri kitakachotokea katika hadithi katika kundi la wawili wawili au darasa zima. 

Wanafunzi waweza kusomeana hadithi wakiwa wawili wawili.

Mwalimu asikilize wanafunzi wakihadithi hadithi waliyposomewa.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 93-94

 

9

1

Kuandika.

Kusikiliza na kuzungumza.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  Kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi.

Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?

Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka.   

Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi kama vile mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.  

 Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa na mwanafunzi

Mwalimu asikilize mambo ya kuzingatia unapoandika kisa kutoka kwa wanafunzi.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 94

 

 

2

Kuandika.

Kusikiliza na kuzungumza.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi.

Je, unaweza kuandika kisa kifupi kinachohusiana na usafi wa mazingira?

Wanafunzi waweza kuandika kisa kifupi wakiwa wawili wawili.   

Mwanafunzi aandike kisa kifupi kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji.  

Mwalimu asikilize maoni ya wanafunzi kuhusu visa.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 95

 

 

3

Sarufi:

Matumizi ya haraka na polepole.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua matumizi ya haraka na polepole ili kuimarisha mawasiliano mwafaka 

kutumia haraka na polepole katika kutunga sentensi ili kuimarisha mawasiliano mwafaka

Unatumia maneno gani kuelezea namna mtu alivyofanya jambo?

Mwanafunzi aweza kujaza mapengo kwa kutumia haraka na polepole.    

Mwanafunzi aweza kubainisha matumizi ya vielezi vya jinsi vinavyofunzwa kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia.   

Mwanafunzi atazame vitu mbalimbali na avirejelee kwa kutumia haraka na polepole k.m Mtoto anatembea polepole.

Mwalimu awatazame wanafunzi wakifanya vitu kwa haraka na polepole.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 95

 

10

1

Sarufi:

Matumizi ya haraka na polepole.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kusoma sentensi zilizo na matumizi ya haraka na polepole ili kujenga usomaji bora.

Unatumia maneno gani kuelezea namna mtu anavyotembea?

Wanafunzi washiriki katika maigizo wakitumia haraka na polepole wakiwa darasani.    

 Mwanafunzi aandike maneno na sentensi kwa kutumia haraka na polepole

Mwalimu asikilize wanafunzi wakieleza jinsi wenzao wanavyotem bea kwa haraka au polepole.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 96-97

 

 

2

Dukani.

Msamiati.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze kutambua msamiati wa dukani ili kuutumia katika mawasiliano  kusoma maneno yanayohusiana na shughuli za dukani ili kujenga usomaji bora 

kueleza maana ya msamiati wa dukani ili kuimarisha stadi ya kuzungumza

Mtu anayenunua kitu dukani huitwaje?   

Mtu anayeuza dukani huitwaje?

Mwanafunzi asome maneno yanayohusiana na shughuli za dukani kwa kutumia kadi za maneno kama vile nunua, uza, bei, kilo, mnunuzi, mwuzaji, hasara, faida, pesa, baki, sarafu na noti.   

Mwanafunzi ashiriki katika majadiliano kuhusu maana ya maneno yanayohusiana na shughuli za dukani kwa kutumia picha au michoro.

Mwalimu asikilize msamiati wa dukani kutoka kwa wanafunzi.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 98-99

 

 

3

Dukani.

Msamiati

kutumia msamiati wa dukani katika sentensi sahihi ili kuimarisha stadi

ya kuzungumza   kuandika maneno yanayohusiana na uuzaji na ununuzi ili kuimarisha stadi ya kusoma

Pesa unazorudishiwa unaponunua kitu dukani huitwaje?

Mwanafunzi atunge sentensi sahihi kwa kutumia msamiati wa dukani.

Mwanafunzi aweza kutazama video kuhusu uuzaji na ununuzi.   

Wanafunzi washiriki katika majadiliano kuhusu umuhimu wa kufanya biashara wakiwa kwenye vikundi.

Mwalimu asikilize wanafunzi wakitumia msamiati wa dakuni.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 100

 

11

TATHMINI NA KUFUNGA SHULE

 

Read 510 times Last modified on Friday, 17 February 2023 09:39

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.