Grade 6 JKF Nyota Kiswahili - Grade 6 Schemes of Work Term 1 2023

Rate this item
(0 votes)

GRADE 6 JKF NYOTA KISWAHILI
SCHEMES OF WORK TERM 1 2023 

SHULE

GREDI

ENEO LA KUJIFUNZA

MUHULA

MWAKA

 

GREDI 6

KISWAHILI

1

2023

 

Wiki

Kipindi

Mada kuu

Mada ndogo

Matokeo maalum yanayotarajiwa

Shughuli za ujifunzaji

Maswali dadasi

Nyenzo

Mapendekezo ya tathmini

Maoni

1

1

Viungo vya mwili vya ndani

Kusikiliza na kuzungumza;

Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /d/ na /nd/

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/)
  2. Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/)
  3. Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /d/ na /nd/

Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/ 

Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti 

Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi.

Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? 

Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 1-2

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

2

Viungo vya mwili vya ndani

Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya sifa

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza maana ya vivumishi vya sifa.
  2. Kutambua vivumishi vya sifa vinavyochukua viambishi awali.
  3. Kuchangamkia kutumia vivumishi vya sifa katika utungaji wa sentensi.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi vya sifa. 

Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vya sifa vinavyochukua viambishi awali (k.v mzuri, mkubwa, kidogo) 

Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vya sifa kwenye sentensi au vifungu.

Vivumishi vya sifa zinahusu nini? 

Je, ni vivumishi vya sifa zipi unazozijua?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 2-4

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

3

Viungo vya mwili vya ndani

Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya sifa

 

 

 

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua vivumishi vya sifa visivyochukua viambishi awali.
  2. Kuandika vivumishi vya sifa visivyochukua viambishi awali kwa kutumia tarakilishi.
  3. Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa katika mawasiliano ya kila siku.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi vya sifa kwa kutumia vitu au watu katika mazingira yake. 

Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vya sifa visivyochukua viambishi awali. 

Mwanafunzi aweze kuandika vivumishi vya sifa visivyochukua viambishi awali kwa kutumia tarakilishi katika vikundi.

Je, vivumishi vya sifa visivyochukua viambishi awali ni gani?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 10-11

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

4

Viungo vya mwili vya ndani

Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Biashara haramu ya viungo

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kusoma kifungu kwa kuzingatia ujumbe matukio na wahusika.
  2. Kutunga sentensi kutumia msamiati aliojifunza kwenye kifungu.
  3. Kufurahia kutoa mukhtasari wa kifungu hicho.

Mwanafunzi aweze kusoma kifungu kwa kuzingatia ujumbe matukio na wahusika. 

Mwanafunzi aweze kushiriki katika vikundi kujadili na kutumia msamiati lengwa katika sentensi.

Je, Biashara haramu ni gani? 

Vifaa vya kidijitali vina umuhimu gani?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 5-7

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

2

1

Viungo vya mwili vya ndani

Kuandika; Insha ya wasifu

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua insha wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake.
  2. Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri.
  3. Kuchangamkia utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi.

 

Mwanafunzi aweze kutambua insha wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake. 

Mwanafunzi aweze kutumia methali, tashbihi na nahau zinazofaa ili kuipamba insha yake. 

Mwanafunzi aweze kutilia maanani anwani, mtiririko wa mawazo, mwandiko safi na kanuni za lugha aandikapo insha ya wasifu. 

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri.

Insha ya wasifu ni gani? 

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 7-8

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

2

Viungo vya mwili vya ndani

Kusikiliza na kuzungumza;

Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /ch/ na /sh/

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/ch/ na /sh/)
  2. Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/ch/ na /nd/)
  3. Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi /ch/ na /sh/

Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/ch/ na /sh/) 

Mwanafunzi aweze kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/ch/ na /nd/) 

Mwanafunzi aweze kutambua maneno yenye silabi za sauti /ch/ na /sh/ katika mchoro wa viungo vya mwili vya ndani katika vikundi.

Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri?

Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?

 

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 8-9

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

3

Viungo vya mwili vya ndani

Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Umuhimu wa viungo vya mwili vya ndani

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kusoma kifungu kwa kuzingatia ujumbe matukio na wahusika.
  2. Kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu.
  3. Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku.

Mwanafunzi aweze kusoma kifungu kwa kuzingatia ujumbe matukio na wahusika. 

Mwanafunzi aweze kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu wakiwa wawiliwawili au katika vikundi. 

Mwanafunzi aweze kujibu maswali yanayotokana na kifungu ipasavyo.

Kusoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani vina umuhimu gani? 

Je, viungo vya mwili vya ndani zina umuhimu gani?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 11-13

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

4

Viungo vya mwili vya ndani

Sarufi; Aina za Maneno: Vivumishi viashiria

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza maana ya vivumishi viashiria.
  2. Kutambua vivumishi viashiria katika sentensi.
  3. Kuchangamkia kutumia vivumishi viashiria katika utungaji wa sentensi

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi viashiria kwa kutaja vitu vilivyo karibu, mbali kidogo na mbali kabisa katika vikundi. 

Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi viashiria katika sentensi kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzipigia mstari au kukoleza rangi.

Je, Vivumishi viashiria vinahusu nini? 

Je, ni vivumishi viashiria zipi unazozijua?

 

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 13-14

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

3

1

Viungo vya mwili vya ndani

Sarufi; Aina za Maneno: Vivumishi viashiria

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza na kutaja vivumishi viashiria mbalimbali.
  2. Kutambua vivumishi viashiria, aviburure na kuvitia kapuni.
  3. Kuchangamkia matumizi ya vivumishi viashiria katika mawasiliano ya kila siku.

Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja vivumishi viashiria mbalimbali. 

Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi viashiria, kuviburura na kuvitia kapuni.

Je, ni vivumishi viashiria zipi unazozijua?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 16-17

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

2

Viungo vya mwili vya ndani

Kusikiliza na kuzungumza;

Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /j/ na /nj/

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/j/ na /nj/)
  2. Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/j/ na /nj/)
  3. Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /j/ na /nj/

Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/j/ na /nj/ 

Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v tarakilishi 

Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi. 

Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? 

Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 15-16

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

3

Viungo vya mwili vya ndani

Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi vimilikishi

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza maana ya vivumishi vimilikishi.
  2. Kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi kwa kuigiza umiliki wa vitu mbalimbali.
  3. Kuchangamkia kutumia vivumishi vimilikishi katika utungaji wa sentensi.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi vimilikishi. 

Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi kwa kuigiza umiliki wa vitu mbalimbali wakiwa wawiliwawili. 

Mwanafunzi aweze kujaza jedwali kutumia vimilikishi katika nafsi I, nafsi II na nafsi III katika vikundi

Vivumishi vimilikishi vinahusu nini? 

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 18-20

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

4

Viungo vya mwili vya ndani

Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi vimilikishi

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kuandika sentensi akitumia vivumishi vimilikishi na nomino.
  2. Kutambua vivumishi vimilikishi kati ya orodha alizopewa katika tarakilishi, aviburure na kuvitia kapuni.
  3. Kuonea fahari matumizi ya vivumishi vimilikishi katika mawasiliano.

Mwanafunzi aweze kuandika sentensi akitumia vivumishi vimilikishi na nomino. 

Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vimilikishi kati ya orodha alizopewa katika tarakilishi, aviburure na kuvitia kapuni. 

Mwanafunzi aweze kujaza pengo kwa kimilikishi sahihi kati ya vile alivyopewa.

Je, ni vivumishi vimilikishi zipi unazozijua?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 22-23

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

4

1

Viungo vya mwili vya ndani

Kusikiliza na kuzungumza;

Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /g/ na /ng/

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/g/ na /ng/)
  2. Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/g/ na /ng/)
  3. Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi /g/ na /ng/

Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/g/ na /ng/ 

Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v tarakilishi 

Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi. 

Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? 

Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?

 

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 20-22

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

2

Michezo

Kusikiliza na kuzungumza;

Maamkuzi na maagano: Maamkuzi

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano.
  2. Kuigiza maamkuzi mbalimbali.
  3. Kuchangamkia maamkuzi katika mahusiano.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya maamkuzi. 

Mwanafunzi aweze kutambua aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano katika vikundi. 

Mwanafunzi aweze kujadili umuhimu wa maamkuzi wakiwa wawiliwawili. 

Mwanafunzi aweze kuigiza maamkuzi mbalimbali.

Je, watu husalimiana vipi katika jamii?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 24-25

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

3

Michezo

Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi vya idadi kamili

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza maana ya vivumishi vya idadi.
  2. Kutambua vivumishi vya idadi kamili katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno (k.v nne, tano, sita)
  3. Kuchangamkia kutumia vivumishi idadi kamili katika utungaji wa sentensi.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi vya idadi. 

Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vya idadi kamili katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno (k.v nne, tano, sita) akiwa katika vikundi.

Je, vivumishi vya idadi ni zipi? 

Je, vivumishi vya idadi kamili ni zipi?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 25-27

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

4

Michezo

Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi vya idadi ya jumla

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza vivumishi vya idadi isiyo kamili kwa kutumia vitu katika mazingira ya darasani.
  2. Kutambua vivumishi vya idadi ya jumla katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno (k.v wengi, vingi, kadhaa)
  3. Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya idadi ya jumla katika mawasiliano ya kila siku.

Mwanafunzi aweze kueleza vivumishi vya idadi isiyo kamili kwa kutumia vitu katika mazingira ya darasani. 

Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vya idadi ya jumla katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno (k.v wengi, vingi, kadhaa) 

Mwanafunzi aweze kuandika sentensi akitumia idadi isiyodhihirika.

Je, vivumishi vya idadi ya jumla ni zipi?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 32-33

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

5

1

Michezo

Kusoma; Matumizi ya kamusi: Mashindano ya mashua

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kusoma kifungu ‘Mashindano ya mashua’
  2. Kutumia kamusi halisi au ya mtandaoni kutafuta maana na matumizi ya msamiati mpya aliousoma katika kifungu.
  3. Kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake.

Mwanafunzi aweze Kusoma kifungu ‘Mashindano ya mashua’

Mwanafunzi aweze kutumia kamusi halisi au ya mtandaoni kutafuta maana na matumizi ya msamiati mpya aliousoma katika kifungu. 

Mwanafunzi aweze kutumia msamiati aliojifunza katika sentensi

Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi? 

Kwa nini tunatumia kamusi?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 27-29

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

2

Michezo

Kuandika; Insha ya masimulizi

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha vilivyoandikwa katika magazeti au tarakilishi.
  2. Kuandika insha isiyopungua maneno 200 huku akizingatia anwani, mtiririko mzuri wa mawazo, mwandiko bora, kanuni za lugha na ubunifu wa hali ya juu.
  3. Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake.

Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha vilivyoandikwa katika magazeti au tarakilishi wakiwa wawili.

Mwanafunzi aweze kuandika insha isiyopungua maneno 200 huku akizingatia anwani, mtiririko mzuri wa mawazo, mwandiko bora, kanuni za lugha na ubunifu wa hali ya juu.

Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 30

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

3

Michezo

Kusikiliza na kuzungumza;

Maamkuzi na maagano: Maagano

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano.
  2. Kueleza njia wanazotumia kuagana.
  3. Kuchangamkia maagano katika mawasiliano.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya maagano. 

Mwanafunzi aweze kutambua aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano. 

Mwanafunzi aweze kujadili umuhimu wa maagano wakiwa wawiliwawili. 

Mwanafunzi aweze kueleza njia wanazotumia kuagana.

Je, watu huagana vipi katika jamii?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 31-32

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

4

Michezo

Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viulizi

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza maana ya vivumishi viulizi kwa kutumia vitu katika mazingira ya darasani.
  2. Kutambua vivumishi viulizi katika sentensi.
  3. Kuchangamkia kutumia vivumishi viulizi katika utungaji wa sentensi.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi viulizi kwa kutumia vitu katika mazingira ya darasani.

Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi viulizi katika sentensi.

Vivumishi viulizi vinahusu nini?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 33-35

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

6

1

Michezo

Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viulizi

 

 

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza na kutaja vivumishi viulizi mbalimbali.
  2. Kutambua vivumishi viulizi kati ya maneno alizopewa, aviburure na kuvitia kapuni.
  3. Kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika mawasiliano ya kila siku.

Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja vivumishi viulizi mbalimbali.

Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi viulizi kati ya maneno alizopewa, aviburure na kuvitia kapuni.

Je, ni vivumishi viulizi zipi unazozijua?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 36-37

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

2

Michezo

Kusoma; Matumizi ya kamusi

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kufungua linki kuhusu michezo kisha kusikiliza maelezo kutoka kwa msimulizi.
  2. Kuunda sentensi kutumia msamiati wa michezo alioupata kutoka kwa msimulizi.
  3. Kuchangamkia kutumia msamiati wa michezo katika mazungumzo yake.

Mwanafunzi aweze kufungua linki kuhusu michezo kisha kusikiliza maelezo kutoka kwa msimulizi.

Mwanafunzi aweze kudondoa maneno ya michezo kutoka kwenye masimulizi hayo akiwa peke yake na wakiwa wawiliwawili.

Mwanafunzi aweze kuunda sentensi kutumia msamiati wa michezo alioupata kutoka kwa msimulizi.

Je, ni habari zipi unazoweza kutoa kwenye mtandao?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali
  • Intaneti

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 35

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

3

Michezo

Sarufi; Aina za maneno: Kivumishi kirejeshi amba-

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- akitumia vitu katika mazingira ya darasani.
  2. Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno.
  3. Kuonea fahari matumizi ya kivumishi kirejeshi amba-

Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- akitumia vitu katika mazingira ya darasani. 

Mwanafunzi aweze kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno. 

Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia kirejeshi amba- na nomino katika ngeli mbalimbali kwa umoja na wingi.

Je, kivumishi kirejeshi ni nini?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 37-38

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

4

Michezo

Sarufi; Aina za maneno: Kivumishi kirejeshi amba-

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika vifungu.
  2. Kutunga sentensi akitumia kivumishi kirejeshi (k.v ambayo, ambalo, ambao, ambavyo, ambaye)
  3. Kufurahia kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika mawasiliano.

Mwanafunzi aweze kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika vifungu. 

Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia kivumishi kirejeshi (k.v ambayo, ambalo, ambao, ambavyo, ambaye)

Je, ni maneno gani yanayopatikana katika kivumishi kirejeshi amba-?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 38-39

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

7

1

Michezo

Kusikiliza na kuzungumza;

Matamshi bora: Vitendawili- Sauti /d//nd/, /ch//sh/, /j//nj/ na /g//ng/

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana.
  2. Kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa.
  3. Kuchangamkia matumizi ya vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kama njia ya kujenga utamkaji bora.

Mwanafunzi aweze kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana (/d//nd/, /ch//sh/, /j//nj/ na /g//ng/) 

Mwanafunzi aweze kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa. 

Mwanafunzi aweze kuandika vitendawili alivyosikiliza kisha kuwategea wenzake darasani nao wategue kwa ajili ya kuendelea kuelimishana.

Je, ni vitendawili gani unavyovijua?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 41-42

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

2

Mahusiano

Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya nafsi

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi.
  2. Kutambua viwakilishi vya nafsi katika sentensi.
  3. Kuchangamkia kutumia viwakilishi vya nafsi katika utungaji wa sentensi.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi. 

Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi vya nafsi katika sentensi.

 Mwanafunzi aweze kujaza pengo akitumia viwakilishi vya nafsi.

Viwakilishi vya nafsi vinahusu nini?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 42-43

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

3

Mahusiano

Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya nafsi

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza na kutaja viwakilishi vya nafsi mbalimbali.
  2. Kutambua viwakilishi kati ya maneno alizopewa, aviburure na kuvitia kapuni.
  3. Kufurahia kutumia viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano ya kila siku.

Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja viwakilishi vya nafsi mbalimbali.

Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi kati ya maneno alizopewa, aviburure na kuvitia kapuni. 

Mwanafunzi aweze kujaza pengo kwa kiwakilishi nafsi sahihi.

Je, ni viwakilishi vya nafsi zipi unazozijua?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 48

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

4

Mahusiano

Kusoma; Kusoma kwa ufahamu- Jirani

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua msamiati wa mahusiano uliotumiwa katika habari.
  2. Kueleza maana ya msamiati wa mahusiano alioupata katika habari.
  3. Kuonea fahari kusoma hadithi kuhusu Jirani.

Mwanafunzi aweze kusoma ufahamu, ‘Jirani’ 

Mwanafunzi aweze kutambua msamiati wa mahusiano uliotumiwa katika habari. 

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya msamiati wa mahusiano alioupata katika habari. 

Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kwa kutumia msamiati wa mahusiano.

Kwa nini ni muhimu kusoma kuhusu ujirani mwema?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 43-45

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

8

1

Mahusiano

Kuandika; Kuandika kwa kutumia tarakilishi

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza maana ya tarakilishi.
  2. Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa.
  3. Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi kazi.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya tarakilishi.

Mwanafunzi aweze kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa

Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya kipanya.

Mwanafunzi aweze kutambua ishara zinazotumiwa kutofautisha maandishi k.v kiyota (*), hatimiliki (@), kishale.

Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazozijua? 

Tarakilishi hutuwezesha kufanya kazi gani? 

Ni hatua gani zinazohusika tunapotumia tarakilishi?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali
  • Intaneti

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 46-47

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

2

Mahusiano

Kusikiliza na kuzungumza;

Matamshi bora: Vitendawili- Sauti /d//nd/, /ch//sh/, /j//nj/ na /g//ng/

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa.
  2. Kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana ili kujenga matamshi bora.
  3. Kufurahia kutumia kutega na kutegua vitendawili.

Mwanafunzi aweze kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa.

Mwanafunzi aweze kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana ili kujenga matamshi bora

Je, mtu akisema ‘kitendawili’ unajibu vipi?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 47

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

3

Mahusiano

Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi viashiria

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza maana ya viwakilishi viashiria.
  2. Kutambua viwakilishi viashiria katika sentensi.
  3. Kuchangamkia kutumia viwakilishi viashiria katika utungaji wa sentensi.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viwakilishi viashiria.

Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi viashiria katika sentensi

Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja viwakilishi viashiria mbalimbali

Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi viashiria katika ubao, tarakilishi, chati, mti wa maneno au kadi za maneno.

Viwakilishi viashiria vinahusu nini?

Je, ni viwakilishi viashiria zipi unazozijua?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 49-50

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

4

Mahusiano

Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Marafiki wa chanda na pete

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kusoma ufahamu, ‘Marafiki wa chanda na pete’
  2. Kueleza maana ya maneno mapya aliyoyapata katika kifungu.
  3. Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku.

Mwanafunzi aweze kusoma ufahamu, ‘Marafiki wa chanda na pete’ 

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya maneno mapya aliyoyapata katika kifungu akiwa katika kikundi. 

Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia msamiati kutoka kwa kifungu.

Je, urafiki mwema una umuhimu gani?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 50-52

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

9

1

Mahusiano

Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya idadi

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza maana ya viwakilishi vya idadi kamili.
  2. Kutambua sentensi zenye viwakilishi idadi kamili.
  3. Kuchangamkia kutumia viwakilishi idadi katika utungaji wa sentensi.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viwakilishi vya idadi kamili. 

Mwanafunzi aweze kutambua sentensi zenye viwakilishi idadi kamili. 

Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi vya idadi katika ubao, tarakilishi, kadi za maneno, chati au mti wa maneno.

Mwanafunzi aweze kujaza pengo kwa viwakilishi vya idadi sahihi.

Viwakilishi vya idadi kamili vinahusu nini?

Je, ni viwakilishi vya idadi kamili zipi unazozijua?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 54-55

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

2

Mahusiano

Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya idadi

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kueleza na kutaja viwakilishi vya idadi isiyodhihirika.
  2. Kutambua viwakilishi vya idadi isiyodhihirika katika ubao, tarakilishi, kadi za maneno, mti wa maneno au chati.
  3. Kufurahia kutumia viwakilishi vya idadi isiyodhihirika katika mawasiliano ya kila siku.

Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja viwakilishi vya idadi isiyodhihirika. 

Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi vya idadi isiyodhihirika katika ubao, tarakilishi, kadi za maneno, mti wa maneno au chati. 

Mwanafunzi aweze kujaza mapengo kwa kuchagua viwakilishi vya idadi isiyodhihirika alivyopewa katika mabano. 

Mwanafunzi aweze kuandika sentensi akitumia viwakilishi vya idadi isiyodhihirika.

Viwakilishi vya idadi isiyodhihirika vinahusu nini? 

Je, ni viwakilishi vya idadi isiyodhihirika zipi unazozijua?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 55

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

3

Mahusiano

Sarufi; Uakifishaji: Alama ya hisi (!) na ritifaa (‘)

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua alama ya hisi (!) na ritifaa (‘) katika maandishi.
  2. Kutumia alama ya hisi (!) na ritifaa (‘) ifaavyo katika maandishi.
  3. Kufurahia matumizi ya alama ya hisi na ritifaa katika maandishi.

Mwanafunzi aweze kutambua alama ya hisi (!) na ritifaa (‘) katika maandishi. 

Mwanafunzi aweze kutumia alama ya hisi (!) na ritifaa (‘) ifaavyo katika maandishi. 

Mwanafunzi aweze kutafuta katika kamusi, atamke na kuandika maneno yenye sauti ya ungo’ong’o.

Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi? 

Alama ya hisi na ritifaa hutumiwa vipi katika maandishi?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 56

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

 

4

Mahusiano

Sarufi; Uakifishaji: Koloni (:)

Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua alama ya koloni (:) katika maandishi.
  2. Kueleza matumizi ya koloni (:) katika maandishi.
  3. Kuchangamkia matumizi ya koloni katika maandishi.

Mwanafunzi aweze kutambua alama ya koloni (:) katika maandishi. 

Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya koloni (:) katika maandishi.

 Mwanafunzi aweze kutunga sentensi na kuziakifisha kutumia koloni.

Alama ya kuakifisha- koloni hutumiwa vipi katika maandishi?

  • Kapu maneno
  • Chati
  • Mabango
  • Kamusi
  • Majarida
  • Michoro na picha
  • Vifaa vya kidijitali

JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 57

Kutunga sentensi

Kujibu maswali

Kujaza pengo

Kuandika tungo

Kazi mradi

 

10

KUFUNGA SHULE

Read 406 times Last modified on Monday, 14 November 2022 13:34

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.