Displaying items by tag: Kiswahili Schemes of Work

                     KISWAHILI SCHEMES OF WORK            STD 6       MUHULA WA  3       2020/2021
JUMA KIPINDI FUNZO MADA SHABAHA SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZI ASILIA (Kiswahili Mufti) NYENZO MAONI
1                                        Kufungua: Mazoezi na Marudio
2      1 Ufahamu Punda wa Kitumtu Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa maneno magumu
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 203-206 maelezo kitabuni  
 2 Sarufi Ngeli kwa ngeli  Mwanafunzi yapaswa:
Matumizi na kuelewa Ngeli kwa ngeli
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 206-208 maelezo kitabuni   
 3 Kusikiliza na kuongea   Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa msamiati na Matumizi ya kugha
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali 
Kiswahili Mufti uk 208-209 maelezo kitabuni   
 4 Kuandika Imla  Mwanafunzi yapaswa: 
Ajihusishe na kuelewa
Kuandika
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 209  maelezo kitabuni   
 5 Msamiati Ala za muziki  Mwanafunzi yapaswa: 
Kuelewa Ala za muziki
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 209-211  maelezo kitabuni   
3      1 Ufahamu Fahari yetu Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa
Kuandika
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk. 212-214  maelezo kitabuni   
 2 Sarufi  Ngeli kwa ngeli Mwanafunzi yapaswa: 
Kuelewa na kutumia Ngeli kwa ngeli
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk. 214-215 maelezo kitabuni   
 3 Kusikiliza na kuongea  Methali
Makala:Redio 
Mwanafunzi yapaswa:
Kusikiliza na kuongea 
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 215-216 maelezo kitabuni   
 4 Kuandika Marudio:Insha ya masimulizi Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika Insha ya masimulizi
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 216 maelezo kitabuni   
 5 Msamiati Mazoezi na marudio Mwanafunzi yapaswa:
Kufanya mazoezi na marudio
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 217-218 maelezo kitabuni   
4      1 Ufahamu  Wazimu barabarani Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa maneno magumu
  • Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 219-222 maelezo kitabuni  
 2 Sarufi Mkato wa maneno Mkato wa maneno
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 223-224 maelezo kitabuni  
 3 Kusikiliza na kuongea Mchezo wa kuigiza-kipindi cha runinga Mwanafunzi yapaswa:
Mchezo wa kuigiza
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 224-225 maelezo kitabuni  
 4 Kuandika  Mtungo Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika mtungo kuhusu ukame
  • Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 226 maelezo kitabuni  
 5 Msamiati Zoezi Mwanafunzi yapaswa:
Kufanya zoezi mseto
  • Kusoma na kuandika
  • Mazoezi ya ziada, Maswali
Kiswahili Mufti uk 226-227 maelezo kitabuni  
5      1 Ufahamu Fahari Yetu Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa
Kuandika
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 212-214 maelezo kitabuni  
 2 Sarufi Ngeli kwa ngeli Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa na kutumia Ngeli kwa ngeli
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 214-215 maelezo kitabuni  
 3 Kusikiliza na kuongea Methali
makala:Redio
Mwanafunzi yapaswa:
Kusikiliza na kuongea
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 215-216 maelezo kitabuni  
 4 Kuandika Marudio:Insha ya masimulizi Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika Insha ya masimulizi
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 216 maelezo kitabuni  
 5 Msamiati Mazoezi na marudio Mwanafunzi yapaswa:
Kufanya Mazoezi na marudio
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 217-218 maelezo kitabuni  
6      1 Ufahamu Uadilifu wa adili

Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Uadilifu wa adili

  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 235 maelezo kitabuni  
 2 Sarufi Mkato na vimilikishi umoja na wingi -ako na -enu (w-w) Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Mkato wa vimilikishi umoja na wingi -ako na -enu (w-w)
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 235-236 maelezo kitabuni  
 3 Kusikiliza na kuongea Vitendawili, mafumbo,methali na nyimbo Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Vitendawili, mafumbo,methali na nyimbo
  • Kusoma na kuandika
Kiswahili Mufti uk 236 maelezo kitabuni  
 4 Kuandika Insha Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika Insha kuhusu mchezo unaopenda
  • Kusoma na kuandika
Kiswahili Mufti uk 236 maelezo kitabuni  
 5 Msamiati Marudio Mwanafunzi yapaswa:
ajihusishe na kuelewa kusoma
  • Kusoma na kuandika
  • Mazoezi ya ziada, Maswali
Kiswahili Mufti uk 236-239 maelezo kitabuni  
 7      1

Ufahamu Sarufi

Kusikiliza na kuongea

Michezo yetu

Mkato wa vimilikishi vya nafsi ya tatu, umoja na wingi -ake,-ao (y-z)

Maigizo na majadiliano

Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa
Kuandika
Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Mkato wa vimilikishi vya nafsi ya tatu, umoja na wingi -ake,-ao (y-z)

Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Maigizo na majadiliano

  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 240-243 maelezo kitabuni  
 2

Kuandika


Msamiati

Insha

Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika Insha kuhusu mchezo unaopenda


Mwanafunzi yapaswa:
ajihusishe na kuelewa kusoma

  • Kusoma na kuandika
  • Kusoma na kuandika
  • Mazoezi ya ziada, Maswali
Kiswahili Mufti uk 245-249 maelezo kitabuni  
 3

Ufahamu 
Sarufi

Kusikliliza na kuongea

Nyani waliopanda farasi

Mkato wa vimilikishi vya nafasi ta tatu, umoja na wingi        -ake, -ao (w-wz)

Mazingira yetu

Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa
Kuandika   
Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Mkato wa vimilikishi vya nafasi ta tatu, umoja na wingi       -ake, -ao (w-wz)

Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Mazingira yetu

  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 250-254 maelezo kitabuni  
 4

Kuandika

Msamiati

Imla

Tarakimu 

Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika Insha kuhusu mchezo unaopenda


Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Msamiati

  • Kusoma na kuandika
  • Kusoma na kuandika
  • Mazoezi ya ziada, Maswali
Kiswahili Mufti uk 255-256 maelezo kitabuni  
 5                                           Sura ya Kumi       
8                                   Mazoezi na marudio, maandalizi ya mtihani wa mwisho wa muhula        
9                                         Mtihani wa mwisho wa muhula na kufunga        
                       KISWAHILI SCHEMES OF WORK        DARASA LA 7         MUHULA WA 3 2020/2021 
WIKI KIPINDI FUNZO MADA SHABAHA KAZI NYENZO ASILIA MAONI
 1                                    Marudio, Mazoezi na Kufungua
 2  1 Kusikiliza na kuongea  Makala-mmomonyoko wa udongo.  Mwanafunzi aweze: Kutaja vitu vinavyozorotesha adabu ya vijana.
Kujadili na kueleza jinsi vyombo vya habari vimechangia.
Kusoma makala
Kujadili.                                                             
Picha za vyombo vya habari k.v redio. Kiswahili mufti uk 145-146.
Kiswahili sanifu uk 117
 
   2 Kusoma Ufahamu Mwanafunzi aweze: Kutazama ma kueleza picha. Kusoma makala kwa ufasaha.
Kueleza maana ya maneno magumu na kuunga sentensi sahihi ukitumia maneno hayo.
Kutazama na kueleza picha. Kusoma
Kueleza maana ya maneno magumu. Kufanya zoezi.
Kamusi sanifu. Kiswahili mufti uk 142-144.
Kiswahili sanifu                     
 
   3 Kuandika Insha ya maendelezo Mwanafunzi aweze:
Kuandika insha kwa kuzingatia vigezo vya uandishi wa insha.
Kuandika kisa kwa kuendeleza mwanzo aliyopewa.
Kuandika   Kiswahili mufti uk 147
Kurunzi za insha.   
 
   4  Sarufi Alama za uakifishaji Mwanafunzi aweze: Kutambua majina ya alama za kuakifisha kwa kutazama. Kutumia alama za kuakifisha kwa usahihi.
Kufanya zoezi.
Kutambua alama tofauti za uakifishaji. Kufanya zoezi. Chati. Kiswahili mufti uk 144-145.
Kiswahili sanifu uk 5      
 
   5 Msamiati Viwandani

Mwanafunzi aweze:
Kutaja msamiati wa viwandani.
Kueleza jinsi vifaa mbalimbali vinavyotumika.
Kufanya zoezi la msamiati wa viwandani kwa usahihi.

Kutaja msamiati Kutaja na kueleza vifaa mbalimbali Kufanya zoezi. Vifaa halisi kama vile spana. 
Picha vitabuni.

Kiswahili mufti uk 148-149.
Kiswahili sanifu uk 124

 
 3  1 Kusikiliza na kuongea Mashairi Mwanafunzi aweze:
Kujadili ujumbe unaowasilishwa kwenye shairi.
Kughani shairi
Kujibu maswali kwa kutamka.

Kujadili shairi
Kuuliza na kujibu maswali.

  Kiswahili mufti uk 152-154.
Kiswahili sanifu uk 79
 
   2 Kusoma  Ufahamu  Mwanafunzi aweze:
Kughani shairi kwa sauti na kutamka maneno barabara.
Kuyajibu maswali ya ushairi kwa ufasaha
Kughani shairi
Kufanya zoezi.
  Kiswahili mufti uk 150-151.
Kiswahili sanifu uk 79
 
   3 Kuandika Insha Mwanafunzi aweze:
Kuandika insha ya kusisimua akizingatia hati nadhifu
Misemo na tanakali za sauti
Kuandika insha kwa mtiririko ufaao.                                                                                                                                                                                             
Kuandika  

Kiswahili mufti uk 154
Kiswahili
Sanifu
Kurunzi  za insha   

 
   4 Sarufi Alama za kuakififsha. Mwanafunzi aweze: Kutambua majina ya alama tofauti za kuakifisha.
Kujibu maswali kwa usahihi.                                                                                                                                                                                                                

Kutambua alama tofauti za kuakifisha.
Kusoma
Kufanya zoezi                          

Chati

Kiswahili mufti uk 144 – 145
Kiswahili sanifu uk 5 - 6 

 
   5 Msamiati Viwandani  Mwanafunzi aweze: 
Kutaja msamiati wa viwandani.
Kueleza jinsi vifaa mbalimbali vinavyotumika.
Kufanya zoezi la msamiati wa viwandani kwa usahihi.                                                                                                                    

Kutazama mchoro na vifaa halisi
Kueleza kazi ya vifaa hivyo
Kusoma
Kufanya kazi 

Picha vitabuni
Vifaa halisi k.v spana
Tarakilishi

Kiswahili mufti uk 147-148
Taswira uk 121                                      

 
 4  1 Kusikiliza na kuongea Kuigiza(shairi)  Mwanafunzi aweze:
Kueleza ujumbe unaowasilishwa na shairi hii. Kujadili na kujibu maswali kwa usahihi.
Kuigiza shairi la ngonjera.   Kiswahili sanifu uk 120 Kiswahili mufti uk 152-154  
   2 Kusoma Ufahamu Mwanafunzi aweze:
Kughani shairi kwa sauti na kutamka maneno barabara. Kuyajibu maswali ya ushairi kwa ufasaha.                                   
Kughani shairi
Kujadili shairi Kujibu maswali         
  Kiswahili mufti uk 150-151 Kiswahili sanifu uk 120  
   3 Kuandika Insha ya Kuendeleza Mwanafunzi aweze:
Kuandika insha ya kusisimua akizingatia hati nadhifu.
Kuandika insha kwa mtiririko ufaao na kuwasilisha ujumbe. Kuakifisha sentensi vizuri,
Kuandika insha.   Kiswahili mufti uk 154  
   4 Sarufi Ukubwa, udogo na wastani wa nomino.  Mwanafunzi aweze:
Kutambua mbinu za kubadilisha nomino ziwe katika hali ya ukubwa.
Kueleza ukubwa na udogo wa nomino.
Nomino.
Kueleza ukubwa na udogo wa nomino.
Kufanya zoezi.
Chati Kiswahili sanifu uk 132,138 Kiswahili mufti uk 151-152  
   5 Msamiati Viumbe vya kike na vya kiume. Mwanafunzi aweze:
Kutaja viumbe vya kike na vya kiume.
Kutazama na kueleza picha. Kufanya zoezi.
Kutaja viumbe vya tofauti vya kike na kiume.
Kutazama na kueleza picha. Kufanya zoezi. 
Picha Michoro Chati Kiswahili mufti uk 154-155
Taswira uk 93
 
 5  1 Kusikiliza na kuongea Makala  Mwanafunzi aweze:
Kusoma makala kwa sauti.
Kueleza maneno magumu yaliyotumika katika ufahamu.
Kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi.
Kusoma
Kueleza maneno magumu.
Kutunga sentensi. 
Kujibu maswali
Kamusi sanifu Kiswahili mufti uk 157-158 Kiswahili sanifu uk 107  
   3 Kuandika Imla  Mwanafunzi aweze:
Kuandika sentensi na maneno anayosomewa kwa usahihi na hati nadhifu.                                                                                                                                
Kuandika                                                              Ubao

Kiswahili mufti uk 161 Kiswahili sanifu   

 
   4 Sarufi Sifa kutokana na vitenzi  Mwanafunzi aweze: 
Kuunda sifa kutokana na vitenzi alivyopewa.
Kufanya zoezi kwa usahihi. Kusoma mifano.
Kuunda sifa kutokana na vitenzi.
Kufanya zoezi. Kusoma masomo.
Chati Kiswahili sanifu uk 127 Kiswahili mufti uk 158-159  
   5 Msamiati Tarakimu Mwanafunzi aweze:
Kubadilisha nambari kuanzia milioni sita na moja hadi milioni saba.
Kuandika tarakimu kwa maneno akizingatia idadi na vitu fulani.
Kusoma  Chati Kiswahili mufti uk 161-162 Kiswahili sanifu uk 100  
 6  1 Kusikiliza na kuongea Vitendawili na methali 

Mwanafunzi aweze:
Kutegua vitendawili alivyopewa.
Kutega vitendawili.            Kutaja methali ambazo zinatumia maneno aliyopewa.    

Kutega vitendawili. Kutegua vitendawili.  Kutaja methali         Kamusi ya methali. Kiswahili mufti uk 166-167 Kiswahili sanifu uk 45-69       
   2 Kusoma Ufahamu  Mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa ufasaha na kutamka maneno barabara. Kueleza maana ya maneno magumu.
Kujibu maswali.

Kutazama na kueleza picha. Kusoma Kueleza maana ya maneno magumu Kufanya zoezi. Picha vitabuni. Kiswahili mufti uk 164-165 Kiswahili sanifu uk 88    
   3 Kuandika  Insha ya masimulizi.  Mwanafunzi aweze:
Kuandika insha ya kusisimua akitumia fani mbalimbali za lugha.
Kuandika kwa hati nadhifu na kuakifisha vizuri. 
Kuandika insha ya kusisimua. Ubao.  Kiswahili mufti uk 167 Golden tips insha.  
   4  Sarufi  Virejeshi  Mwanafunzi aweze: 
Kutaja virejeshi sahihi katika ngeli mbalimbali
Kufanya zoezi kwa usahihi
Kutunga virejeshi
Kufanya zoezi. 
Chati  Kiswahili mufti uk 166 Kiswahili sanifu uk 63  
   5 Msamiati Watu na kazi zao 

Mwanafunzi aweze: 
Kutaja kazi mbalimbali na majina ya wafanyikazi.
Kufanya zoezi kwa usahihi.

Kutaja kazi mbalimbali na wafanyikazi. Kujibu maswali. Chati  Kiswahili mufti uk 167-168 Taswira uk 94  
 7 1 Kusikiliza na kuongea Misemo  Mwanafunzi aweze:
Kutaja misemo mbalimbali na kueleza maana ya misemo na kutunga sentensi akitumia misemo hayo.
Kutaja misemo Kueleza maana Kutunga sentensi  Chati 

Kiswahili mufti uk 175-176
Kamusi ya misemo na nahau  

 
   2  Kusoma Ufahamu  Mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa ufasaha na kutamka maneno barabara. Kueleza maana ya maneno magumu na kutunga sentensi akitumia maneno haya. Kufanya zoezi kwa usahihi 
Kusoma Kueleza maana ya maneno magumu Kutunga sentensi. Kufanya zoezi Kamusi sanifu Kiswahili mufti uk 172-174 Kiswahili sanifu uk 66  
   3 Kuandika Shairi  Mwanafunzi aweze:
Kutunga shairi la beti mbili la aina ya tarbia 
Kutunga shairi la aina ya tarbia  Shairi la tarbia Kiswahili mufti uk 176 Kiswahili sanifu uk 126  
   4 Sarufi Wingi na ngeli  Mwanafunzi aweze: 
Kuandika sentensi kwa wingi akizingatia ngeli.
Kutambua nomino na ngeli. Kufanya zoezi la wingi na ngeli kwa usahihi.
Kuandika sentensi Kutambua nomino Kufanya zoezi Chati ya ngeli  Kiswahili mufti uk 174-175 Kiswahili sanifu uk 143  
   5  Msamiati  Malipo mbalimbali  Mwanafunzi aweze: 
Kutaja aina mbalimbali za malipo.
Kufanya zoezi kwa kutaja jina sahihi la malipo
Kutaja malipo mbalimbali. Kufanya zoezi Kamusi sanifu  Kiswahili mufti uk 177-178 Taswira uk 115  
 8  1 Kusikiliza na kuongea Sentensi-sauti tata Mwanafunzi aweze: 
Kueleza maneno yenye sauti tata.
Kutunga na kusoma sentensi kwa usahihi
Kueleza maana Kutunga sentensi Kusoma sentensi Chati Kiswahili mufti uk 188-189 Taswira uk 166  
   2 Kusoma Ufahamu Mwanafunzi aweze:
Kusoma taarifa kwa sauti na kutamka maneno kwa ufasaha.
Kueleza maana na matumizi ya msamiati aliopewa
Kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi.
Kutazama na kueleza picha.
Kueleza maana na matumizi ya msamiati. Kufanya zoezi.
Kamusi sanifu. Kiswahili mufti uk 185-188 Kiswahili sanifu uk 144  
   3 Kuandika Kukosoa sentensi Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukosoa sentensi alizopewa na kuziandika kwa usahihi.
Kukosoa sentensi Vitabu vya ziada Kiswahili mufti uk 189-190 Taswira uk 184  
   4 Sarufi Mnyambuliko wa vitenzi Mwanafunzi aweze:
Kunyambua vitenzi katika hali ta kutendesha.
Kufanya zoezi kwa usahihi.
Kunyambua vitenzi
Kujibu maswali
Chati Kiswahili mufti uk 188 Kiswahili sanifu uk 106  
   5 Msamiati Visawe Mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya visawe.
Kutaja visawe vya maneno aliyopewa.
Kufanya zoezi kwa usahihi.

Kueleza maana
Kutaja visawe Kujibu maswali

Chati Kamusi  sanifu Kiswahili mufti uk 190 Taswira uk 116  
 9                    MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA TATU