Displaying items by tag: Ratiba ya Masomo

            RATIBA YA SOMO LA KISWAHILI        MUHULA WA TATU           KIDATO CHA PILI
JUMA SOMO MADA KUU/ MADA NDOGO SHABAHA MAZOEZI YA KUJIFUNZA NYENZO ASILIA MAONI
  1    -     Kuwasili kwa wanafunzi/ mtihani/marudio ya mada mbalimbali      
     2       1 KUSIKILIZA NA KUONGEA Majadiliano Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Keuleza maana ya mahojiano
 • Kuigiza majadiliano kulingana na maelekezi ya mwalimu
 • Kueleza maana ya mahojiano
 • Kuigiza majadiliano
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Uhusika wa wanafunzi
 • Mfano wa mahojiano kitabuni mwa wanafunzi
Wetuha A. Na wengine (toleo la sita 2018) Kiswahili KITUKUZWE: kIdato cha  2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 225   
  2 KUSOMA KWA UFAHAMU          Shairi:         Nidhamu Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kutaja msamiati unaotambulisha mazungumzo katika mazingira ya hotelini.
 • Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati wa hotelini.
 • Kuigiza mazungumzo ya hotelini
 • Kukariri shairi
 • Kuuliza na kujibu maswali.
 • Kueleza maana ya baadhi ya msamiati uliotumika kwenye shairi.
 • Kujibu maswali ya ufahamu.
 • Shairi katika kitabu cha wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 227    
  3 SARUFI       Uakifishaji Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kueleza maana ya uakifishaji.
 • Kutoa mifano na matumizi ya alama ya uakifishaji
 • Kuakifisha sentensi
 • Kueleza maana ya uakifishaji
 • Kutoa mifano na matumizi ya alama ya uakifishaji
 • Kujibu maswali.
 • Kuakifisha sentensi
 • Maelezo kitabuni mwa wanafunzi
 • Mifano ubaoni
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 229    
  4 KUSOMA KWA MAPANA        Maadili Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kusoma kwa makini na kudondoa hoja maalum
 • Kueleza maana ya msamiati mpya uliotumika.
 • Kujibu maswali kutokana na makala.
 • Kueleza maana ya msamiati mpya uliotumika.
 • Kujibu maswali kutokana na makala.
Makala kitabuni mwa wanafunzi.  Kiswahili KITUKUZWE: kIdato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 231   
  5 KUANDIKA muhtasari Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kusoma kisa cha matata na kuandika muhtasari wa maneno kati ya (60-70)
 • Kusoma.
 • Kuandika muhtasari wa maneno kati
 • Kuuliza na kujibu maswali.
 • Ubao.
 • Maelezo kitabuni mwa wanfunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 232    
   3       1 FASIHI SIMULIZI Nyimbo za kishujaa Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kuimba nyimbo za kishujaa
 • kutaja fani zilizotumika kuwasilisha wimbo wa kishujaa
 • Kuimba wimbo
 • Kutaja fani zilizotumika kuwasilisha wimbo wa kishujaa 
 • Uhusika wa wanafunzi 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 232   
  2 KUANDIKA    Uandishi wa insha  Methali

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuandika insha ya methali kwa hati nadhifu
 • Kunakili hoja muhimu
 • Kuandika insha ya methali 
 • Vidokezo ubaoni 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 233   
  3 KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Ufahamu wa kusikiliza Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kusikiliza ufahamu utakaosomwa na mwalimu na kujibu maswali kwa usahihi
 • Kusikiliza ufahamu
 • Kutaja na kujibu maswali kwa usahihi
 • Mifano ya maneno ubaoni
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 234   
  4 KUSOMA KWA UFAHAMU      Shairi: Njaa nipishe na mbali Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kuzingatia matamshi bora katika lugha
 • Kukariri shairi kwa sauti bora
 • Kukariri shairi
 • Kuuliza na kujibu maswali.
 • Kueleza maana ya baadhi ya msamiati uliotumika kwenye shairi.
 • Kujibu maswali ya ufahamu.
 • Shairi kitabuni
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 235   
  5 SARUFI          Usemi halisi na usemi wa taarifa Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kubadilisha usemi halisi hadi usemi wa taarifa na usemi wa taarifa hadi usemi halisi
 • Kubadilisha usemi halisi hadi usemi wa taarifa na usemi wa taarifa hadi usemi halisi
 • Maelezo kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 236   
 4       1 KUSOMA KWA MAPANA          Jana si leo Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kusoma kwa makini na kudondoa hoja muhimu
 • Kueleza manufaa na madhara ya uvumbuzi wa kisayansi
 • Kusoma kwa makini na kudondoa hoja muhimu
 • Kueleza manufaa na madhara ya uvumbuzi wa kisayansi
 • Makala kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 238   
   2 KUANDIKA Utungaji wa kiuamilifu
 • Barua za mialiko 
 1. Harusi
 2. hauli

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze: 

 • Kutaja mifano ya barua za mialiko ya harusi na hauli
 • Kutayarisha kadi za mialiko kwa ustadi
 • Kutaja mifano ya barua za mialiko ya harusi na hauli
 • Kutayarisha kadi za mialiko kwa ustadi
 • Kadi za mialiko
 • Picha na michoro mbalimbali
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 240   
  3 KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Hotuba

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kutaja vipengee muhimu vya uandishi wa hotuba
 • Kuhutubia wenzake darasani kuhusu mada yoyote
 • Kuandika hotuba
 • Kuhutubia wenzake darasani kuhusu mada yoyote
 • Kuandika hotuba
 • Mifano ubaoni
 • Uhusika wa wanafunsi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 245   
  4 KUSOMA KWA UFAHAMU      Safari yenye hatari

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kukuza stadi ya kusoma kwa kuzingatia matamshi bora
 • Kutunga sentensi akitumia maneno mapya kwenye ufahamu
 • Kukuza uwezo wa kujibu maswali ya ufahamu
 • Kusoma Kuuliza na kujibu maswali
 • Kueleza maana ya baadhi ya msamiati uliotumika kwenye makala
 • Kutunga sentensi.
 • Makala kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 246   
  5 SARUFI        Uundaji wa maneno

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuunda maneno kutokana na kitenzi
 • Kuunda maneno kutokana na nomino
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kuunda maneno kutokana na kitenzi
 • Kuunda maneno kutokana na nomino
 • Maelezo kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 248   
   5       1 KUSOMA KWA MAPANA    Matumizi ya tarakilishi

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kukuza stadi ya kusoma kwa kuzingatia matamshi bora
 • Kukuza uwezo wa kujibu maswali ya ufahamu
 • Kutaja sentensi za tarakilishi
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kusoma na kuuzingatia matamshi bora
 • Kujadili mada katika ufahamu
 • makala kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 250   
  2 KUANDIKA       Imla

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuandika kwa usahihi kifungu atakachosomewa na mwalimu
 • Kuandika kifungu
 • Kusahihisha makosa
 • Mifano ya maelezo ubaoni
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 251   
  3 KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Daktari na mgonjwa

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuigiza mazungumzo baina ya daktari na mgonjwa
 • Kutaja sifa za lugha ya mgonjwa na daktari
 • Kueleza uhusiano wa mgonjwa na daktari
 • Kuigiza mazungumzo
 • Kutaja sifa za lugha kuzinukuu
 • Kueleza uhusiano wa mgonjwa na daktari
 • Vitabu mbalimbali vya hadithi, riwaya
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 252   
  4 KUSOMA KWA UFAHAMU
Shairi: Kwaheri tunakuaga

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kukuza stadi ya kusoma kwa kuzingatia matamshi bora
 • Kukariri shairi kwa mahadhi
 • Kukuza uwezo wa kujibu maswali ya ufahamu
 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kueleza maana ya baadhi ya msamiati uliotumika kwenye shairi
 • Kukariri shairi
 • Makala kitabuni mwa wanafunzi Wizara ya elimu (2006) 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 253   
   5 SARUFI
Ukubwa, wastani na ndogo

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Aweze kutaja ukubwa na udogo wa nomino atakazopewa
 • Kutoa mifano ya nomino
 • Kutaja ukubwa na udogo wa nomino
 • Kuuliza na kujibu maswali 
 • Chati yenye nomino katika ukubwa, udogo na wastani 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 254   
   6          1

SARUFI

 • Umoja na wingi:
  Vivumshi vya sifa

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kueleza matumizi muafaka ya viambishi ngeli pamoja na vivumshi vya sifa
 • Kueleza matumizi muafaka ya viambishi ngeli pamoja na vivumshi vya sifa
 • Kuuliza na kujibu maswali

 • Mifano ubaoni
 • Zoezi kitabuni mwa wanfunzi 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 259   
   2 KUSOMA
Matumizi ya kamusi

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kutumia kamusi kutafuta maana ya maneno yatakayoorodheshwa
 • Kutumia kamusi kutafuta maana ya maneno.
 • Kutunga sentensi
 • Kuuliza na kujibu maswali 
 • Kamusi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 260   
   3

KUANDIKA
Uandishi wa kawaida   

 • Imla mchanganyiko 

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuandika kwa usahihi sauti, maneno, sentensi au aya atakazosomewa
 • Kuandika sauti maneno, sentensi au aya
 • Kukosoa na kurekebisha maandishi 
 • Mifano ubaoni
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 260    
   4 MAZOEZI NA MARUDIO
fasihi simulizi

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kutaja aina za hadithi, sifa za hadithi na umuhimu wa hadithi
 • Kueleza maana, aina na umuhimu wa nyimbo. 
 • Kuuliza na kujibu maswali 
 • Kutaja aina za hadithi, sifa za hadithi na umuhimu wa hadithi
 • Kueleza maana, aina na umuhimu wa nyimbo. 
 • Vitabu vya riwaya
 • Zoezi kitabuni mwa wanafunzi 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 261   
   5 Isimu jamii 

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kueleza sifa za lugha ya mazungumzo, daktari na mgonjwa, hotelini
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kueleza sifa za lugha ya mazungumzo, daktari na mgonjwa, hotelini. 
Zoezi kitabuni mwa wanafunzi  Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 261   
  7       1 mofimu

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kutoa tofauti kati ya mofimo huru na funge
 • Kutaja mahali sauti tofauti zinatamkiwa
 • Kujadili mada
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi.
 • Maelezo kitabuni mwa wanafunzi
 • Chati yenye mifano na mofimu
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 261    
   2 Kusahihisha sentensi

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kusahihisha sentensi atakazopewa kwa usanifu
 • Kutoa mifano ya misemo
 • Kueleza maana ya misemo aliyotaja
 • Kutunga sentensi sahihi 
 • Mifano kitabuni mwa wanafunzi 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 262    
  3 Misemo

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kutoa mifano ya misemo
 • Kueleza maana ya misemo aliyoitaja
 • Kutumia misemo kutunga sentensi sahihi
 • Kutoa mifano ya misemo
 • Kueleza maana ya misemo aliyoitaja
 • Kutunga sentensi sahihi 
 • Zoezi kitabuni mwa wanafunzi 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 262    
  4 Kuunda nomino kutokana na vitenzi

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuunda nomino kutokana na vitenzi 
 • Kuunda nomino kutokana na vitenzi
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi 
Zoezi kitabuni mwa wanafunzi Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 263   
   5

KUANDIKA

 • Barua rasmi
 • Hotuba
 • Methali
 • Ratiba
 • Mjadala

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kueleza mbinu za uandishi wa barua rasmi, Insha za; hotuba, methali, ratiba na mjadala
 • Kueleza mbinu za uandishi wa barua rasmi, Insha za; hotuba, methali, ratiba na mjadala
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi
 • Uhusika wa wanafunzi
 • Zoezi kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 265    
   8                            MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA