Displaying items by tag: Muhula wa 3

Mwanafunzi yapaswa kufanya Mazoezi ya Mseto

JUMA KIPINDI FUNZO MADA SHABAHA

SHUGHULI ZA MWALIMU
AU MWANAFUNZI

ASILIA NYENZO MAONI
1

Kufungua: Mazoezi na marudio

2 1 Ufahamu Mahafali Mwanafunzi apaswa Kusoma na kuelewa maneno magumu Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa  149-150

maelezo kitabuni

 
  2 Sarufi Ngeli ya U-ZI marudio

Mwanafunzi apaswa Kuelewa Ngeli ya U-ZI

Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 151

maelezo kitabuni

 
  3

Matumizi ya lugha

Majina kutokana na vitenzi: Marudio Mwanafunzi apaswa Kuelewa Majina Kutokana na vitenzi Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 152

maelezo kitabuni

 
  4

Kusoma na kuandika

Hadithi Darasani

Mwanafunzi apaswa ajihusishe na Kuelewa Hadithi Darasani

Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 153

maelezo kitabuni

 
  5 Mtungo Kusikiliza na kuongea Mwanafunzi apaswa Kuelewa Kusikiliza na kuongea Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 156

maelezo kitabuni

 
3 1 Ufahamu Bahati ya Ziwakulu Mwanafunzi apaswa Kusoma na kuelewa maneno magumu Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 158

maelezo kitabuni

 
  2 Sarufi Miundo ya vitenzi Mwanafunzi apaswa Kuelewa Miundo ya vitenzi Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 158

maelezo kitabuni

 
  3 Matumizi ya lugha Majina ya Makundi Mwanafunzi apaswa Kuelewa Majina ya Makundi Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 159

maelezo kitabuni

 
  4 Kusoma na kuandika Kusoma Shairi Mwanafunzi apaswa ajihusishe na Kuelewa Kusoma Shairi Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 160

maelezo kitabuni

 
  5 Mtungo Kusikiliza na Kuongea Mwanafunzi apaswa Kuelewa Kusikiliza na kuongea Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 163-164

maelezo kitabuni

 
4 1 Ufahamu Mke wa Mvuvi Mwanafunzi apaswa Kusoma na kuelewa maneno magumu Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 165

maelezo kitabuni

 
  2 Sarufi ‘’ki-’’ cha udogo:Marudio Mwanafunzi apaswa Kuelewa ’ki-’’ cha udogo Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 166

maelezo kitabuni

 
  3 Matumizi ya lugha   Mwanafunzi apaswa Kuelewa Msamiati na Matumizi ya lugha Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 166

maelezo kitabuni

 
  4 Kusoma na kuandika Kusoma Mwanafunzi apaswa ajihusishe na Kuelewa Kusoma Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 167

maelezo kitabuni

 
  5 Mtungo Kuandika Mwanafunzi apaswa Kuelewa Kuandika Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 169-170

maelezo kitabuni

 
5 1 Ufahamu Barua Mwanafunzi apaswa Kusoma na kuelewa kuandika Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 171

maelezo kitabuni

 
  2 Sarufi Kirejeshi amba- Mwanafunzi apaswa Kuelewa na kutumia Kirejeshi amba- Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 172

maelezo kitabuni

 
  3 Matumizi ya lugha Mazoezi ya Mseto Mwanafunzi apaswa kufanya Mazoezi ya Mseto Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 173

maelezo kitabuni

 
  4 Kusoma na kuandika Kusoma na kuandika Mwanafunzi apaswa ajihusishe na Kuelewa na kuandika Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 175-176

maelezo kitabuni

 
  5 Mtungo Insha Mwanafunzi apaswa Kuelewa kuandika Insha Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 177

maelezo kitabuni

 
6 1 Ufahamu Umleavyo ndivyo akuavyo Mwanafunzi apaswa Kusoma na kuelewa maneno magumu Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 178-179

maelezo kitabuni

 
  2 Sarufi Ngeli ya U-U Mwanafunzi apaswa Kuelewa Ngeli ya U-U Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 180

maelezo kitabuni

 
  3 Mjadala Mazingira yetu Mwanafunzi apaswa kujadili kuhusu mazingira yetu Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 181

maelezo kitabuni

 
  4 Kusoma na kuandika Hadithi Mwanafunzi apaswa ajihusishe na Kuelewa Hadithi Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 183-184

maelezo kitabuni

 
  5 Mtungo   Mwanafunzi apaswa Kuelewa kuandika Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 185

maelezo kitabuni

 
7 1 Ufahamu Sungura Kizimbani Mwanafunzi apaswa Kusoma na kuelewa maneno magumu Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 185 

maelezo kitabuni

 
  2 Sarufi Kukanusha Nyakati Mwanafunzi apaswa Kuelewa Kukanusha Nyakati Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 186

maelezo kitabuni

 
  3 Msamiati na Matumizi ya lugha Misemo Mwanafunzi apaswa  kuelewa Misemo Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 187

maelezo kitabuni

 
  4 Kusoma na kuandika Shairi Mwanafunzi apaswa ajihusishe na Kuelewa Shairi Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 189-190 

maelezo kitabuni

 
  5 Mtungo Mjadala Mwanafunzi apaswa Kuelewa na kujihusisha kwa Mjadala Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 191

maelezo kitabuni

 
8 1 Ufahamu Kandanda Mwanafunzi apaswa Kusoma na kuelewa maneno magumu Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 192 

maelezo kitabuni

 
  2 Sarufi Kivumishi cha pekee Mwanafunzi apaswa Kuelewa Kivumishi cha pekee Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 193

maelezo kitabuni

 
  3 Matumizi ya lugha Mafumbo na Vitendawili Mwanafunzi apaswa  kuelewa Mafumbo na Vitendawili Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 193 

maelezo kitabuni

 
  4 Kusoma na kuandika Kusoma Mwanafunzi apaswa ajihusishe na Kuelewa Kusoma Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 193

maelezo kitabuni

 
  5 Mtungo Mtungo Mwanafunzi apaswa Kuelewa Mtungo Kusoma na kuandika

Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti
 ukurasa 193

maelezo kitabuni

 
  Mwisho wa muhula na kufunga
            RATIBA YA SOMO LA KISWAHILI        MUHULA WA TATU           KIDATO CHA PILI
JUMA SOMO MADA KUU/ MADA NDOGO SHABAHA MAZOEZI YA KUJIFUNZA NYENZO ASILIA MAONI
  1    -     Kuwasili kwa wanafunzi/ mtihani/marudio ya mada mbalimbali      
     2       1 KUSIKILIZA NA KUONGEA Majadiliano Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Keuleza maana ya mahojiano
 • Kuigiza majadiliano kulingana na maelekezi ya mwalimu
 • Kueleza maana ya mahojiano
 • Kuigiza majadiliano
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Uhusika wa wanafunzi
 • Mfano wa mahojiano kitabuni mwa wanafunzi
Wetuha A. Na wengine (toleo la sita 2018) Kiswahili KITUKUZWE: kIdato cha  2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 225   
  2 KUSOMA KWA UFAHAMU          Shairi:         Nidhamu Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kutaja msamiati unaotambulisha mazungumzo katika mazingira ya hotelini.
 • Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati wa hotelini.
 • Kuigiza mazungumzo ya hotelini
 • Kukariri shairi
 • Kuuliza na kujibu maswali.
 • Kueleza maana ya baadhi ya msamiati uliotumika kwenye shairi.
 • Kujibu maswali ya ufahamu.
 • Shairi katika kitabu cha wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 227    
  3 SARUFI       Uakifishaji Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kueleza maana ya uakifishaji.
 • Kutoa mifano na matumizi ya alama ya uakifishaji
 • Kuakifisha sentensi
 • Kueleza maana ya uakifishaji
 • Kutoa mifano na matumizi ya alama ya uakifishaji
 • Kujibu maswali.
 • Kuakifisha sentensi
 • Maelezo kitabuni mwa wanafunzi
 • Mifano ubaoni
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 229    
  4 KUSOMA KWA MAPANA        Maadili Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kusoma kwa makini na kudondoa hoja maalum
 • Kueleza maana ya msamiati mpya uliotumika.
 • Kujibu maswali kutokana na makala.
 • Kueleza maana ya msamiati mpya uliotumika.
 • Kujibu maswali kutokana na makala.
Makala kitabuni mwa wanafunzi.  Kiswahili KITUKUZWE: kIdato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 231   
  5 KUANDIKA muhtasari Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kusoma kisa cha matata na kuandika muhtasari wa maneno kati ya (60-70)
 • Kusoma.
 • Kuandika muhtasari wa maneno kati
 • Kuuliza na kujibu maswali.
 • Ubao.
 • Maelezo kitabuni mwa wanfunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 232    
   3       1 FASIHI SIMULIZI Nyimbo za kishujaa Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kuimba nyimbo za kishujaa
 • kutaja fani zilizotumika kuwasilisha wimbo wa kishujaa
 • Kuimba wimbo
 • Kutaja fani zilizotumika kuwasilisha wimbo wa kishujaa 
 • Uhusika wa wanafunzi 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 232   
  2 KUANDIKA    Uandishi wa insha  Methali

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuandika insha ya methali kwa hati nadhifu
 • Kunakili hoja muhimu
 • Kuandika insha ya methali 
 • Vidokezo ubaoni 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 233   
  3 KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Ufahamu wa kusikiliza Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kusikiliza ufahamu utakaosomwa na mwalimu na kujibu maswali kwa usahihi
 • Kusikiliza ufahamu
 • Kutaja na kujibu maswali kwa usahihi
 • Mifano ya maneno ubaoni
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 234   
  4 KUSOMA KWA UFAHAMU      Shairi: Njaa nipishe na mbali Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kuzingatia matamshi bora katika lugha
 • Kukariri shairi kwa sauti bora
 • Kukariri shairi
 • Kuuliza na kujibu maswali.
 • Kueleza maana ya baadhi ya msamiati uliotumika kwenye shairi.
 • Kujibu maswali ya ufahamu.
 • Shairi kitabuni
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 235   
  5 SARUFI          Usemi halisi na usemi wa taarifa Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kubadilisha usemi halisi hadi usemi wa taarifa na usemi wa taarifa hadi usemi halisi
 • Kubadilisha usemi halisi hadi usemi wa taarifa na usemi wa taarifa hadi usemi halisi
 • Maelezo kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 236   
 4       1 KUSOMA KWA MAPANA          Jana si leo Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:
 • Kusoma kwa makini na kudondoa hoja muhimu
 • Kueleza manufaa na madhara ya uvumbuzi wa kisayansi
 • Kusoma kwa makini na kudondoa hoja muhimu
 • Kueleza manufaa na madhara ya uvumbuzi wa kisayansi
 • Makala kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 238   
   2 KUANDIKA Utungaji wa kiuamilifu
 • Barua za mialiko 
 1. Harusi
 2. hauli

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze: 

 • Kutaja mifano ya barua za mialiko ya harusi na hauli
 • Kutayarisha kadi za mialiko kwa ustadi
 • Kutaja mifano ya barua za mialiko ya harusi na hauli
 • Kutayarisha kadi za mialiko kwa ustadi
 • Kadi za mialiko
 • Picha na michoro mbalimbali
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 240   
  3 KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Hotuba

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kutaja vipengee muhimu vya uandishi wa hotuba
 • Kuhutubia wenzake darasani kuhusu mada yoyote
 • Kuandika hotuba
 • Kuhutubia wenzake darasani kuhusu mada yoyote
 • Kuandika hotuba
 • Mifano ubaoni
 • Uhusika wa wanafunsi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 245   
  4 KUSOMA KWA UFAHAMU      Safari yenye hatari

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kukuza stadi ya kusoma kwa kuzingatia matamshi bora
 • Kutunga sentensi akitumia maneno mapya kwenye ufahamu
 • Kukuza uwezo wa kujibu maswali ya ufahamu
 • Kusoma Kuuliza na kujibu maswali
 • Kueleza maana ya baadhi ya msamiati uliotumika kwenye makala
 • Kutunga sentensi.
 • Makala kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 246   
  5 SARUFI        Uundaji wa maneno

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuunda maneno kutokana na kitenzi
 • Kuunda maneno kutokana na nomino
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kuunda maneno kutokana na kitenzi
 • Kuunda maneno kutokana na nomino
 • Maelezo kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 248   
   5       1 KUSOMA KWA MAPANA    Matumizi ya tarakilishi

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kukuza stadi ya kusoma kwa kuzingatia matamshi bora
 • Kukuza uwezo wa kujibu maswali ya ufahamu
 • Kutaja sentensi za tarakilishi
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kusoma na kuuzingatia matamshi bora
 • Kujadili mada katika ufahamu
 • makala kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 250   
  2 KUANDIKA       Imla

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuandika kwa usahihi kifungu atakachosomewa na mwalimu
 • Kuandika kifungu
 • Kusahihisha makosa
 • Mifano ya maelezo ubaoni
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 251   
  3 KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Daktari na mgonjwa

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuigiza mazungumzo baina ya daktari na mgonjwa
 • Kutaja sifa za lugha ya mgonjwa na daktari
 • Kueleza uhusiano wa mgonjwa na daktari
 • Kuigiza mazungumzo
 • Kutaja sifa za lugha kuzinukuu
 • Kueleza uhusiano wa mgonjwa na daktari
 • Vitabu mbalimbali vya hadithi, riwaya
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 252   
  4 KUSOMA KWA UFAHAMU
Shairi: Kwaheri tunakuaga

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kukuza stadi ya kusoma kwa kuzingatia matamshi bora
 • Kukariri shairi kwa mahadhi
 • Kukuza uwezo wa kujibu maswali ya ufahamu
 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kueleza maana ya baadhi ya msamiati uliotumika kwenye shairi
 • Kukariri shairi
 • Makala kitabuni mwa wanafunzi Wizara ya elimu (2006) 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 253   
   5 SARUFI
Ukubwa, wastani na ndogo

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Aweze kutaja ukubwa na udogo wa nomino atakazopewa
 • Kutoa mifano ya nomino
 • Kutaja ukubwa na udogo wa nomino
 • Kuuliza na kujibu maswali 
 • Chati yenye nomino katika ukubwa, udogo na wastani 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 254   
   6          1

SARUFI

 • Umoja na wingi:
  Vivumshi vya sifa

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kueleza matumizi muafaka ya viambishi ngeli pamoja na vivumshi vya sifa
 • Kueleza matumizi muafaka ya viambishi ngeli pamoja na vivumshi vya sifa
 • Kuuliza na kujibu maswali

 

 • Mifano ubaoni
 • Zoezi kitabuni mwa wanfunzi 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 259   
   2 KUSOMA
Matumizi ya kamusi

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kutumia kamusi kutafuta maana ya maneno yatakayoorodheshwa
 • Kutumia kamusi kutafuta maana ya maneno.
 • Kutunga sentensi
 • Kuuliza na kujibu maswali 
 • Kamusi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 260   
   3

KUANDIKA
Uandishi wa kawaida   

 • Imla mchanganyiko 

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuandika kwa usahihi sauti, maneno, sentensi au aya atakazosomewa
 • Kuandika sauti maneno, sentensi au aya
 • Kukosoa na kurekebisha maandishi 
 • Mifano ubaoni
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 260    
   4 MAZOEZI NA MARUDIO
fasihi simulizi

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kutaja aina za hadithi, sifa za hadithi na umuhimu wa hadithi
 • Kueleza maana, aina na umuhimu wa nyimbo. 
 • Kuuliza na kujibu maswali 
 • Kutaja aina za hadithi, sifa za hadithi na umuhimu wa hadithi
 • Kueleza maana, aina na umuhimu wa nyimbo. 
 • Vitabu vya riwaya
 • Zoezi kitabuni mwa wanafunzi 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 261   
   5 Isimu jamii 

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kueleza sifa za lugha ya mazungumzo, daktari na mgonjwa, hotelini
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kueleza sifa za lugha ya mazungumzo, daktari na mgonjwa, hotelini. 
Zoezi kitabuni mwa wanafunzi  Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 261   
  7       1 mofimu

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kutoa tofauti kati ya mofimo huru na funge
 • Kutaja mahali sauti tofauti zinatamkiwa
 • Kujadili mada
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi.
 • Maelezo kitabuni mwa wanafunzi
 • Chati yenye mifano na mofimu
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 261    
   2 Kusahihisha sentensi

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kusahihisha sentensi atakazopewa kwa usanifu
 • Kutoa mifano ya misemo
 • Kueleza maana ya misemo aliyotaja
 • Kutunga sentensi sahihi 
 • Mifano kitabuni mwa wanafunzi 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 262    
  3 Misemo

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kutoa mifano ya misemo
 • Kueleza maana ya misemo aliyoitaja
 • Kutumia misemo kutunga sentensi sahihi
 • Kutoa mifano ya misemo
 • Kueleza maana ya misemo aliyoitaja
 • Kutunga sentensi sahihi 
 • Zoezi kitabuni mwa wanafunzi 
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 262    
  4 Kuunda nomino kutokana na vitenzi

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kuunda nomino kutokana na vitenzi 
 • Kuunda nomino kutokana na vitenzi
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi 
Zoezi kitabuni mwa wanafunzi Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 263   
   5

KUANDIKA

 • Barua rasmi
 • Hotuba
 • Methali
 • Ratiba
 • Mjadala

Kufikia mwisho wa mafunzo mwanafunzi aweze:

 • Kueleza mbinu za uandishi wa barua rasmi, Insha za; hotuba, methali, ratiba na mjadala
 • Kueleza mbinu za uandishi wa barua rasmi, Insha za; hotuba, methali, ratiba na mjadala
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi
 • Uhusika wa wanafunzi
 • Zoezi kitabuni mwa wanafunzi
Kiswahili KITUKUZWE: kidato cha 2: kitabu cha wanafunzi, Nairobi:KLB Uk 265    
   8                            MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA       
KCM & MWM MAAZIMO YA KAZI KIDATO CHA KWANZA MUHULA WA TATU MWAKA 2020/2021
JUMA KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA NYENZO MAONI
 1      1 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kujibu maswali kutokana na kifungu.
Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi.
Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa.
Drama.
Ufahamu wa kusikiliza.
Mjadala.
Kusoma Kifungu.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 113-5

MWM Uk. 90-91

 
 2 Kuandika.
Utunzi.
Barua rasmi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuandika barua rasmi kwa ufasaha.
Maelezo.
Mifano.

KCM Uk. 115

MWM Uk. 91

 
 3 Kusikiliza na kuzungumza. Kazi mbalimbali. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutaja kazi mbalimbali.
Kufafanua kazi mbalimbali.
Kujadili manufaa na hasara za kazi mbalimbali.
Mdahalo.
Mahojiano.
Ufafanuzi.
Kuigiza bila maneno.
Kusoma ufahamu.

KCM Uk. 117

MWM Uk. 93-4

Kamusi

 
 4 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa ufasaha.
Kueleza maana za maneno na vifungu.
Kujibu maswali.

Ufafanuzi.
Kusoma.
Maswali na majibu.
Tajriba.
Mazoezi.

KCM Uk. 117-8

MWM Uk. 87-8

Kamusi

 
 5 Kuandika. 
Ufasaha wa lugha.
Uandishi wa kawaida.
Muhtasari.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kufafanua maana ya ufupisho.
Kueleza umuhimu wa muhtasari.
Kudondoa hoja kuu.
Keleza mambo kwa muhtasari.
Utatanuzi wa mambo.
Mifano.
Vielezo.
Kusikiliza ufahamu.

KCM Uk. 120-1

MWM Uk. 95-6

 
 2    1 Sarufi na matumizi ya lugha. Kauli za vitenzi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kugeuza vitenzi katika kauli fulani.
Kueleza maana ya sentensi zenye vitenzi katika kauli fulani.
Ufaraguzi.
Mifano.
Kujaza jedwali.
Kazi mradi.

KCM Uk. 119-120

MWM Uk. 94-95

 
 2-3 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kujibu maswali kutokana na kifungu.
Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi.
Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa.
Kueleza maana  ya msamiati wa vihusishi.
Utatanuzi wa mambo.
Ufahamu wa kusikiliza.
Mjadala.
Kusoma kifungu.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 122-3

MWM Uk. 96-7

 
 4 Kuandika.
Utunzi.
Mchezo mfupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutunga mchezo wa kuigiza kwa kusingatia mbinu za utunzi wa michezo ya kuigiza.
Drama.
Maelezo.
Majadiliano.
Utafiti.
Mazoezi

KCM Uk. 123-4

MWM Uk. 98

 
5 Kusikiliza na kuzungumza. Teknologia mpya. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutaja majina ya vifaa.
Kueleza matumizi ya vifaa.
Kutunga sentense na aya kuhusu vifaa vya teknologia.
Uvumbuzi.
Maelezo.
Majadiliano.
Usomaji.

KCM Uk. 125

MWM Uk. 98-100

Kamusi

 
3 1-2 Kusoma na Kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa ufasaha.
Kueleza maana za maneno na vifungu.
Kujibu maswali.
Ufafanuzi.
Kusoma.
Maswali na majibu.
Tajriba.
Mazoezi.

KCM Uk. 126-128

MWM Uk. 100-1

Kamusi

 
3 Sarufi na matumizi ya lugha. Mpangilio na uhusiano wa maneno. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kupanga maneno katika nafasi sahihi kwenye sentensi.
Michezo ya lugha.
Mifano.
Vielezo.

KCM Uk. 128-9

MWM Uk. 101-2

Kamusi

 
4 Kusikiliza na kuzungumza.
Ufasaha wa lugha.
Uundaji wa maneno. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza sababu ya kuunda maneno.
Kuunda maneno kutoka kwa maneno mengine.
Ufafanuzi. Mifano.
Maelezo.
Imla.
Mazoezi.

KCM Uk. 129-130

MWM Uk. 102-3

 
5 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kujibu maswali kutokana na kifungu.
Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi.
Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa.
Kueleza maana ya msamiati wa vihusishi.
Utatuzi wa mambo.
Ufahamu wa kusikiliza.
Mjadala.
Kusoma kifungu.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 130-2

MWM Uk. 103-4

 
4 1-2 Kuandika.
Utunzi.
Insha ya wasifu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuandika sifa za kitu, jambo au mtu.
Kutumia lugha inayotoa sifa za kitu, jambo au mtu.
Ufafanuzi.
Mifano.
Maelezo.
Mazoezi.

KCM Uk. 132

MWM Uk. 104-5

 
3 Kusikiliza na kudadisi. Semi-Nahau. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya nahau.
Kutumia nahau katika sentense.
Utafiti.
Mifano.
Kuandika.
Kazi mradi.

KCM Uk. 133

MWM Uk. 105-6

 
4 Kusikiliza na kuzungumza. Hotuba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutaja sehemu za hotuba.
Kueleza ujumbe wa hotuba
Uigizaji.
Maswali na majibu.
Majadiliano.
Ksikiliza ufahamu.

KCM Uk. 133-5

MWM Uk. 105-6

 
5 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa ufasaha.
Kueleza maana za maneno na vifungu.
Kujibu maswali.
Ufafanuzi.
Maswali na majibu.
Kusoma.
Tajriba.

KCM Uk. 135-7

MWM Uk. 105-6

Kamusi

 
5 1-2 Sarufi na matumiza ya lugha. Maana na aina za sentensi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sentensi.
Kutunga sentensi sahihi na ambatano.
Uchunguzi.
Mifano.
Ufafanuzi.
Tajriba.
Mazoezi.

KCM Uk. 137-8

MWM Uk. 108

 
3 Kusikiliza na kuzungumza.
Ufasaha wa lugha.
Lugha ya hotuba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutaja sifa za hotuba.
Kutoa hotuba fupi mbele ya darasa.
Kuandika hotuba fupi.
Kuigiza.
Vikundi.
Maswali na majibu.
Mazoezi.

KCM Uk. 138-40

MWM Uk. 108-9

Kamusi

 
4-5 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza vitendo vya wahusika.
Kujibu maswali kwa usahihi.
Kutumia misemo katika sentensi.
Maelezo.
Maigizo.
Ufafanuzi.
Masimulizi.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 140-2

MWM Uk. 109-10

 
6 1 Kuandika.
Utunzi.
Hotuba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuandika hotuba yenye mtirirko wa mawazo.
Mifano / marudio.
Melezo.
Kazi mradi.

KCM Uk. 142

MWM Uk. 110

 
2 Kusikiliza na kuzungumza. Utungaji wa kisanii.
Vitanzi ndimi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutamka maneno harakaharaka.
Kueleza maana ya maneno yatatanishayo.
Kutunga vitansi ndimi.
Michezo ya lugha.
Mashindano.
Mifano.
Imla.
Kazi mradi.

KCM Uk. 143

MWM Uk. 111

 
3-4 Kusikiliza na kuzungumza. Mjadala. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuzua hoja na kuzitetea.
Kuziwasilisha katika mjadala kwa ufasaha.
Mjadala.
Utendaji.
Ufafanuzi.
Tajriba.
Imla.

KCM Uk. 143

MWM Uk. 111-2

 
5 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza taarifa.
Kueleza chanzo na madhara ya ufisadi.
Kujibu maswali.
Usomaji.
Ufafanuzi.
Tajriba.
Makundi.
Mazoezi.

KCM Uk. 144-5

MWM Uk. 111-2

Kamusi

 
7 1 Sarufi na matumizi ya lugha. Tungo na sentense. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tungo, kirai, kishazi na sentensi.
Kujua sifa za tungo, kirai, kishazi na sentensi.
Kubainisha virai na vishazi katika tungo.
Ufafanuzi.
Maelezo.
Majadiliano.
Mazoezi.

KCM Uk. 145-7

MWM Uk. 113-4

 
2 Kuandika.
Ufasaha wa lugha.
Alama za uakifishaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutumia alama fulani za uakifishaji.
Kutumia alama za uakifishaji katika maandishi.
Maelezo. 
Ufafanuzi.
Mifano.
Mazoezi.
Marudio ya mazoezi.

KCM Uk. -147-9

MWM Uk. 114-5

 
3 Kusikiliza na kudadisi.
Fasihi yetu.
Mashairi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuanishashairi.
Kudondoa hoja kuu kutoka sahiri.
Kueleza shairi kwa lugha nadhari.
Masimulizi.
ufafanuzi.
Uchambuzi.
Maswali na majibu.
Kukariri.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 149-152

MWM Uk. 115-6

 
4 Kuandika.
Utunzi.
Insha ya mjadala. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa insha ya mjadala.
Kufafanua sifa na kuandika insha ya mjadala kwa usahihi.
Maelezo na ufafanuzi.
Mjadala.
Utafiti na uchunguzi.
Maswali na majibu.
Tajriba. Mazoezi.

KCM Uk.152

MWM Uk. 116-7

 
5 Kusikiliza na kuzungumza. Tanakali za sauti. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutoa mifano ya tanakali za sauti.
Kutunga sentensi kutumia tanakli za sauti.
Utatuzi.
Tajriba.
Uchunguzi.
Kusoma.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 154-6

MWM Uk. 110-11

 
8 1 Kusikiliza na kuzungumza. Magonjwa. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutafakari juu ya maswala yanayoibuka katika jamii.
Kutaja baadhi ya magonjwa ya kisasa.
Maelezo.
Utafiti.
Mahojiano.
Ukusanyanji.
Ufahamu wa kusikiliza.

KCM Uk. 153

MWM Uk. 117-8

 
2 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma taarifa kwa ufasaha.
Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora.
Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi.
Usomaji.
Maswali na majibu.
Majadiliano.
Utafiti.
Maelezo.
Tajriba.
Mazoezi.

KCM Uk. 153-5

MWM Uk. 118-120

 
3 Sarufi na matumizi ya lugha. Vaimbishi vimilikishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kubainisha maana ya vivumishi vimilikishi.
Kuorodhesha vivumilishi vimilikishi.
kutumia vivumilishi vimilikishi katika sentensi.
Maelezo.
Tajriba.
Mifano.
Maswali na majibu.
Mazoezi.

KCM Uk. 156-7

MWM Uk. 120-21

 
4 Kuandika.
Ufasaha wa lugha.
Muhtasari. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuandika kwa ufupi na urefu wa maneno.
Kufupisha vifungu kulingana na maagizo.
Kujibu maswali kwa kuzingatia idadi ya maneno kulingana na maagizo.
Maelezo.
Ufafanuzai.
Uchunguzi.
Mifano.
Maswali na majibu.
Mazoezi.

KCM Uk. 157-8

MWM Uk. 121-2

 
5 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Riwaya / hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuimarisha ujuzi wa kusoma.
Kuweka msingi wa fasihi andishi.
Maelezo.
Ufafanuzi.
Uchunguzi maigizo.
Kusikiliza ufahamu.

KCM Uk. 158-160

MWM Uk. 90-91

 
9 1 Kuandika.
Utunzi.
Utungaji wa kisanii. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutunga kazi ya sanaa.
Maelezo.
Mifano.
Utafiti.
Mazoezi.

KCM Uk. 160

MWM Uk. 124-5

 
2 Kusikiliza na kuzungumza. Misemo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kututmia misemo kutungia sentensi.
Kueleza maana na matumiza ya misemo.
Maelezo.
Masimulizi.
Ufahamu.
Mazoezi.

KCM Uk. 161

MWM Uk. 125-6

 
3 Kusikiliza na kuzungumza. Kujaza hojaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutaja muundo wa hojaji.
Kueleza umuhimu wa hojaji.
Kujibu maswali kuhusu hojaji kikamilifu.
Maswali na majibu.
Kuandika.
Ufahamu wa kusikiliza.
Mazoezi.

KCM Uk. 161-2

MWM Uk. 127

 
4 Sarufi na matumizi ya lugha. Vionyeshi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vionyeshi.
Kueleza aina ya vionyeshi.
Kutumia vionyeshi katika sentensi.
Maelezo. Ufafanuzi.
Maswali na majibu.
Mazoezi.

KCM Uk. 164-5

MWM Uk. -128-9

 
5 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma taarifa kwa ufasaha.
Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora.
Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi.
Usomaji. Maswali na majibu.
Majadiliano.
Utafiti.
Maelezo.
Tajriba.

KCM Uk. 162-3

MWM Uk. 127-8

 
10 1 Kusikiliza na kuzungumza.
(Ufasaha wa lugha)
Barabarani. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza safari barabarani.
Kutaja na kufasiri alama za barabarani.
Kutumia maneno mapya kwa usahihi.
Maelezo.
Ufafanuzi.
Maswali na majibu.
Kusikiliza ufahamu.

KCM Uk. 165-6

MWM Uk. 129-130

 
2 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Riwaya / hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza uhuru aliotaka mhusika.
Kueleza maana ya maneno mageni na misemo mipya katika taarifa.
Kueleza sababu ya kutumia alama ya dukuduku.
Ugunduzi wa kuongozwa.
Masimulizi.
Mjadala.
Ufahamu wa kusikiliza.

KCM Uk. 167-9

MWM Uk. 130-1
Vatabu vingine vya hadithi

 
3 Kuandika.
Utunzi.
Umdhaniaye ndiye siye ........... Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kujibu maswali kutoka kifungu.
Kutumia maneno mapya kkwa usahihi.
Maelezo.
Ufafanuzi.
Mifano.
Uhakiki.

KCM Uk. 169-70

MWM Uk. 131-132

 
4 Kuandika. Insha ya picha. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kufaairi ujumbe wa picha.
Kuandika insha kutokana na picha.
Maelezo.
Majadiliano.
Tajriba.
Makundi.
Mazoezi.

KCM Uk. 171

MWM Uk. 133-4

 
5 Kusikiliza na kuzungumza. Haki za watoto. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza haki za watoto.
Kueleza wajibu unaoambatana na kila haki ya mtoto.
Kukuza ujuzi wa kujadili ma kutoa maelezo kimantiki.
Kisa / hadithi.
Majadiliano.
Kuchochea wanafunzi kuongea.
Maelezo.

KCM Uk. 171-2

MWM Uk. 134-5

 
11 1 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma taarifa kwa ufasaha.
Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora.
Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi.
Kuzindua masuala maalum kutoka ufahamu.
Usomaji.
Maswali na majibu.
Majadiliano.
Utafiti.
Maelezo.
Tajriba.

KCM Uk. 172-4

MWM Uk. -136-7

 
2 Sarufi na matumizi ya lugha. Kirejeshi - amba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutumia mzizi -amba kwa usahihi katika ngeli zote.
Kutumia 'o' rejeshi badala ya mzizi -amba.
Tjriba.
Mifano.
Mazoezi.

KCM Uk. 174-6

MWM Uk. 137-8

 
3 Kusikiliza na kuzungumza.
(Ufasaha wa lugha)
Lugha ya magezetini. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza matumiza ya lugha katika magazeti.
Kuonyesha sifa za lugha katika magazetini.
Kuandika makala ya magazeti k.v, ukumwi, maji, njaa, ufisadi, n.k.

Kusoma makala ya magazeti.
Uchunguzi.
Mifano.
Maelezo.
Ufafanuzi.

KCM Uk. 179-81

MWM Uk. 131-2
Magazetti

 
4 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Riwaya / hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuimarisha sauti ya kusoma.
Kumpa nafasi kuingiliana na kutenda katika matini ya fasihi.
Kuhakiki ujumbe wa lugha iliyotumika.
Mifano.
Maelezo.
Ufafanuzi.

KCM Uk. 177-9

MWM Uk. 130

 
5 Kuandika.
Utunzi.
Uandishi wa hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kufafanua hatua za kuandika hadithi fupi.
Kuandika hadithi fupi.
Kuwa na msingi wa uandishi wa kisanaa.
Mifano.
Uxhunguzi.
Vidokezo.
Majadiliano
Maelezo.
Ufafanuzi.

KCM Uk. 177-180

MWM Uk. 140-1

 
12-13 MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA