Displaying items by tag: Sanifu

RATIBA YA SOMO LA KISWAHILI DARASA LA NANE MUHULA PILI –2023

WK

KIP

FUNZO

MADA

SHABAHA

SHUGHULI ZA MAFUNZO

NYENZO

ASILIA

MAONI

1

 

MARUDIO

Mada mbalimbali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuyarudia aliyoyapitia katika darasa la saba  ili kujitayarisha kwa kazi ya muhula wa pili

 • Kuuliza na kujibu maswali ya kauli na ya kimaandishi.

Karatasi za mitihani iliyopita

Vitabu mbalimbali vya marudio.

 

2

 

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Msamiati wa teknologia

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

kueleza msamiati wa teknologia

Kuabainisha matumizi na kufafanua  faida za vifaa vya teknologia

 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kutoa maelezo ya vifaa vya teknoplogia

picha za vifaa mbalimbali vya teknologia

KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi:  (Toleo Jipya 2005)uk.  88

Mwongozo uk. 61

 

2

KUSOMA

Ufahamu

Uchungu wa mwana

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi

Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.

,,

Uk. 89

Mwongozo uk.62

 

3

KUANDIKA

Insha

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kujadili kwa kutetea hoja kwa usahihi.

 • kujadili mada
 • kujibu maswali
 • Kuandika insha

vidokezo Ubaoni

Uk. 91

Mwongozo uk.64

 

4

SARUFI

Matumizi ya ‘na’

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

 kubainisha matumizi mbalimbali ya ‘na’

kutumia ‘na’ katika sentensi kwa usahihi

 • Kuunda sentensi
 • kubainisha matumizi mbalimbali ya ‘na’

Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi

 

Uk. 90

Mwongozo uk.63

 

5

MAPAMBO YA LUGHA

Misemo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

kueleza maana na matumizi ya misemo

Kutumia misemo kuunda sentensi sahihi

 • kueleza maana ya misemo
 • kuunda sentensi
 • kutaja mifano ya misemo

chati yenye mifano ya misemo

Uk. 62

Mwongozo uk.90

 

3

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Msamiati wa ukoo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha baadhi ya msamiati wa ukoo

kutumia msamiati wa ukoo kwa usahihi

 • kutoa maelezo
 • kutaja msamiati wa ukoo
 • kutunga sentensi

 Uhusika wa wanafunzi

maelezo kitabuni

KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi:  (Toleo Jipya 2005)uk.92

  Mwongozo uk 65

 

2

KUSOMA

Ufahamu:

Sijafisha

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.

 • Kusoma
 • kueleza maana ya maneno mapya
 • Kuuliza na kujibu maswali

Taarifa kitabuni mwa wanafunzi.

 

Uk 93

Mwongozo uk. 66

 

3

KUANDIKA

Insha ya maelezo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kuvutia kwa hati nadhifu

 • kuandika insha ya maelezo

Vidokezo ubaoni

Uk  96

Mwongozo uk.68

 

4

SARUFI

Matumizi ya ndi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maatumizi sahihi ya ‘ndi’ katika ngeli zote

 • Kutaja matumizi ya ‘ndi’ katika ngeli zote Kufanya zoezi

Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi

Uk 95

Mwongozo uk.67

 

5

MAPAMBO YA LUGHA

Methali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana na matumizi ya methali zenye mzizi ‘ndi’

 • Kutaja na kueleza maana ya methali
 • Kufanya zoezi

kamusi ya methali.

 

Uk  67

Mwongozo uk.94

 

4

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

viwanda

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja baadhi ya viwanda vyetu nchini

kueleza aina za bidhaa kwenye viwanda hivyo

 • kutaja baadhi ya viwanda
 • kueleza aina za bidhaa kwenye viwanda

Uhusika wa wanafunzi

Picha na michoro

KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi:  (Toleo Jipya 2005)uk.  104

Mwongozo 70

 

2

KUSOMA

Ufahamu

Kazi ya mikono haitupi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi

makala na vitabu mbalimbali.

Vitabu kutoka maktaba

 

3

KUANDIKA

Mtungo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza pengo akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi

 • kuandika kwa kujaza mapengo

Maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Kitabu cha mwanafunzi:. 109

Mwongozo uk. 73

 

4

SARUFI

Vielezi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana ya vielezi,

Kufafanua aina mbalimbali za vielezi

 • kuuliza na kujibu maswali
 • Kuunda sentensi

Maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Kitabu cha mwanafunzi: 107

Mwongozo uk.73

 

5

MAPAMBO YA LUGHA

Methali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainishi maana na matumizi ya methali

 • Kutaja methali zinazofanana kimaana
 • Kufanya zoezi

Chati yenye methali zinazifanana

Kitabu cha mwanafunzi:Uk. 107

Mwongozo uk.72

 

5

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Matunda miti na mimea

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha aina mbalimbali za matunda miti na mimea

kutumia msamiati wa matunda mimea na miti kwa usahihi

 • Kuuliza na kujibu maswali.
 • kubainisha aina mbalimbali za matunda miti na mimea

Picha na michoro

 

KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi:  (Toleo Jipya 2005)uk.  110

Mwongozo uk74

 

2

KUSOMA

Ufahamu

Mwandani wetu

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma Taarifa kwa makini na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi

 • kusoma
 • kujibu maswali ya ufahamu

Taarifa kitabuni mwa wanafunzi

Kitabu cha mwanafunzi:UK. 111

 Mwongozo uk.76

 

3

KUANDIKA

Insha ya maelezo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kulingana na mpangilio muafaka

 • Kujadili mada
 • Kuandika insha

Vidokezo ubaoni

Kitabu cha mwanafunzi:Uk. 115

Mwongozo uk.79

 

4

SARUFI

Viulizi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana ya viulizi

kubainisha aina za viulizi

kutumia viulizi kuunda sentensi    sahihi        

 • kutoa maelezo kuhusu viulizi
 • Kuunda sentensi
 • kufanya zoezi

maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Kitabu cha mwanafunzi:Uk. 113

Mwongozo uk.78

 

5

MAPAMBO YA LUGHA

Vitawe

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze :kueleza maana ya vitawe

kubainisha vitawe

vitawe  kuunda sentensi    sahihi        

 • Kujadili msamiati wa vitawe Kuunda sentensi
 • Kufanya zoezi

kamusi

Kitabu cha mwanafunzi:Uk. 112

Mwongozo uk.77

 

6

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Vitabu vya maktaba

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:  kustawisha usomaji wa vitabu vya ziada

kujadili alichokisoma

 • Kusoma
 • kuuliza na kujibu maswali
 • kujadili

vitabu vya hadithi kutoka maktaba

KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi:  (Toleo Jipya 2005)uk 122

Mwongozo 81.  

 

2

KUSOMA

Ufahamu:

Tazungukaje mbuyu?

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma shairi kwa ufasaha na kujibu maswali kutoka kwenye shairi hilo  kwa usahihi.

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi

shairi  katika kitabu cha wanafunzi.

Kitabu cha mwanafunzi: 122

Mwongozo uk.82

 

3

KUANDIKA

Insha  

Mtungo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kwa kuendeleza hoja kwa mtiririko

 • kuandika insha

 vidokezo ubaoni

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 125

Mwongozo uk. 85

 

4

SARUFI

Matumizi ya ‘katika’, na ‘ni’ na ‘kwenye

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze;  kubainisha matumizi sahihi ya katika, kwenye, ni

kurekebisha makosa ya kisarufi kutokana na matumizi mabovu ya katika, kwenye, ni

 • Kutoa maelezo kuhusu mada
 • kuunda sentensi
 • kutambua matumizi sahihi na mabovu

Mifano ubaoni

maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 124

Mwongozo uk.83

 

5

MAPAMBO YA LUGHA

vitendawili

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutega na kutegua vitendawili kwa ustadi.

 • kutega na kutegua vitendawili

uhusika wa wanafunzi.

Kitabu cha mwanafunzi Uk.124

 Mwongozo uk.82

  

7

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Miti na mimea

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha msamiati wa mimea

kufafanua faida za miti na mimea

 • Kutaja msamiati wa miti na mimea,
 • Kuuliza na kujibu maswali

Picha na michoro ya miti na mimea

KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi:  (Toleo Jipya 2005)uk.  126

 

2

KUSOMA

Ufahamu;

Mstahmilivu hula mbivu

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa  kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa  hiyo kwa usahihi.

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi

Picha na makala katika kitabu cha mwanafunzi.

Kitabu cha mwanafunzi uk. 127

Mwongozo uk. 86

 

3

KUANDIKA

Insha ya wasifu

Mekatilili

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya wasifu kuhusu mtu mashuhuri kwa hati nadhifu

 • kuandika insha ya wasifu

 

vidokezo ubaoni

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 131

Mwongozo uk. 89

 

4

SARUFI

Ukubwa wa nomino

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha nomino kwa kuiweka katika hali ya ukubwa

 • kutunga sentensi
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi

Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi

mifano ubaoni

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 130

Mwongozo uk. 87

 

5

MAPAMBO YA LUGHA

Vitate

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze: kubainisha vitate

kutumia vitate katika sentensi kwa usahihi

 • Kutamka maneno
 • Kutoa mifano zaidi ya vitate

Mifano ubaoni na kwenye kitabu

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 129

Mwongozo uk. 87

 

8

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Majina ya kike na kiume

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze: Kubainisha msamiti wa kike na kiume

 • Kubainisha majina ya kike na kiume
 • kuunda sentensi

Uhusika wa wanafunzi

KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi:  (Toleo Jipya 2005)uk138

 

2

KUSOMA

Ufahamu

Mjadala: Wanafaa kusoma pamoja

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma kwa ufasaha

kujadili funzo la makala

kutumia msamiati mpya kwa usahihi

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali
 • Kufanya zoezi

taarifa kitabuni mwa wanafunzi.

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 139

Mwongozo uk.92

 

3

KUANDIKA

Insha ya mjadala

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya mjadala kwa hati nadhifu.

 • Kujadili mbinu za uandishi wa insha na kuiandika

Vidokezo ubaoni

Kitabu cha mwanafunzi Uk.143

Mwongozo uk.94

 

4

SARUFI

Udogo wa nomino

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha nomino kwa kuiweka katika hali ya udogo

 • Kuunda sentensi
 • kueleza hali ya udogo
 • Kufanya zoezi

mifano ubaoni

Na kitabuni mwa wanafunzi

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 141

Mwongozo uk.93

 

5

MAPAMBO YA LUGHA

Visawe

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze: kubainisha visawe

kutumia visawe katika sentensi kwa usahihi

 • Kutamka maneno
 • Kutoa mifano zaidi ya visawe

Mifano ubaoni na kwenye kitabu

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 140

Mwongozo uk.92

 

9

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Msamiati wa majina ya wafanyikazi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja majina ya wafanyikazi mbalimbali na kazi zao

 • Kuuliza na kujibu maswali
 • kutaja majina ya wafanyikazi na kazi zao

Makala kitabuni

KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi:  (Toleo Jipya 2005) uk. 144

 Mwongozo uk. 96

 

2

KUSOMA

Hotuba

Uhaba wa kazi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ngojera kwa ufasaha

kukariri na kuigiza ngonjera kwa mahadhi

kujibu maswali ya ufahamu kimaandishi

 • Kusoma,kukariri
 • Kuuliza na kujibu maswali ya ufahamu
 • Kufanya zoezi

shairi katika kitabu cha wanafunzi.

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 144

Mwongozo uk.97

 

3

KUANDIKA

Insha ya maelezo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kulingana na muundu ufaao.

 • Kuandika insha

Vidokezo ubaoni

Kitabu cha mwanafunzi Uk.  147

Mwongozo uk.99

 

4

SARUFI

Usemi wa taarifa

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa halisi hadi usemi wa taarifa

 • kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa halisi au usemi wa taarifa

Mifano ubaoni

maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 146

Mwongozo uk.98

 

5

MAPAMBO YA LUGHA

Shairi: Nitafanya kazi gani?

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze :Kukariri shairi kwa mahadhi mazuri

kujadili funzo na msamiati uliotumika katika shairi

 • kukariri shairi
 • kujadili mafunzo kutoka kwenye shairi

shairii katika kitabu cha mwanafunzi

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 146

Mwongozo uk.97

 

10

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Mihadarati

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufafanua athari za mihadrati

Kutaja baadhi ya tabia na sifa za wanaotumia mihadarati

 • Kujadili kuhusu mihadarati
 • Kuuliza na kujibu maswali

Picha na michoro mbalimbali

 

KISWAHILI SANIFU 8 –Kitabu cha mwanafunzi:  (Toleo Jipya 2005)uk.  154

Mwongozo uk.100

 

2

KUSOMA

Ufahamu

Sibagaumi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma kwa ufasaha

kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi

 • Kusoma
 • Kuuliza na kujibu maswali

makala kitabuni.

Kisw. Sanifu 8 uk. 155

Mwoongozo uk. 103

 

3

KUANDIKA

Insha ya mazungumzo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya mazungumzo kwa hati nadhifu

 • Kuandika insha

Vidokezo ubaoni

 

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 157

Mwongozo uk.104

 

4

SARUFI

Usemi halisi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa taarifa hadi usemi halisi

 • kugeuza sentensi kutoka kwa usemi wa halisi au usemi wa taarifa

Mifano ubaoni

maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 103

Mwongozo uk.157

 

5

MAPAMBO YA LUGHA

Misemo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:kubainisha maana ya misemo,

Kutoa mifano ya misemo

kuunda sentensi sahihi akitumia misemo

 • kueleza maana na kutoa mifano ya misemo
 • kuunda sentensi
 • Kufanya zoezi

chati yenye mifano ya misemo

Kitabu cha mwanafunzi Uk. 156

Mwongozo uk.103

 

11

MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA