Monday, 27 February 2023 12:05

Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 2 School Based Assessment Term 1 Exams 2023 Set 2

Share via Whatsapp

QUESTIONS

SEHEMU YA B:
SEHEMU YA KWANZA:
UFAHAMU (alama 10)
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali
Siku hizi Tito amekuwa mtoto mzuri sana. Anapenda kusoma na kuchora. Ana adabu njema. Anatunza vitabu vyake vizuri. Huwa anaenda shule mapema. Hataki kuchelewa shuleni. Aliacha kutembea na wanafunzi ambao wana tabia mbaya. Walimu wake wote wanampenda.

 1. Tito amekuwa mtoto ..........................(mbaya, mzuri)
 2. Tito anapenda kusoma na ...................(kucheza, kuchora)
 3. Atatunza vitabu .............................(vizuri, vibaya)
 4. Je, Tito huwa anaenda shule?.........................(Ndio, Hapana)
 5. Tito ana adabu..........................(njema, mbaya)
 6. Tito huwa anaenda shule...................................(usiku, mapema)
 7. Tito anatembea na wanafunzi wenye tabia...........................................(mbaya, njema)
 8. Unafikiri Tito anapendwa na walimu wake?.......................................(Ndio, Hapana)
 9. Kinyume cha neno mzuri ni.................................(njema, mbaya)
 10. Ufahamu huu ni juu ya mtoto anayeitwa............................................(Mwalimu, Tito) 

SEHEMU YA 2: LUGHA
Andika majina ya picha hizi

 1. 1 auygda
 2. 2 ahdfa
 3. 3 auyfda
 4. 4 auydga
 5. 5 auyygda

Andika kinyume

 1. Amka.................................................
 2. Baba.................................................
 3. Mzee.................................................
 4. Mbele.................................................
 5. Mvulana.................................................

Kamilisha methali na kitendawili

 1. Fatuma mchafu.................................................
 2. Polepole ndio.................................................
 3. Mama nieleke.................................................
 4. Haraka haraka haina.................................................
 5. Dalili ya mvua ni..................................................
  (mwendo, mawingu, baraka, ufagio, kitanda ) 

Jibu maswali

 1. Mna maji...............................chupa. (juu, ndani)
 2. Nywele zangu ni...............................(nyeusi, nyeupe)
 3. Mwalimu huandika ubao akitumia...............................(kalamu, chaki)
 4. Mimi ni ...............................(mvulana, msichana)
 5. Mzazi wa kike huitwa..............................(baba, mama)

Tumia 'sisi' 'mimi' 'wao'

 1. ..............................tunaruka kamba.
 2. ..............................ninacheza mpira.

Jaza pengo kwa neno sahihi

 1. Juma ni..............................shule ya msingi.
  (vyombo, mwanafunzi)
 2. Sisi..............................usiku.
  (huandika, hulala)
 3. Mkulima ana..............................shambani. (lima, pika)

SEHEMU YA 3: KUANDIKA
Imla

 1. ..............................
 2. ..............................
 3. ..............................
 4. ..............................
 5. ..............................

Marking Schemes

Sehemu ya 1

 1. mzuri
 2. kuchora
 3. vizuri
 4. ndio
 5. njema
 6. mapema
 7. njema
 8. ndio
 9. mbaya
 10. Tito

Sehemu ya 2

 1. kikombe
 2. miti
 3. mayai
 4. jua
 5. chupa

Andika kinyume

 1. lala
 2. mama
 3. kijana
 4. nyuma
 5. msichana

 Kamilisha methali na kitendawili

 1. ufagio
 2. mwendo
 3. kitanda
 4. baraka
 5. mawingu

Jibu maswali

 1. ndani
 2. nyeusi
 3. chaki
 4. msichana/mvulana
 5. mama

Tumia 'sisi' 'mimi' 'wao'

 1. sisi
 2. mimi

Jaza pengo kwa neno sahihi

 1. mwanafunzi
 2. hulala
 3. lima

 

Join our whatsapp group for latest updates

Download Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 2 School Based Assessment Term 1 Exams 2023 Set 2.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.