Tuesday, 28 March 2023 12:19

Kiswahili Kusoma kwa Sauti Activities Questions and Answers - CBC Grade 2 Term 1 Opener Exams 2023 SET 6

Share via Whatsapp

MASWALI

KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA (Alama 5)

Nitakusomea hadithi kisha nitakuuliza maswali. Sikiliza kwa makini.

Mwalimu ni mtu anayefunza wanafunzi. Mwalimu wetu anaitwa Bi. Aisha. Yeye ni mwalimu wa kike. Ana miaka thelathini na mitano. Mwalimu wetu ni mrefu. Yeye ni mnene. Rangi yake ni nyeusi. Wanafunzi wote wanampenda mwalimu wetu.

  1. Mwalimu ni nani?
    (Mwanafunzi ajibu)
  2. Mwalimu wetu anaitwa nani?
    (Mwanafunal ajibu)
  3. Yeye ana miaka mingapi?
    (Mwanafunzi ojibu)
  4. Mwalimu wetu ana rangi gani?
    (Mwanafunzi ojibu)

2. KUSOMA KWA SAUTI (Alamn 20)
Soma hadithi hii kwa sauti

Babu alitusimulia hadithi kuhusu lishe bora. Alituambia uwe minogo mtama, maharagwe na viazi vitamu vinaongezea milli yetu nouvu.

Alituambia tule matundo kama parachichi, papai, tufonc na mapera. Pia, alitueleza kuwa tuwe watoto ambao wanakula mboga kama vile minavu, mchicha na kobeji. Alitusisitizion kuwa mboga na matunda hukinga miili yetu dhidi ya magonjwa. Alimatizia kwa kusema lishe bora afya bora.

MAJIBU

  1. mtu anayefunza wanafunzi
  2. Bi.Asha
  3. miaka thelathini na mitano
  4. nyeusi
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Kusoma kwa Sauti Activities Questions and Answers - CBC Grade 2 Term 1 Opener Exams 2023 SET 6.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.