Friday, 14 April 2023 07:02

School Based Assessment Shughuli Za Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 2 End Term 1 Exams 2023 SET 1

Share via Whatsapp

SEHEMU YA B;

SEHEMU YA 1 :SARUFI

Tumia  nyinyi ama wewe 

 1.                        unajibu maswali .
 2.                           mnacheza mpira.
 3.                            unasoma  kitabu.
 4.                            ni mtoto
 5.                            mnafugia darasa leo .

Tumia silabi katika jedwali kuunda maneno 

mfano ; da ra sa - darasa

wa  ba  fu  ti   a
 nzi  za  da  ra  ko sa 

Andika kwa herufi kubwa

 1. kalamu 
 2. haki 
 3. dawati
 4. elimu

Tumia maneno haya kutinga sentensi .

 1. Bendera 
 2.  Mtoto
 3. Mti

Andika kwa wingi 

 1. mti
 2. kitabu
 3. mgeni
 4. yai
 5. paka

Andika kinyume 

 1. juu
 2. usiku
 3. babu
 4. safi
 5. lala

SEHEMU YA 2: KUANDIKA 

IMLAMARKING SCHIME 

 1. Wewe
 2. Nyinyi
 3. Wewe
 4. wewe
 5. Nyinyi
 6. KALAMU
 7. HAKI
 8. DAWATI
 9. ELIMU
 10. Miti
 11. vitabu
 12. wageni
 13. mayai
 14. paka
 15. chini
 16. mchana
 17. nyanya
 18. chafu
 19. amka

 

Join our whatsapp group for latest updates

Download School Based Assessment Shughuli Za Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 2 End Term 1 Exams 2023 SET 1.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.