Wednesday, 21 June 2023 09:10

Kusikiliza na Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - CBC Grade 3 Term 2 Opener Exams 2023 SET 2

Share via Whatsapp
 1. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA (Alama 5)
  Mwalimu amwamkue mwanafunzi kisha amuulize maswali yafuatayo. Mwanafunzi amsikilize mwalimu na ajibu maswali kwa kutumia lugha ya Kiswahili.
  1. Leo ni tarehe ngapi? (Mwanafunzi ajibu)
  2. Mwaka mmoja una miezi mingapi? (Mwanafunzi ajibu)
  3. Taja miezi mitatu ya mwaka unayoijua. (Mwanafunzi ajibu)
   1. _____________________________
   2. _____________________________
   3. ______________________________
 2. KUSOMA KWA SAUTI (Alama 10)
  Soma hadithi hii kwa sauti
  G3SKT2OS22023Q1
  Ilikuwa siku ya Alhamisi. Mwalimu wetu aliingia darasani akiwa na furaha riboribo. Alituambia kuwa tutajifunza majina ya ukoo. Alituambia baba na mama ni wazazi. Baba ni mzazi wa kiume na mama ni mzazi wa kike. Ndugu wa kike ni dada na ndugu wa kiume ni kaka. Kaka wa mama ni mjomba huku kaka wa baba ni ami. Halati ni dada wa mama. Shangazi ni dada wa baba. Mtoto wa shangazi, mjomba, ami na halati anaitwa binamu. Mwishowe alituambia kuwa babu ni baba wa mama au baba. Nyanya ni mama wa baba au mama. Kwa kweli, kilikuwa kipindi cha kufurahisha.
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kusikiliza na Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - CBC Grade 3 Term 2 Opener Exams 2023 SET 2.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.