Wednesday, 01 September 2021 06:46

Kiswahili Activities - Grade 3 End Term 1 Exam 2021 SET 1

Share via Whatsapp

COMPETENCY BASED CURICULUM ASSESSMENT
Shughuli za kiswahili
Jina:...........................................................Shule..........................................................

Jibu maswali yote kwenye nafasi zilizoachwa wazi
IMLA

 1. _________________________

 2. _________________________

 3. _________________________

 4. _________________________

 5. _________________________

  Weka alama (!), (?) au (.) mwishoni mwa sentensi hizi.
 6. Je, wanafunzi walizuru mbuga gani_________
 7. Kwa nini unapenda Kiswahili______________
 8. Mama alininunulia kalamu, kitabu na wino______

  Ziandike upya sentensi hizi ukitenganisha maneno
 9. Tuliendashuleni
  _______________________________________
 10. Mamaanapikachakula
  _______________________________________
 11. Sisiniwanafunzi
  _______________________________________
 12. Mkulimaanalimashamba
  _______________________________________

  Andika sentensi zifuatazo kwa umoja
 13. Wanafunzi walinunua kalamu.
  _________________________________________
 14. Maganda yalitupwa
  _________________________________________
 15. Wageni waliketi
  _________________________________________

  Tumia vimilikishi ifaavyo kujaza pengo
 16. Kiatu________________kimeharibika (changu, yangu)
 17. Mwalimu________________ananipenda. (yangu, wangu)
 18. Chumba____________ ni kizuri. (yetu, chetu)
 19. Gari___________limeegeshwa. (letu, yetu)

  Ambatanisha Jina na picha.
  Picha                                               Jina

 20. KisG3et121q20                             Ng'ombe
 21.  
  KisG3et121q21                                 punda

 22. KisG3et121q22                              sungura

  Andika vinyume vya maneno vifuatavyo
 23. Lala____________________
 24. Cheka___________________
 25. Simama__________________

MARKING SCHEME

IMLA

Mwanafunzi ataandika maneno sahihi kulinagana na yale mwalimu atamwambia

 1. ?
 2. ?
 3. .
 4.  tulienda shuleni
 5. mama anapika chakula.
 6. sisi ni wanafunzi
 7. mkulima analima shamba
 8. mwanafuzi alinunua kalamu
 9. ganda lilitupwa
 10. mgeni aliketi
 11. kiatu changu kimeharibika
 12. mwalimu wangu ananipenda
 13. chumba chetu ni kizuri
 14. gari letu limeegeshwa
 15. KisG3et121q20                             punda 
 16. KisG3et121q21                                 sungura
 17. KisG3et121q22                              ng'ombe
  (mwanafunzi anafai kulinganisha na mstari)
 18. amka
 19. lia
 20. keti
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Activities - Grade 3 End Term 1 Exam 2021 SET 1.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.