Thursday, 05 October 2023 09:09

Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - Grade 3 Mid Term 3 Exams 2023 Set 1

Share via Whatsapp

SEHEMU YA A:

SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

  1. Majina yako kamili ni?
  2. Taja matunda mawili yanayouzwa sokoni.
  3. Je, maganda ya matunda yanapaswa kutupwa wapi?
  4. Taja vifaa vitatu vya kusafisha soko.
  5. Je, ni nini inawezafanywa kuhusu usafi wa mazingira?
  6. Kinyume cha neno "usafi'' ni?

SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI

Likizo ya muhula wa pili iliisha haraka bila kutarajiwa. Wazazi, walimu pamoja na wanafunzi walijitayarisha kwa muhula
wa tatu. Ilikuwa furaha tele.

Jumapili jioni Naliaka alimkumbusha mama yake. Mama akamjibu asante sana nitakupeleka kesho asubuhi. Asubuni ilipofika Naliaka na mama yake waliandamana hadi shuleni

Join our whatsapp group for latest updates

Download Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - Grade 3 Mid Term 3 Exams 2023 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.