Tuesday, 24 October 2023 07:27

Shuguli za Kiswahili Maswali na Majibu - Grade 1 End Term 3 Exams 2023 Set 1

Share via Whatsapp

TEACHER'S SCORING GUIDE:
ASSESSMENT RUBRICS

 Kuzidisha matarajio  Kufikia matarajio        
   
 Kukaribia matarajio  Mbali na matarajio
   

 

SEHEMU YA 3: UFAHAMU
Soma hadithi ifwatayo kish ujibu maswali
Mbuzi mmoja aliataka kuwa simba. Alianza kujifunza kunguruma kama simba. Mbuzi wengine walianza kumwogopa. Wakamuuliza. ''Kwa nini sauti yako inatisha?'' Aliwajibu mimi ni simba. Mimi si mbuzi kama nyinyi.

  1. Mbuzi ana miguu mingapi? ______ (2, 4, 6)
  2. Mbuzi alitaka awe kama? ______
  3. Chora na upake rangi mbuzi
  4. Sauti ya mbuzi ilikuwa kam ya? _____
  5. Mbuzi hula?______

SEHEMU YA NEE: SARUFI
Andika kwa herufi ndogo

  1. KITABU
  2. NGUO

Andika kinyume

  1. chini
  2. keti

Jaza pengo kwa jina halisi

  1. Visu hivi ni _______ (chao,vyao)
  2. _______ ni mwalimu wetu. (hawa,huyu)

Andika majina

  1.  
         MathsGrade1Q50 
  2.  
    MathsGrade1Q51

Andika kwa maneno au nambari

  1. Tisa ______
  2. Kumi na nane_____
  3. 17 _______

Jaza pengo

  1. Jua leo ni ______ (baridi, moto)
  2. Maji ya mtungi ni______ (baridi, moto)

Andika 'chini ya', 'juu ya', 'ndani ya'

  1. Maziwa iko _____ ya glesi.
    MathsGrade1Q52
  2. Mpira iko ______ ya meza.
    MathsGrade1Q53

Andika kwa wingi

  1. Mkono _____
  2. Kisu _____
  3. Mkate ______

Kamlisha sentesi zifwatazo

  1. Jina langu ni _______
  2. Niko katika gredi ya ______
  3. Mwalimu mkuu wetu anaitwa _______

SEHEMU YA TANO: KUANDIKA
IMLA

  1.  
  2.  
  3.   
  4.  
  5.  

MWONGOZO WA KUSAHIHISHA

  1. 4
  2. simba
  3. Kuzingatiwa na mwalimu
  4. simba
  5. matawi
  6. kitabu
  7. nguo
  8. juu
  9. simama
  10. vyao
  11. huyu
  12. mti
  13. mpira
  14. 9
  15. 18
  16. kumi na saba
  17. moto
  18. baridi
  19. ndani ya
  20. juu ya
  21. mikono
  22. visu
  23. mikate
  24. Kuzingatiwa na mwalimu
  25. kwanza
  26. Kuzingatiwa na mwalimu

KUANDIKA IMLA

Kuzingatiwa na mwalimu

Join our whatsapp group for latest updates

Download Shuguli za Kiswahili Maswali na Majibu - Grade 1 End Term 3 Exams 2023 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.