Tuesday, 24 October 2023 07:25

Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - Grade 1 End Term 3 Exams 2023 Set 1

Share via Whatsapp

SEMEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Mwalimu atamuuliza mwanafunzi maswali yafuatayo

Mwalimu: Hujambo?

Mwanafunzi: Ajibu ...........

Mwalimu: Karibu kwenye dawati

Mwanafunzi: Ajibu ..............

Mwalimu: Leo ni siku gani?

Mwanafunzi: Ajibu .............

Mwalimu: Ni siku ngapi tunaenda shule?

Mwanafunzi: Ajibu ............

Mwalimu: Wiki moja in siku ngapi?

Mwanafunzi: Ajibu ..............

Mwalimu: Kesho itakua siku gani?

Mwanafunzi: Ajibu ..............

Mwalimu: Ni siku gani unaenda kuabudu?

Mwanafunzi: Ajibu ..............

SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu hiki kwa sauti

Mimi ni Mumbi. Niko katika gredi ya kwanza. Nikimaliza masomo ningependa kuwa daktari kama mjomba wangu ili nitibu watoto na wamama. Nitatibu ugonjwa kama corona, kipindupindu, malaria na homa ya tumbo.

Join our whatsapp group for latest updates

Download Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - Grade 1 End Term 3 Exams 2023 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.