0 votes
606 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
  1. Nini maana ya lugha  

4 Answers

0 votes
by
Ni matumizi ya maneno katika sentensi
0 votes
by
Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu unaotumiwa na jamii kuwasiliana.

0 votes
by
Lugha ni mfumo wa sauti nasibu unaotumiwa na jamii au watu kwa minajili ya mawasiliano

0 votes
by
Ni utaratibu au mpangilio/mfumo wa sauti nasibu unaotumiwa na watu wajamii fulani ili kuwasiliana.

Related questions

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.9k questions

8.3k answers

6 comments

590 users

...