Kiswahili Schemes - Grade 2 Schemes of Work Term 1 2023

Rate this item
(2 votes)

 

JUMA

KIPINDI

MADA

MADA NDOGO

MATOKEO MAALUMU YANAYOTARAJIWA

MASWALI DADISI

MAPENDEKEZO YA SHUGHULI ZA UFUNZAJI

NYENZO

TATHMINI

 

1

1-2

Shuleni

Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili 

Kusikilizana na kuogea

Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze kutamka sauti nne za herufi moja ili kuimarisha mazungumzo

Je? sauti zipi unazojua kutamka?

Mwanafunzi aweze kutambua kutamka sauti g/d/d/na/ r katika maneno

Kazi ya vikundi Charti iliyo na michoro ya vitu vinavyo patikana shuleni

Maswali mepesi ya kauli

 

 

3

Shuleni

Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili 

Msamiati

Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze kutambua majina ya herufi moja iliyofunzwa katika kujenga stadi ya kusilizana

Je? sauti ni sauti gani tuliyosoma jana?

Mwanafunzi aweze kutambua sauti za herufi ambazo tulijifunza katika somo lililopita

Charti

Daftari na Kalamu

Maswali mepesi ya kauli Zoezi

 

2

1

Shuleni

Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili 

Kuandika

Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze kutambua maina ya herufi sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusikiliza

Je? Unaweza kutambua herufi gani katika sentensi?

Mwanafunzi aweze kutumia teknolojia kuskiliza matamshi ya sauti lengwa

Tarakilishi Charti

Maswali mepesi ya kauli Zoezi madaftarini

 

 

2

Shuleni

Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili 

Kusoma

Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze;

Kusoma herufi za sauti moja katika

kujenga stadi ya kusoma

Je,unajua kusoma herufi na maneno gani?

Mwanafunzi asome herufi kwa sauti moja kadi za herufi

Tarakilishi Charti za herufi Kadi za herufi

Maswali mepesi ya kauli

 

 

 

3

 

Shuleni

 

Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili

 

Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze;

Kusoma maneno kutumia silabi zinazotokana na herufi ili kujenga stadi ya kusoma

Je,unajua kusoma herufi na maneno gani?

 

Mwanafunzi aambatanishe silabi ya kusoma maneno yanayotokana na herufi lengwa

Charti za herufi Kadi za herufi

 

Maswali mepesi ya kauli

 

 

3

1

Shuleni

Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili  

Kusoma

Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze;

Kusoma maneno kutumia silabi zinazotokana na herufi ili kujenga stadi ya kusoma

Je,waweza kusoma kusoma sautina maneno za Kiswahili?

Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kwa kugawa maneno marefu

Vitabu vya kusoma

Maswali mepesi ya kauli Kuwatazama Wanafunzi wanaposoma

 

 

2

Shuleni

Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili  

Kuandika

Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze;

Kuandika herufi zinazowakilishwa na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma

Je,waweza kusoma kuandika sauti na maneno za Kiswahili?

Mwanafunzi aweze kuandika maneno alizosoma

Kadi za herufi 

Kalamu na daftari

Maswali mepesi ya kauli Zoezi vitabuni

 

 

3

Shuleni

Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili

Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze;

Kutumia maneno yanayojumulisha sauti zilizofunzwa ilikujenga

Je,unajua herufi zipi?

Mwanafunzi kutumia maneno ya kujumulisha sauti zilizofunzwa

Charti za herufi Kadi za herufi

Maswali mepesi ya kauli

 

4

1

Shuleni

Kusikilizana kuzungumuza maamkuzi ya nyakati za siku

Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze;

Kutambua maneno yanayotumiwa katika nyakati za siku ili kuimarisha stadi ya kusikilizana kuzungumza

Tunaakuana vipi wakati wa asubuhi, mchana na jioni

Mwanafunzi aigize maamziki ya nyakati za asubuhi, mchana na jioni

Charti za kuonyesha maamziki ya nyakati Kadi za herufi mbalimbali

Maswali mepesi ya kauli

 

 

2

Shuleni

Kusikilizana kuzungumuza maamkuzi ya nyakati

mwanzafunzi aweze; Kutambua maneno yanayotumika katika maamkuzi ili kuuimarisha stadi ya kusoma

Kwanini tunasalimiana

Wanafunzi wasalimiane na kasha washirikishwe katika mjadala kuhusu maamkizi

Kazi ya vikundi

Vitabu vya kusoma

Mjadala Maswali mepesi ya kauli

 

 

3

Shuleni

Msamiati

mwanzafunzi aweze; Kutambua kwa kutaja msamiati wa shule katika kuimarisha lugha

Je, unavifaa gani vya shuleni?

Mwanafunzi aonyeshe vifaa halisi vinavyopatikana shuleni ili aweze kuchora

Vifaa halisi kama bendera, dawati, darasa, ofisi, vyoo

Maswali mepesi ya kauli

 

5

1

Shuleni

Msamiati

mwanzafunzi aweze; kusoma maneno na sentensi zinazio jumlisha msamiati shuleni ili kuuimarisha stadi ya kusoma

Taja vifaa mbalimbali vinavyo patikana shuleni na umuhimu wake

Mwanafunzi msamiati wa shuleni katika kadi au charti  na aandike majina ya vitu vinavyo patikana shuleni

Vifaa halisi kama bendera, dawati, darasa, ofisi, Michoro vitabuni

Maswali mepesi ya kauli

 

 

2

Shuleni

Msamiati

mwanzafunzi aweze; kutaja msamiati wa shuleni katika kuimarisha umilisi wa lugha

Je, unajua vifaa gani vya shuleni?

Mwanafunzi aonyeshe vifaa halisi vinavyopatikana shuleni

Kadi za michoro ya vitu vya shuleni

Maswali mepesi ya kauli

Kutizama kazi ya wnafunzi

 

 

3

Shuleni

Kusikilizana na kuzungumza masimulizi

mwanzafunzi aweze; kutaja majina ya vitu vinavyo patikana shuleni ilikuimarisha stadi ya kuzungumuza na kusikiza

Ni Vifaa vipi vinavyopatikana shuleni?

Mwanafunzi

asimulie kisa kuhusu shule zna kufafanua umuhimu wa vitu vinavyopatikana shuleni

Vifaa halisi vinavyopatikana shuleni

Michoro ya vitu shuleni

Majadiliano

Maswali

Mepesi ya kauli

 

6

 

1

 

Shuleni

 

Kusikilizana na kuzungumza masimulizi

Mwanzafunzi aweze; kusikiliza kwa makini ili kuimarisha stadi za kuzungumza na pia aweze kusimulia kuhusu vitu mbali mbali vinavyopatikana shuleni ili kuimarisha stadi za kusikilizana

Ni nani anayetumia vifaa vinavyopatikana shuleni?

Mwanafunzi awze kushiriki katika wimbo na mashairi kuhusu vifaa vinavyopatikana shulenina pia atazame picha na michoro inavyoonyesha vifaa vinavyopatikana shuleni na wajadiliane katika vikundi

Vifaa halisi vinavyopatikana shuleni

Majadiliano kati ya wanafunzi na mwalimu

Hadithi fupi

Maswali Mepesi ya kauli

 

 

2

Shuleni

Kusoma hadithi

Mwanzafunzi aweze;kutambua picha za vitu vinavyopatikana shuleni

Katika kujenga stadi ya kusoma pia aweze kueleza picha katika hadithi ili kuimarisha stadi za kuszungumuza

Unaona ninikatika picha?

Mwanafunzi ajadili picha zinazojumulishwa kwenye hadithi Mwanafunzi

atabiri kitakacho tokea

Vitabu vya hadithi vifaa halisi  vya shuleni

Maswali mepesi ya kauli

Majadiliano

 

 

3

Shuleni

Kusoma hadithi

Kusikiliza hadithi ikisomwa na mwalimu kuhusu vitu vinavyopatikana shuleni ilikuimarisha umakinifu

Nini knacho tendeka katika hadithi?

Mwanafunzi Kumsikiliza mwalimu anaposoma kasha pamoja na mwalimu na baadaye asome pekee yake kwa sauti .

Wanafunzi wasome wawili wawili au kwa vikundi

Vitabu vya hadithi

Maswali kauli Kutoka kwa hadithi

 

7

 

1

 

Shuleni

 

Kusoma hadithi

 

Mwanafunzi aweze kusoma hadithi kuhusu shuli ilikuimarisha stadi ya kusoma na pia aweze kufahamu hadithi alisoma nakusomewa ilikupata mafunzo ya hadithi

Ni nani wahusika katika hadithi?

 

Mwanafunzi aweze kusoma vitabu vya hadithi mbele ya darasa na pia aweze kuuliza na kujibu maswali yanayopatikana na ufahamu

Vitabu vya hadithi

 

Maswali mepesi ya kauli

 

 

 

2

Shuleni

Msamiati nambari 11-50

Mwanafunzi aweze kutambua nambari 11-50 kwa maneno ilikuimarisha mawasiliano

Ni nambari gani ambazo zipo jati ya 11-50?

Mwanafunzi aweze kutambua nambari 11-50 kwa maneno

Kadi za nambari na majina ya nambari hizo

Maswali mepesi ya kauli Zoezi

 

 

3

Shuleni

Kusoma nambari 11-50

Mwanafunzi aweze kutambua nambari 11-50 kwa maneno ilikuimarisha stadi ya kusoma

Je waweza kusoma nambari 11-50?

Wanafunzi wasome kadi za nambari 11-50 na aweze kutunga sentensi ya nambari 11-50

Kadi za nambari Majina yake

Maswali mepesi ya kauli Zoezi

 

8

1-3

Msami ati

Kuandika nambari

Mwanafunzi aweze kuandika nambari 11-50 kwa maneno ilikujenga stadi ya kuandika pia awezekutumia nambari 11-50 kwa maneno ilikuimarisha mazungumuzo yake

Je waweza kutumia nambari 11-50 katika sentensi?

Mwanafunzi aweze kuandika nambari 11-50 kwa maneno pia atunge sentensi akitumia majina ya nambari 11-50

Kadi za nambari

Daftari na kalamu

Maswali mepesi ya kauli Zoezi

 

9

1-3

 

Sarufi

 

Matumizi ya ako na enu

Mwanafunzi aweze kutambua Matumizi ya ako na enu katika mawasiliano na pia aweze kusoma sentensi zinazojumulisha - ako na -enu katika kujenga stadi ya kusoma

Je ni maneno gani unawaweza kutumia kuonyesha kitu nicha nani

Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ako na –enu na pia kutumia sentensi zinazojumulisha ako na -enu

Kazi ya vikundi

 

Kuchumguza jinsi

wanafunzi wanavyotumi

a ako na – enu katika sentensi

10

1-3

Haki Zangu

Msamiati “kusoma”

Mwanafunzi aweze kusoma msamiati kuhusu haki za watoto ili kuimarisha stadi za kusoma

Ni msamiati gani za haki za watoto unazoweza kutumia katika sentensi

Mwanafunzi ajadiline na wenzake kuhusu maana ya msamiati kuhusu haki za watoto

Kazi ya vikundi

Kuuliza maswali kuhusu haki za watoto

Kuwachungu za wanafunzi wanavyojadili ana

11

1-3

Haki Zangu

Msamiati  “kuandika”

Mwanafunzi kutunga sentensi akitumia msamiati wa haki za watoto kuandika sentensi akitumia msamiati wa haki za watoto kuimarisha stadi za kuandika

Ni haki gani za watooto unazozijua?

Mwanafunzi aandike msamiati Mwanafunzi atunge senensi kwa kutumia haki za watoto

Nyimbo na Mashairi kuhusu usafi wa mwili

Kazi ya vikundi

Maswali mepesi kuhusu haki za watoto

12

1

Haki Zangu

Kusikilizana na Kuzungumuz a “Masimulizi”

Mwanafunzi kutaja haki zake ilikuimarisha ujuzi na masuala yanayomwatjiri pia aweza kelelza umuhimu wa haki za watoto ili kuteteta haki zake zinapokaukiwa

Je unazijua haki zako?

Mwanafunzi ataje haki za watoto Wanafunzi wjadili michoro kwnye chato au pcha zinazozingatia haki za watoto

Vitabu vya hadithi kuhusu haki za watoto

Kuwachungu za wanafunzi wanavyojadili maswali

 

 

3

 

Haki Zangu

 

Kusoma hadithi

 

Mwanafunzi aweze kutambua picha kuhusu haki za watoto ilikufahamu hadithi vizuri na pia kufahamu hadithi za mwalimu kuhusu haki za watoto katika kuimarisha stadi za kusikiza na kusoma

Ni maswali yapi uliyojifunza katika hadithi uliyosoma?

Mwanafunzi ataje haki za watoto

Mwanafunzi ajadili picha zinazojumulishw a kwwenye hadithi pia atabiri kile ambacho kitakacho tokea katika hadithi

Vitabu vya hadithi kuhusu haki za watoto

 

Kuwachungu za wanafunzi wanavyojadili maswali  

Maswali mepesi ya kauli

13

1-2

Haki Zangu

Kusoma hadithi

Mwanafunzi aweze kusoma hadithi kuhusu haki za watoti ya kuimarisha stadi za kusoma na pia aweze kufahamu hadithi aliyosomewa kupata mafunzo yanayolengwa ya hadithi

Ni haki gani zimezingatiwa katika hadithi?

Mwanafunzi atabiri kile ambacho kitakacho tokea katika hadithi adhihirishe ufahamu wa matumizi ya haki za watoto

Daftari na kalamu

Maswali mepesi ya kauli Zoezi

 

3

Haki Zangu

Sarufi matumizi ya vizuri na vibaya

Mwanafunzi aweze kutambua matumizi yafaayo matumizi ya vizuri na vibaya katika mawasilianopia aweze kutumia vizuri na vibaya katika sentensi sahihi ili kuimarisha mawasiliano

Utatumia maneno yapi kueleza jinsi mtu alivyofanya jambo?

Mwanafunzi arejele vitendo mbalimbali kwa kutumia vizuri na vibaya kwa mfano: Mwanafunzi amesoma vizuri; Mtoto anacheza vibaya

Kazi ya Vikundi

Kuwachungu za wanafunzi wanavyotumia

Kuwachungu za wanafunzi wanavyojadili maswali katika sentensi

14

 

1-3

 

Haki Zangu

 

Sarufi matumizi ya vizuri na vibaya “Kuandika”

 

Mwanafunzi aweze kusoma na kuandika sentensi zinzajumulisha vizuri na vibaya ilikuiarisha uandishi mwafaka

 

Utatumia maneno yapi kueleza vile unavyofanya jambo?

 

Mwanafunzi

Arejele vitendo mbalimbali kwa kutumia vizuri na vibaya kwa mfano: Mwanafunzi afanye zoezi zinazojumulisha vizuri na vibaya Madaftarini mwao

Daftari na kalamu

 

Maswali mepesi ya kauli Zoezi

 

Read 308 times Last modified on Friday, 10 February 2023 13:31

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.