Kiswahili Schemes - Grade 2 Schemes of Work Term 2 2023

Rate this item
(0 votes)

WIKI

KIPINDI

Mada

MADA NDOGO

MATOKEO MAALUM YANAYOTOKEA

MASWALI DADISI

MAPENDEKEZO YA SHUGLI ZA UFUNZAJI

KAZI YA ZIADA

NYEZO

MAONI

1

1

Kutamka

Sauti na majina za Kiswahili ch,

Kufikia mwisho wa mada,  wanafunzi aweze:  

kutambua sauti za herufi mbili zilizofunzwa ili kuimarisha stadi ya kusikiliza na kuzungumza   

kutamka sauti lengwa za herufi mbili katika kuimarisha stadi ya kuzungumza

Ni sauti gani unazojua kutamka?

Mwanafunzi atambue sauti /ch/ na /dh/ katika maneno.  

Mwanafunzi asikilize sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa.  

Mwanafunzi aweza kutumia vifaa vya kiteknolojia kama vile papaya na DVD kusikiliza sauti zikitamkwa.

Mwalimu asikilize wanafunzi wakitaja sauti na majina ya Kiswahili ch.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk76

 

 

2

Msamiati

Vyombo vya usafiri

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

kutambua baadhi ya majina ya vyombo vya usafiri katika kuimarisha mawasiliano   kusoma majina ya vyombo vya usafiri na msamiati mwingine wa usafiri katika sentensi ili kuimarisha usomaji bora

Umewahi kutumia chombo kipi cha kusafiria?

Mwanafunzi atunge sentensi sahihi akitumia msamiati wa vyombo vya usafiri k.v matatu, basi, lori, pikipiki, garimoshi, gari dogo, ndege na meli.  

Mwanafunzi atoe maana ya msamiati unaohusu usafiri. 

Mwanafunzi aweza kutazama michoro na picha zinazolenga usafiri

Mwalimu asikilize msamiati wa vyombo vya habari kutoka kwa wanafunzi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk77-80

 

 

3

Masimulizi

Kusikiza na kuzungumza

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

kutambua kwa kutaja vyombo mbalimbali vya usafiri ili kuimarisha mawasiliano

Je, ni safari gani umewahi kufanya?

Mwanafunzi atambue aina mbalimbali za vyombo vya usafiri k.v. matatu, basi, lori, pikipiki, garimoshi, gari dogo, ndege na meli kwa kutumia picha au vyombo vya kiteknolojia.  

Mwanafunzi asimulie kuhusu vyombo vya usafiri, kwa mfano; Mimi nilisafiri kwa matatu.

Mwalimu asikilize masimulizi ya wanafunzi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk83

 

2

1

Kusoma

Sauti na majina za kiswahili

kusoma herufi za sauti mbili ili kuimarisha usomaji bora  kusoma maneno kwa

kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji bora

Unajua kusoma silabi na maneno yapi?

Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.  

Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa.  

Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.

Mwalimu asikize wanafunzi wakitaja silabi wanazojua.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk84

 

 

2

Sarufi 

Matumizi ya herufi kubwa

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kubainisha matumizi ya herufi kubwa ili kuimarisha mawasiliano andishi 

kusoma sentensi zilizo na matumizi ya herufi kubwa katika kuimarisha stadi za kusoma na kuandika

Je, herufi kubwa hutumiwa wapi?

Mwanafunzi aelezee matumizi ya herufi kubwa.  

Wanafunzi waweza kushirikishwa kusoma sentensi zinazotumia herufi kubwa wakiwa wawili wawili.  

Mwanafunzi aweza kutofautisha kati ya herufi ndogo na herufi kubwa.

Mwalimu asikilize matumizi ya herufi kubwa kutoka kwa wanafunzi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk85

 

 

3

Kusoma

Safari ya vijijini

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

kutambua picha za vyombo mbalimbali vya usafiri ili kuimarisha ufahamu wa hadithi  

kuelezea maana ya maneno yaliyotumiwa katika hadithi ili kuimarisha ufahamu wa hadithi

Ni hadithi ipi iliyokufurahisha zaidi?

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.  

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi  

Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.

Mwalimu asikilize wanafunzi wakisoma safari ya vijijini.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk86

 

3

1

Kuandika

Sauti na  majina ya herufi za Kiswahili

kusoma hadithi fupi zilizo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji bora  

kuandika maneno kutokana na herufi alizofunzwa ili kuimarisha stadi ya Kuandika

Unajua kuandika silabi na maneno yapi?

Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.  

Mwanafunzi aweza kumsikiliza mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa.   

Mwanafunzi aandike herufi za  sauti alizosoma hewani na vitabuni.

Mwalimu awape wanafunzi zoezi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk87-88

 

 

2

Masimulizi

Kusikiliza na kuzungumza

kusikiliza visa kuhusu usafiri ili kuimarisha umakinifu  

kusikiliza kisa kuhusu usafiri ili kuimarisha ukakamavu katika kujieleza

Je, unasafiria chombo gani?

Mwanafunzi ashiriki katika mjadala darasani au katika vikundi kuhusu vyombo mbalimbali vya usafiri.  

Mwanafunzi aweza kusikiliza masimulizi kuhusu vyombo vya usafiri kwa kutumia video au kinasa sauti

Mwalimu asahihishe kazi ya wanafunzi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk89

 

 

3

Kusoma

Safari ya visiwani

kusoma hadithi zinazohusu  usafiri kujenga stadi ya kusoma  kufahamu hadithi aliyoisoma kuhusu usafiri

ili kupata ujumbe katika hadithi

Unamkumbuka mhusika gani katika hadithi uliyosoma?

Mwanafunzi aweza kusikiliza mwalimu anaposoma hadithi kisha asome na mwalimu na baadaye asome peke yake, wakiwa wawili wawili au katika vikundi.  

Mwanafunzi asimulie hadithi aliyoisoma au kusomewa kwa kutumia maneno yake mwenyewe. 

Mwanafunzi aweza kurekodiwa akisoma vizuri kwa video au kinasa sauti ili wanafunzi waweze kutazama na kusikiliza jinsi ya kusoma hadithi kwa ufasaha.

Mwalimu asikilize wanafunzi wakisoma.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk90

 

4

1

Kusoma

Sauti na majina ya herufi za kiswahili

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

kuandika maneno kutokana na herufi alizofunzwa ili kuimarisha stadi ya kuandika  

kufurahia kutumia sauti zilizofunzwa katika mawasiliano

Unajua kuandika silabi na maneno yapi?

Mwanafunzi aweza kufinyanga maumbo ya herufi inayowakilisha sauti lengwa.  

 Mwanafunzi anakili herufi na maneno yanayotokana na sauti alizofunzwa.

Mwalimu awape wanafunzi zoezi la kufanya.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk91-92

 

 

2

Msamiati

Vyombo vya usafiri

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

kufurahia kutumia sauti zilizofunzwa katika mawasiliano

Je unajua vyombo vya usafiri ni nini?

Mwanafunzi anakili herufi na maneno yanayotokana na sauti alizofunzwa

Mwalimu asahiishe kazi ya wanafunzi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk93-94

 

 

3

Kusikiliza Na Kuzungumza

Maneno ya heshima na adabu

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kusikiliza visa kuhusu heshima na adabui ili kuimarisha umakinifu  

kusikiliza kisa kuhusu maneno ya adabu ili kuimarisha ukakamavu katika kujieleza

Je ni maneno yepi ya adabu unayoyajua?

Mwanafunzi asalimianae kwa kutumia maneno ya adabu na heshima. Mwanafunzi aandike maneno ya heshima anayojua.

Mwalimu awape wanafunzi kazi ya kufanya.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi 

Nyota ya Kiswahili uk9698

 

5

1

Kutamka

Sauti na majina ya herufi za kiswahili

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua sauti za herufi mbili zilizofunzwa ili kuimarisha stadi ya kusikiliza na kuzungumza   

kutamka sauti lengwa za herufi mbili katika kuimarisha stadi ya

Unaweza kuunda maneno yapi kwa utumia sauti za herufi mbili?

Mwanafunzi atambue sauti /gh/, /ny/ na katika maneno.  

Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa /gh/, /ny/ kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa.

 

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk100-101

 

 

2

Msamiati

Majina ya watu katika familia

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

kutumia msamiati wa familia katika mawasiliano ya kila siku  

kutunga sentensi akitumia msamiati wa familia uliofunzwa ili kuimarisha stadi ya mazungumzo na uandishi

Dada yake mama anaitwaje?

Mwanafunzi ataje majina ya watu wa familia k.v babu, nyanya, mjomba, ami/amu, shangazi, binamu na halati.  

Mwanafunzi atazame picha au michoro ya watu wa familia. 

Wanafunzi wasome majina ya watu wa familia kwenye kadi au chati

Mwalimu asikize msamiati kutoka kwa wanafunzi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk102-103

 

 

3

Kusoma

Arusi yetu

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

kutambua picha za watu wa familia ili kuimarisha ufahamu wa hadithi  kusikiliza hadithi za mwalimu kuhusu watu wa familia ili kuimarisha umakinifu  

kusoma hadithi kuhusu watu wa familia ili kuimarisha usomaji bora

Unaweza kutambua watu gani katika picha?

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.  

Mwanafunzi katabiri kitakachotokea kwenye hadithi.  

Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi

Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.

Mwalimu asikilize wanafunzi wakisoma.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk105

 

6

1

Kusoma

Sauti na majina za herufi gh; ny

Kusoma herufi za sauti mbili ili kuimarisha usomaji bora kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji bora wa familia katika kuimarisha uwezo wa kuwaelezea watu katika mazingira yake kuthamini umuhimu wa familia katika kuendeleza mshikamano wa kijamii.

Unaweza kutambua sauti gani za herufi mbili?

Watu wa familia yako?

Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.  

Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa. 

Kuhusu familia.  

Mwanafunzi azungumzie kuhusu familia.  

 Mwanafunzi aelezee maana ya majina ya watu wa familia.

Mwalimu asahihishe kazi ya wanafunzi.

Masimulizi ya wanafunzi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk106-107

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk110

 

 

2

Sarufi

Matumizi ya maneno yanayoashiria vitendo

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze; kutambua maneno yanayoashiria vitendo ili kuimarisha mawasiliano   kusoma maneno yanayoashiria vitendo ili kujenga usomaji bora

Je, unajua kutumia maneno yapi yanayowakilisha vitendo?

Mwanafunzi aweza kuigiza vitendo k.m. simama, tembea, andika, cheka n.k.

Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya maneno yanayoashiria vitendo kwa mfano simama, oga, chana n.k. 

 Mwanafunzi asome sentensi zinazohusisha vitendo.

Mwalimu awape wanafunzi vikundi wasome pamoja.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk109

 

 

3

Masimulizi

Kusikiliza na kuzungumza.

kuelezea kuhusu watu

Je, unajua majina gani ya

Mwanafunzi asimulie

Mwalimu asikilize

Tarakilishi

Mwalimu

 

7

1

Kuandika

Sauti na majina za herufi gh na ny

kusoma hadithi fupi zilizo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji bora  

kuandika maneno kutokana na herufi alizofunzwa ili kuimarisha stadi ya kuandika

Unaweza kutamka sauti zipi ulizofunzwa awali?

Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi. 

Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa.  

Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.

Mwalimu awape wanafunzi zoezi la kufanya.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk111

 

 

2

Msamiati

Majina ya watu katika familia

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

kuandika maneno na sentensi kuhusu familia ili kuimarisha stadi ya kuandika  

kufurahia kuwarejelea watu wa familia kwa majina yao mwafaka ili kuimarisha mawasiliano

Dada yake baba anaitwaje?  

Kaka yake baba anaitwaje?

Mwanafunzi atazame picha au michoro ya watu wa familia.  

Wanafunzi wasome majina ya watu wa familia kwenye kadi au chati.

Wanafunzi waweza kushiriki katika nyimbo na mashairi kuhusu watu wa familia.

Mwalimu awape wanafunzi zoezi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk112-113

 

 

3

Kusoma Shairi

Wageni wetu

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

Kufahamu shairi aliyoisoma na aliyosomewa ili kupata ujumbe

Kuchangamkia kusoma shairi kuhusu watu wa familia katika kujenga ari ya usomaji bora.

 

Shairi inahusu watu gani?

Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ikisomwa kwa kutumia tarakilishi na projekta.  

Mwanafunzi aweza kusoma shairii kutoka kwa jitabu mbele ya darasa.  

Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma shairi

Mwalimu asikilize wanafunzi wakisoma.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk114

 

8

1

Kutamka

Majina na herufi za Kiswahili ng

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

kusoma hadithi fupi zilizo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji bora  

kuandika maneno kutokana na herufi alizofunzwa ili kuimarisha stadi ya Kuandika

Unaweza kuunda maneno yapi kwa kutumia sauti za herufi mbili?

Mwanafunzi aweza kumsikiliza mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa.   

Mwanafunzi aandike herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni.  

Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi na kuchanganua yaliyo marefu zaidi

Mwalimu asikilize majina ya herufi mbili kutoka kwa mwanafunzi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk116

 

 

2

Kusikiliza Na Kuzungumza

Maneno ya heshima na adabu.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kuonyesha vitendo vya heshima na adabu anapowasiliana katika mazingira yake kuthamini matumizi ya maneno ya heshima na adabu katika mazingira yake. 

Mtu akikutendea wema unamwambiaje?

 

Mwanafunzi aweza kutazama video inayowasilisha vitendo vya heshima na adabu.

Mwanafunzi asome maneno ya heshima na adabu.

Mwanafunzi aelezee maneno ya heshima na adabu.

Mwalimu asahihishe kazi ya wanafunzi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk117

 

 

3

Sarufi

Maneno yanayoashiria vitendo

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

Kuandika sentensi sahihi akitumia maneno yanayoashiria vitendo katika kuimarisha uandishi bora    kufurahia kutumia maneno yanayoashiria vitendo katika mawasiliano.

Je, unajua kutumia maneno yapi yanayowakilisha vitendo katika sentensi?

Mwanafunzi asome sentensi zinazohusisha vitendo.  

Mwanafunzi aweza kujaza mapengo kwa maneno yanayoashiria vitendo.  

Mwanafunzi anakili sentensi kwa kutumia maneno yanayoashiria vitendo.

Mwalimu awaonyeshe wanafunzi baadhi ya vitendo.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili

uk119

 

9

1

Kusoma

Sauti na majina ya herufi ng

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:   kusoma herufi za sauti mbili ili kuimarisha usomaji bora  kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji bora

Unaweza kutamka sauti zipi ulizofunzwa awali?

Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi na kuchanganua yaliyo marefu zaidi.  

Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa wakiwa wawili wawili. 

Mwanafunzi aweza kutumia vifaa vya kiteknolojia kama vile tarakilishi, projekta na kipasa sauti kusikiliza na kusoma hadithi

Mwalimu awape wanafunzi zoezi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk117-118

 

 

2

Masimulizi

Kusikiliza na kuzungumza

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

kusikiliza kwa makini masimulizi kuhusu watu wa familia ili kujenga umakinifu

kuelezea kuhusu watu wa familia katika kuimarisha uwezo wa kuwaelezea watu katika mazingira yake

Je, unajua majina gani ya watu wa familia yako?  

Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika nyimbo au mashairi kuhusu watu wa familia. 

Mwanafunzi aweza kutazama video picha au michoro inayoonyesha watu wa familia ili wajadiliane katika vikundi.

Mwalimu asikilize masimulizi ya wanafunzi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk119-123

 

 

3

Kusoma

Nyanya na babu

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  

Kuchangamkia kusoma hadithi kuhusu watu wa familia katika kujenga ari ya usomaji bora.

Hadithi inahusu watu gani?

Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi.  

Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kutokana na hadithi.   

Mwanafunzi atoe muhtasari wa hadithi aliyosoma au kusomewa.

Mwalimu awape wanafunzi kazi ya kufanya.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk119

 

10

1

Familia 

Sauti ng

kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji bora  kusoma hadithi fupi zilizo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji bora

Unaweza kuunda maneno yapi kwa kutumia sauti za herufi mbili?

Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.  

Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa. 

Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.

 

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk127

 

 

2

Msamiati

Usalama wangu

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze;  

kutambua msamiati ambao hutumiwa katika usalama ili kuwasiliana kuhusu masuala yanayohusu usalama wake   kueleza maana ya msamiati wa usalama katika kuimarisha mawasiliano

Unaweza kutaja mambo gani yanayohusu usalama?

Mwanafunzi atoe maana ya msamiati wa usalama.  

Mwanafunzi atunge sentensi sahihi kwa kutumia msamiati wa usalama kama vile, kivukio cha barabara, moto, vidaraja, ajali michezoni, kuzama majini na vita

Mwalimu asikize mambo yanayohusu usalama kutoka kwa wanafunzi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi  

Nyota ya Kiswahili uk128

 

 

3

Kusoma

Shule yetu

kufahamu hadithi aliyoisoma au kusomewa kuhusu usalama wake ili kupata ujumbe wa hadithi kuchangamkia 

kusoma hadithi kila siku

Unakumbuka nani katika hadithi iliyowahi kukufurahisha?

Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ikisomwa kwa kutumia tarakilishi na projekta.

Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kutoka kwa jitabu mbele ya darasa. 

Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi.

Mwalimu asikilize wanafunzi wakisoma hadithi.

Tarakilishi

Mwalimu

Mwanafunzi   

Nyota ya Kiswahili uk131

 

11

TATHMINI NA KUFUNGA SHULE

Read 394 times Last modified on Tuesday, 14 February 2023 11:28

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.