Kiswahili Schemes - Grade 3 Schemes of Work Term 1 2023

Rate this item
(0 votes)

WIKI

KIPINDI

MADA

MADA NDOGO

MATOKEO MAALUM YANAYOTOKEA

MASWALI DADISI

MAPENDEKEZO YA SHUGLI ZA UFUNZAJI

PENDEKEZO LA TATHMINI

NYEZO

MAONI

1

1

Shambani.

Sauti.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua sauti mbili zinazotamkwa pamoja ili kuimarisha matamshi bora 

kutamka sauti lengwa ili kuimarisha matamshi bora 

kusoma silabi za sauti lengwa ili kuimarisha usomaji

Ni sauti zipi Unazoweza kutamka?

Mwanafunzi atambue sauti bw, fy na kw katika maneno.  

 Mwanafunzi asikilize silabi za sauti lengwa ikitamkwa na mwalimu kisha atamke pamoja na mwalimu na baadaye atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa. Mifano ya silabi hizi ni: bwa, bwe; fya, fye; kwa, kwe, kwi n.k.

Mwalimu asikilize baadhi ya sauti ambazo wanafunzi wanaweza kutamka kwa pamoja.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 2-3

 

 

2

Kusikiliza na kuzungumza

sauti

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze kuandika silabi zinazotokana na sauti lengwa ili kuimarisha uandishi bora  kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji 

kuandika maneno kutokana na silabi zilizofunzwa ili kuimarisha uandishi bora

Unajua kusoma sauti zipi mbili zinazotamkwa?  

 Unajua kuandika maneno gani yanayoundwa

kutokana na sauti mbili zinazotamkwa pamoja

Mwanafunzi aweza kutumia teknolojia (papaya) kusikiliza sauti lengwa ikitamkwa.  

Mwanafunzi aweza kusikiliza mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa. 

Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi k.v. silabi bwana, bweka, fyata, fyeka, kwao, kwea na kwekwe.  

Mwanafunzi aandike herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni pamoja na maneno yanayojumuisha sauti hizo.

Mwalimu ahakikishe wanafunzi wameweza Kuandika baadhi ya sauti mbili zinazofanana.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 4-5

 

 

3

Msamiati.

Kusikiliza na kuzungu mza

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua msamiati unaohusiana na shughuli za shambani ili kuimarisha mawasiliano 

kusoma maneno na sentensi kuhusu shambani ili kuimarisha usomaji 

kutunga sentensi akitumia msamiati wa shambani ili kuimarisha mawasilian

Je, wajua vifaa vipi vinavyotumik a shambani?

Mwanafunzi asome msamiati wa shambani kama vile jembe, shoka, upanga, kifyekeo, plau, trekta, lima, fyeka, panda na kwekwe katika kadi na chati. 

Mwanafunzi ataje majina ya vifaa halisi, picha au michoro anavyoonyeshwa.  

Mwanafunzi atazame vifaa vya shambani hivyo kwenye tarakilishi au tabuleti vikifanya kazi.  

Mwanafunzi achore maumbo ya vifaa vinavyotumika shambani.

Mwalimu ahakikishe wanafunzi wanatambua vifaa vinavyotumika shambani.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 6

 

2

1

Msamiati.

Kusikiliza na kuzungu mza

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kuandika maneno na sentensi zinazojumuisha msamiati wa shambani katika kujenga uandishi bora  kuthamini matumizi ya msamiati wa shambani katika mawasiliano

Ni kifaa kipi cha shamba unachoweza kuchora?

Wanafunzi waambatanishe kadi za maneno na vifaa halisi wakiwa katika vikundi.  

Wanafunzi waweza kushiriki katika nyimbo na mashairi kuhusu shambani.  

Mwanafunzi aandike majina ya vifaa vinavyotumika shambani. 

Mwanafunzi atunge na kusoma sentensi akitumia msamiati wa shambani.

Mwalimu ahakikishe wanafunzi wameweza kuchora baadhi ya vifaa vya shamba vinavyochorwa.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 8-9

 

 

2

Kusikiliza nakuzungum za.

Masimulizi

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kusikiliza kwa makini masimulizi kuhusu shambani katika kujenga usikivu 

kutaja majina ya vifa vinavyotumika shambani ili

kuimarisha stadi ya kuzungumza

Je, ni vifaa vipi hutumika shambani?

Mwanafunzi kusimulia kuhusu shambani.  

Mwanafunzi ashiriki katika mjadala kuhusu vifaa vinavyotumika shambani kama vile; jembe, shoka, upanga, kifyekeo, plau, trekta, lima, fyeka na panda akionyeshwa vifaa halisi, picha au michoro.  

Mwanafunzi aelezee umuhimu wa vifaa vinavyotumika shambani.

Mwalimu ahakikishe kwamba wanafunzi wamesikiliza kwa makini ili kuimarisha umasikivu.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 10

 

 

3

Kusikiliza nakuzungumza

Masimulizi

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kuelezea vifaa vinavyotumika shambani ili kuimarisha stadi ya kuzungumza kuelezea shughuli zinazofanyika shambani ili kuimarisha stadi ya kuzungumza 

kutambua matumizi ya vifaa vinavyotumika shambani ili kuimarisha stadi ya kuzungumza 

kuthamini umuhimu wa vifaa vinavyotumika shambani

 

Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika nyimbo au mashairi kuhusu vifaa vinavyotumika shambani.  

Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika kuigiza vitendo vinavyofanywa shambani

Mwalimu ahakikishe kuwa mwanafunzi anaeza kuelezea baadhi ya vifaa vinavyotumika shambani.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 11

 

3

1

Kusoma.

Hadithi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua picha za vifaa vinavyotumika shambani ili kuimarisha ufahamu wa hadithi 

kusoma hadithi za picha zinazohusu shamba ili kujenga usomaji bora

Unaona nini katika picha?  

Ni nini kitakachotend eka katika hadithi?

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.  

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. 

Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi. 

Mwanafunzi asome na wengine darasani, wakiwa wawili na baadaye asome peke yake

Mwalimu awawezeshe wanafunzi kusoma hadithi kwa makini huku wakiielewa.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 12

 

 

2

Kusoma.

Hadithi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu kuhusu vifaa vinavyotumika shambani ili kujenga usikivu 

kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa kuhusu shambani ili kupata ujumbe 

kuchangamkia kusoma hadithi za vifaa vinavyotumika  shambani ili kuendeleza stadi ya usomaji

Ni vifaa vipi vimetajwa katika hadithi?

Wanafunzi waweza kusomeana hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi.  

Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia k.m. tarakilishi na projekta.  

Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kwa kutumia jitabu mbele ya darasa.

Mwanafunzi athibitishe utabiri wao baada ya kusoma hadithi.

Mwalimu ahakikishe wanafunzi wanaweza kusomeana hadithi wakiwa wiwili wawili.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 13

 

 

3

Kusikiliza na kuzungumza.

Kuandika.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi

Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?

Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka mwingine.  

Mwanafunzi aelezee yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.  

 Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa na mwanafunzi.

Mwalimu ahakikishe wanafunzi wanafahamu mambo ya kuzingatia unapoelezea kisa chochote.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

1Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk,2-3

 

4

1

Kusikiliza na kuzungumza

Kuandika

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi.

Je, ni kisa gani unachoweza kuandika juu ya shamba?

Wanafunzi waweza kuandika kisa kifupi wakiwa wawili wawili.  

Mwanafunzi aandike kisa kifupi kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji.

Mwalimu awasikiliza wanafunzi wakipeana kisa chochote kile kuhusu shamba.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 14

 

 

2

Sarufi

Nafsi ya tatu wakati ujaoumoja na wingi

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kutambua maneno na viambishi vinavyotumika kuonyesha nafsi ya tatu na wakati ujao katika umoja na wingi ili kuimarisha mawasiliano 

kutumia nafsi ya tatu wakati ujao hali ya umoja na wingi katika sentensi kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano

Je, unatumia neno gani kuonyeshea mwenzako akiwa mbali

Mwanafunzi atumie nafsi ya tatu wakati ujao hali ya umoja na wingi katika mazungumzo.  

Mwanafunzi atumie nafsi ya tatu wakati ujao hali ya umoja na wingi katika sentensi.  

Mwanafunzi aweza kujaza mapengo kwa kutumia nafsi ya tatu wakati ujao hali ya umoja na wingi.  

Wanafunzi wanaweza kupewa sentensi zinazojumuisha nafsi na nyakati mbalimbali wazitambue katika vikundi

Mwalimu asikilize wanafunzi wakitumia baadhi ya maneno yanayoonyesha nafsi ya tatu na wakati ujao katika umoja.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 15

 

 

3

Sarufi

Nafsi ya tatu wakati ujaoumoja na wingi

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kusoma vifungu vilivyo na nafsi ya tatu, wakati ujao kwa umoja na wingi ili kujenga usomaji  kuandika vifungu

vilivyo na nafsi ya tatu, wakati ujao kwa umoja na wingi ili kujenga uandishi bora

Ikiwa nanuia kusafiri kesho, nitasemaje?

Mwanafunzi aweza kupewa zoezi katika tarakilishi ili atumie mbinu ya kuburura na kutia kapuni.  

Mwanafunzi aigize vitendo vya kuashiria nafsi ya kwanza, ya pili na ya tatu huku akitunga sentensi.  

Mwanafunzi aweza kupata ufafanuzi wa nafsi kwa kutumia vibonzo katika tarakilishi.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakisoma vifungu kwa makini.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk,16-17

 

5

1

Uzalendo.

Sauti  mbili tofauti zinazotam kwa pamoja

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua sauti mbili zinazotamkwa pamoja ili kuimarisha matamshi bora 

kutamka sauti lengwa ili kuimarisha matamshi bora 

kusoma silabi za sauti lengwa ili kuimarisha usomaji

Ni sauti zipi unazojua kutamka?

Unajua kusoma silabi zipi katika maneno?

Mwafunzi atambue sauti mw, nd na pw katika maneno.  

 Mwanafunzi asikilize mwalimu akizitamka silabi zinazotokana na sauti lengwa kisha atamke pamoja na mwalimu na baadaye atamke akiwa  pekee, wawili na  darasa zima k.m mwa, mwe, mwi na  mwo

Mwalimu asikilize wanafunzi wakitamka silabi mbili pamoja ili kuimarisha matamshi bora.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 18-19

 

 

2

 

Sauti  mbili tofauti zinazotam kwa pamoja

kuandika silabi zinazotokana na sauti lengwa ili kuimarisha uandishi bora  kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji

Unajua kusoma silabi zipi katika maneno?

Mwanafunzi aweza kutumia teknolojia kama vile papaya, tarakilishi, projekta na kipaza sauti kumsaidia kuimarisha matamshi yake.  

Mwanafunzi aweza kumsikiliza mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa.  

Mwanafunzi atambue sauti alizosoma katika maneno kwa mfano k. m mwana, mwananchi, ndoo, ndizi, uzalendo, pwani, pweza na pweke

Mwalimu awaangalie wanafunzi wakiandika silabi mbili zinazotokanan na silabi lengwa.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 20-21

 

 

3

 

Sauti  mbili tofauti zinazotam kwa pamoja

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:  kusoma hadithi zilizo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kumsaidia mwanafunzi kutamka sauti husika ili kuimarisha matamshi na usomaji   Kuchangamkia kutamka sauti lengwa ili kuimarisha mawasiliano.

Ni herufi na maneno yapi yanayoundwa kutokana na sauti mbili zinazotamkwa pamoja?

Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi na kugawa yaliyo marefu zaidi katika sehemu ndogo ndogo.  

Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa darasani au wawili wawili.  

Mwanafunzi anakili herufi na maneno yanayotokana na sauti alizofunzwa.  

Wanafunzi aandike maneno yanayojumuisha sauti lengwa.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakisema baadhi ya maneno ambayo yanaundwa kutokana na sauti mbili zinazotamkwa pamoja.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 21-22

 

 

6

1

Msamiati.

Msamiati.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua msamiati ambao unahusiana na uzalendo ili kuimarisha mawasiliano 

kusoma msamiati unaohusiana na uzalendo ili kujenga usomaji

Je, uzalendo ni nini?

Mwanafunzi asome maneno yanayohusiana na uzalendo kama vile; umoja, amani, upendo, bendera, taifa, nchi, raia, gwaride, rangi za bendera kwa kutumia kadi za maneno.  

Mwanafunzi aeleze maana ya msamiati wa uzalendo.  

Mwanafunzi ashiriki katika mjadala kuhusu maana za maneno yanayohusiana na uzalendo  

Mwalimu awasikile wanafunzi wakifafanua baadhi ya msamiati unaotokana na uzalendo.

Mwanafunzi

Tarakilishi 

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 23

 

 

2

Kusikiliza na Kuzungumza

:

Masimulizi

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua maneno yanayoonyesha uzalendo ili kuyatumia katika mawasiliano 

kusimulia visa vinavyojumuisha  mambo yanayoweza kuimarisha uzalendo ili kujenga stadi ya kuzungumza

Je, ni nini maana ya uzalendo?   

Uzalendo una umuhimu gani?

Mwanafunzi aeleze baadhi ya mambo yanayoweza kuimarisha uzalendo katika nchi yake kwa kutumia mgeni mwalikwa.   

Mwanafunzi asimulie visa vinavyojumuisha mambo yanayoweza kuimarisha uzalendo kama vile amani, umoja, upendo na bendera ya Kenya.   

 Mwanafunzi asikilize kwa makini hadithi anazosimuliwa.

Mwalimu kuwasikiliza wanafunzi wakielezea maana ya uzalendo baada ya kipindi.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 26

 

 

3

Kusikiliza na Kuzungumza

:

Masimulizi

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kusikiliza masimulizi kuhusu uzalendo ili kuimarisha usikivu 

Kuthamini umuhimu wa uzalendo katika maisha ya kila siku.

Je, ni kwa njia zipi unaweza kuonyesha uzalendo?   

Bendera ina umuhimu gani?

Mwanafunzi aweza kutazama video inayoonyesha vitendo vya kizalendo.   

Wanafunzi wajadiliane kuhusu uzalendo katika makundi.   

Wanafunzi waimbe wimbo wa taifa na kujadili maana ya baadhi ya maneno ya kizalendo katika wimbo huo.   

 Mwanafunzi atunge sentensi kuhusu baadhi ya mambo yanayohusu uzalendo.

Mwalimu awasikilize wanafunzi huku wakisema umuhimu wa bendera.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 27

 

7

1

Kusoma:

Hadithi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua rangi za bendera ili kuimarisha uzalendo  

kutambua maneno yanayohusiana na uzalendo ili kuimarisha mawasiliano

Je, unajua nini kuhusu uzalendo?   

Ni vipi unavyoweza kuonyesha upendo kwa nchi yako?

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.   

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.

Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi

 

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 28

 

 

2

Kuandika

Kuandika

kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi

Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?

Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka.  Mwanafunzi aelezee yaliyo muhimu katika uandishi k.v.  mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.   

Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa na mwanafunzi

Mwalimu awaangalie wanafunzi wakiandika kisa kwa hati nadhifu.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 30

 

 

3

 

Kuandika

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

Kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi.

Je, ni tukio gani unaloweza kukumbuka na kuandikia kisa?

Wanafunzi waweza kuandika kisa kifupi wakiwa wawili wawili.   

Mwanafunzi aandike kisa kifupi kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakijadili tukio wanaloweza kukumbuka ili Kuandika kisa.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 31

 

8

1

Sarufi  

Matumizi ya:  -ake na -ao)

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua matumizi ya; -ake na –ao ili kuimarisha mawasiliano

kusoma vifungu vya maneno vinavyojumuisha  -ake na -ao ili kujenga usomaji  kutunga sentensi akitumia  -ake na ao ili kuimarisha ubunifu

Je, utatumia neno gani kuonyesha kwamba unachozungu mzia ni chako?   

Je, ni nini wingi wa – ake?

Mwanafunzi aonyeshe vitu vyake na vya wengine darasani na kuvirejelea akitumia ake na –ao.

Mwanafunzi asome vifungu vyenye matumizi -ake na –ao.   

Mwananafunzi akamilishe vifungu kwa kutumia -ake na – ao km Kalamu ______  (kalamu yake)- Kalamu ______ (Kalamu zao); kitabu  ______ (Kitabu chako) – Kitabu ______(Vitabu vyao).   

Mwanafunzi atunge sentensi kwa kutumia –ake na – ao

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakiongea kuhusu vitu vyao wenyewe.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 32-33

 

 

2

Miezi ya Mwaka.

Sauti mbili tofauti zinazotam kwa pamoja.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua sauti mbili zinazotamkwa pamoja ili kuimarisha matamshi bora  kutamka sauti lengwa ili kuimarisha matamshi bora 

kusoma silabi za sauti lengwa ili kuimarisha usomaji

Ni sauti zipi unazojua kutamka?   

Unajua kusoma herufi zipi?

Mwanafunzi atambue sauti mb, nj na ng katika maneno.   

Mwanafunzi amsikilize mwalimu akitamka silabi zinazotokana na sauti lengwa kisha atamke.

Pamoja na mwalimu na baadaye atamke akiwa pekee, wawili na darasa zima. Mifano ya silabi hizi ni: mba, mbe, mbi, nja, nje, nji, nga, nge na ngi.  

Mwanafunzi aweza  kutumia vifaa vya ki teknolojia kama vile papaya, tarakilishi, projekta na kipazasauti

Mwalimu asikie mifano kutoka kwa wanafunzi kuhusu sauti mbili zinazotamkwa pamoja.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk,  34-35

 

 

3

Msamiati

Majina ya miezi

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua miezi ya mwaka ili kuimarisha stadi ya kuzungumza  

kusoma majina ya miezi ya mwaka ili kuimarisha usomaji bora

Je, unajua majina yapi ya miezi?

Mwanafunzi asome majina ya miezi ya mwaka ipasavyo kwa kutumia kadi za maneno.   

Wanafunzi waweza   kukariri mashairi yanayohusu miezi ya mwaka.  Mwanafunzi aweza kuimba nyimbo zinazohusu miezi ya mwaka.    

Mwanafunzi aandike majina ya miezi ya mwaka.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakitaja baadhi ya majina ya miezi wanayoijua.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 39

 

9

1

Msamiati.

Majina ya miezi.

Kuandika majina ya miezi ya mwaka kwa mfuatano ili kujenga uandishi bora.  

Kutumia majina ya miezi katika sentensi ili kujenga ubunifu.

Kuchangamkia majina ya miezi katika mawasiliano ya kila siku.

Je, ulizaliwa mwezi gani?

 

 

 

 

 

 

 

Mwanafunzi aandike majina ya miezi ya mwaka.    

Wanafunzi waweza kushirikishwa katika kupanga upya majina miezi ya mwaka yaliyoparaganywa.    

Mwanafunzi atunge sentensi akitumia majina ya miezi ya mwaka.   

Mwanafunzi aweza kuonyeshwa vibonzo vikitaja miezi ya mwaka na kuelezea matukio tofauti ya mwaka.

Mwalimu awaangalie wanafunzi wakiandika majina ya miezi katika daftari zao.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 40

 

 

2

Msamiati.

Tarakimu 51-100.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze; 

Kutambua nambari 51-100 kwa maneno ili kuimarisha stadi ya kuzungumza.

Kusoma nambari 51100 kwa maneno ili kuimarisha usomaji bora.

Unaweza kuandika nambari zipi?

Mwanafunzi asome majina ya nambari 51100  

 Wanafunzi waweza kupatiwa kadi za nambari 51-100 na majina yake ili kuziambatanisha katika makundi.    

Mwanafunzi aandike nambari 51-100.   

Wanafunzi waweza kushirikishwa kupanga upya majina yaliparaganywa ya nambari 51-100.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakitaja nambari hamsini hadi mia moja.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 41

 

 

3

Kusikiliza na Kuzungumza

.

Masimuli zi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kutambua majina ya miezi ya mwaka kwa Kiswahili ili kuimarisha mawasiliano 

kutaja miezi ya mwaka kwa Kiswahili ili kuimarisha stadi ya kuzungumza

Unajua miezi gani ya mwaka?

Je, ulizaliwa mwezi gani?

Mwanafunzi ataje miezi ya mwaka.    

Mwanafunzi aweza kuelezea mambo yanayofanyika miezi fulani kv kufungua shule mwezi wa Januari, kufunga shule mwezi wa Aprili.   

Mwanafunzi asimulie kuhusu matukio katika miezi mbalimbali k.v. kuzaliwa, shehere za kidini na kitaifa.   

Mwanafunzi aweza kuimba nyimbo na kukariri mashairi kuhusu miezi ya mwaka.

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakimueleza kuhusu mwezi waliozaliwa.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 44

 

10

1

Kusoma:

Hadithi.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa kuhusu miezi ya mwaka ili kupata ujumbe 

kuchangamkia kusoma hadithi katika maisha ya kila siku

Je, waweza kukumbuka nini ulichosoma au kusomewa?

Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kuhusu hadithi aliyosoma.   

Mwanafunzi atoe muhtasari wa hadithi aliyosoma au kusomewa.

Mwalimu asikilize wanafunzi wakieleza hadithi aliyowasomea.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 47

 

 

2

Kuandika

Kusikiliza na kuzungu mza.

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: 

kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada

ili kujenga stadi ya uandishi 

Kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi.

Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?   

 Je, unaweza kuandika kisa kipi kuhusu jambo ulilofanya katika mwezi fulani wa mwaka?

Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka   

Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.   

Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa.   

Wanafunzi waweza kuandika kisa kifupi wakiwa wawili wawili

Mwalimu awaangalie wanafunzi wakiandika kisa kifupi kwa hati nadhifu.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 49

 

 

3

Sarufi.

Matumizi ya Kikomo

Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze; 

Kutambua matumizi ya kikomo (.) katika kuimarisha mawasiliano kuakifisha sentensi kwa kutumia kikomo (.) katika kuimarisha uandishi bora kuzingatia kikomo (.) anaposoma kifungu na sentensi ili kuimarisha usomaji bora kuthamini matumizi ya kikomo (.) katika mawasiliano.

Unajua alama zipi za kuakifisha?   

Je, kikomo (.) huwekwa wapi katika sentensi?

Mwanafunzi asome sentensi zenye kikomo (.) katika vikundi   

Mwanafunzi aakifishe sentensi fupi kwa kutumia kikomo (.).   

Mwanafunzi aandike sentensi ukitumia kikomo (.).

Mwalimu awasikilize wanafunzi wakieleza jinsi wanavyotumia kikomo.

Mwanafunzi

Tarakilishi  

Kiswahili Dadisi Gredi ya tatu uk, 50-51

 

Read 173 times Last modified on Thursday, 16 February 2023 11:24

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.