Wednesday, 03 November 2021 08:45

Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 1 End of Term 2 Exam 2021 SET 10

Share via Whatsapp

MASWALI

Jibu maswali yafuatayo.

1. Jina langu ni.................................
2. Nina umri wa miaka.................................
3. Niko darasa la .................................
4. Rafiki yangu anaitwa?.................................
Linganisha salamu na maamkizi yake

5. Hujambo  marahaba 
6. Hamjambo njema
7. Habari ya asubuhi hatujambo
8. Shikamo sijambo

9. Owino anamwambia mamake.......................9
10. Mamake Otieno atamjibu.............................
Soma maneno haya
11. 1112b
12.1212b
13.1313b
Msamiati wa Darasani
Linganisha vifaa vifuatavyo na majina yake
qweqe

MUELEKEZO WA KUSAHISHA

 1. Jina la mwanafunzi
 2. Nina miaka ...............
 3. kwanza
 4. Jina la rafiki yake
 5. Hujambo - sijambo
 6. Hamjambo - hatujambo
 7. Habari ya asubuhi - njema
 8. Shikamoo - marahaba
 9. kwaheri/habari
 10. kwaheri/njema
 11.           
 12.                
 13.          
  (11-13, sahisha kulingana na uwezo wa mtoto kusoma na kutamka maneno)
 14. kiti
 15. meza
 16. rula
 17. ubao
 18. kichongeo
 19. choo
 20. dawati
 21. chaki
 22. darasa
 23. rafu
 24. penseli
 25. wino

Download Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 1 End of Term 2 Exam 2021 SET 10.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.