Wednesday, 03 November 2021 13:33

Kiswahili Activities Questions And Answers - CBC Grade 1 End of Term 2 Exam 2021 SET 2

Share via Whatsapp

KISWAHILI
GREDI YA 1
MWISHO WA MUHULA WA 2

Unda maneno

 1. Pa
  _____________
 2. Cha
  _____________
 3. Mb
  _____________
 4. Na
  _____________
 5. Sa
  _____________

Jibu maamkizi

 1. Habari
  _____________
 2. U hali gani
  _____________
 3. Hujambo
  _____________
 4. Shikamoo
  _____________
 5. Hodi
  _____________

 6. Paka rangi ( alama 5)

Kg1et221q11

Taja watu watano wa familia

 1. _____________
 2. _____________
 3. _____________
 4. _____________
 5. _____________

Jaza pengo kwa kutumia majibu uliopewa

 1. Mtu akianguka utamwambia _____________
 2. Nikitaka kuingia kwa nyumba nitasema _____________
 3. Baba alinipa zawadi nilimwambia _____________
 4. Nilipomwambia asante alinijibu _____________

Jaza pengo

 1. b __ n __ m __
 2. ny __ny __
 3. sh __ng __ z __
 4. mj __ mb __
 5. m __m __

Andika majina vizuri

 1. tim 
  ___________
 2. piram
  ___________
 3. pachu
  ___________
 4. Mbanyu
  ___________
 5. tabuki
  ___________

Unganisha silabi

 1.  cha   ku   la
 2. sa  ma  ki
 3. be   nde   ra
 4. u   ba   o
 5. ra    ngi

Andika kwa herufi kubwa au ndogo

 1. mwalimu
  ___________
 2. MAMA
  ___________
 3. SAHANI 
  ___________
 4. chungwa
  ___________
 5. NYANYA
  ___________

Andika kwa wingi

 1. Mtu
  ___________
 2. Kitabu
  ___________
 3. Tunda
  ___________
 4. Mwalimu
  ___________
 5. Kijiko
  ___________
 6. Mtoto
  ___________

MAAKIZO

 1. papa/ paja/panya ( sahihisha neno lolote lilio na silabi 'pa')
 2. chakula/ changanya/ chapa/ 
 3. Mbali/ mbwa/ mbovu/ mbegu
 4. Nauli/Nakala/ 
 5. sasa/ sahau/ sahani
 6. Nzuri
 7. Nzuri
 8. sijambo
 9. marahaba
 10. karibu
 11. (mwanfunzi anapswa kupaka rangi picha kulingana na maagizo)
 12. , 13, 14, 15, 16 - (mwanafunzi anapaswa kutaja watu wa familia)
 1. Pole
 2. Hodi
 3. Asante/ Asanti
 4. Karibu
 5. Binamu
 6. nyanya
 7. shangazi
 8. mjomba
 9. mama
 10. Mti
 11. Mpira
 12. chupa
 13. nyumba
 14. kitabu
 15. chakula
 16. samaki
 17. bendera
 18. ubao
 19. rangi
 20. MWALIMU
 21. mama
 22. sahani
 23. CHUNGWA
 24. nyanya
 25. watu
 26. vitabu
 27. matunda
 28. walimu
 29. vijiko
 30. watoto
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Activities Questions And Answers - CBC Grade 1 End of Term 2 Exam 2021 SET 2.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.