Tuesday, 08 February 2022 13:54

Shughuli za Kiswahili Ufahamu, Sarufi na Kuandika - CBC Grade 1 End of Term 3 Exam SET 1 2022

Share via Whatsapp

QUESTIONS

  1.                  
    1. UFAHAMU     (Alama 10)
      Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata: (Alama 5)
      Maria na Asha walikuwa marafiki. Walipendana sana. Walienda shuleni pamoja. Walikuwa watoto wenye heshima na wenye bidii sana. Walimu waliwapenda kwa tabia zao nzuri.
      1. Ni nani walikuwa marafiki? (alama 2)
      2. Walikuwa na tabia gani? (alama 1)
      3. Ni nani aliwapenda? (alama 1)
      4. Walienda wapi pamoja? (alama 1)
    2. Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali (alama 5)
      Tom aliamka saa moja asubuhi. Alimpata Joan akinywa chai. Joan alimwambia Tom achukue kikombe jikoni ili anywe chai. Baada ya kupata kiamshakinywa walienda nje kucheza. Hawakuwa waende shuleni maana ilikuwa siku ya Jumamosi.
      1. Tom aliamka saa ngapi? 
      2. Joan alikuwa anafanya nini? 
      3. Tom alipata kikombe wapi? 
      4. Baada ya kiamshakinywa walienda wapi? 
      5. Kwa nini hawakuenda shuleni?
  2. SARUFI (alama 20)
    1. Tenganisha silabi
      1.  Maua = 
      2. Pole = 
      3. Dawati = 
      4. Kiti = 
      5. Moja =
    2. Hesabu na ulinganishe.   (Alama 5)
      2 ahbuda
  3.                                      
    1. Andika majina ya picha hizi     (alama 5)
      3 AJvduya
    2. KUANDIKA.  (Alama 10)
      Andika maneno 10 utakayosomewa na mwalimu
      1. ..........................................
      2. ..........................................
      3. ..........................................
      4. ..........................................
      5. ..........................................
      6. ..........................................
      7. ..........................................
      8. ..........................................
      9. ..........................................
      10. ..........................................

MARKING SCHEME

  1.                            
    1.  Ufahamu
      1. Maria na Asha
      2. nzuri
      3. walimu
      4. shuleni
    2.                       
      1. saa moja asubuhi
      2. akinywa chai
      3. jikoni
      4. nje kucheza
      5. ilikua siku ya Jumamosi
  2. Sarufi
    1.                
      1. ma + u + a
      2. po + le
      3. da + wa + ti
      4. ki + ti
      5. mo + ja
    2.                      
      2 ms kahudyha
  3.                                      
    1.                               
      1. mti
      2. penseli
      3. maua
      4. jua
      5. kisu
Join our whatsapp group for latest updates

Download Shughuli za Kiswahili Ufahamu, Sarufi na Kuandika - CBC Grade 1 End of Term 3 Exam SET 1 2022.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.