QUESTIONS
- Soma kwa sauti (Alama 10)
Mimi ni kijana mdogo. Niko gredi ya kwanza. Mwalimu wangu ni-Bi Pendo. Baba na mama wanapenda mwalimu wangu. Kila siku mimi hucheza mpira. - KUONGEA NA KUSIKILIZA
Tazama picha kisha mwalimu atauliza maswall- Kuku anafanya nini?
- Mtoto anafanya nini?
- Mti umefanya nini?
- Uji umefanyaje?
- Baba anafanya nini?
- Kuku anafanya nini?
- Soma hadithi kisha jibu maswali
Hapo zamani za kale, paliishi paka na panya. Wanyama hawa waliishi pamoja. Walikuwa na ashamba kubwa karibu na msitu. Wanyama hawa walikuwa na watoto. Siku moja paka aliona njaa akala watoto wa panya. Panya alikasirika na kupotelea msituni na paka akaachwa nyumbani.- Taja wanyama katika hadithi
- Wanyama hawa walikuwa na_____kubwa.
- Shamba la wanyama lilikuwa karibu na_____
- Nani alikula watoto?
- Nani alikasirika?
- Panya alikasirika akapotelea wapi?
- Nani aliachwa nyumbani
- Paka hula nini?
- Chora Paka
- Matumizi ya lugha
Sarufi
Andika majina a picha - Andika wingi wa majina haya
- Kikombe
- Mti
- Kiti
- Mtoto
- Mguu
- Andika kinyume cha maneno
- Keti
- Lala
- Lia
- Panda
- Anika
- Andika maneno vizuri
- tiki
- pachu
- choma
- Andika maneno haya kwa herufi kubwa
- Kitabu
- Kalamu
- Mwavuli
- Andika maneno utakayosomewa na mwalimu
MARKING SCHEME
-
- anatembea
- analia
- umeanguka/umevunjika
- umemwagika
- ameketi
-
-
- paka
- panya
- shamba
- msitu
- paka
- panya
- msituni
- paka
- panya
-
-
- kiti
- meza
- chupa
- kijiko
- jicho
- ua
-
- vikombe
- miti
- viti
- watoto
- miguu
-
- simama
- amka
- cheka
- shuka
- anua
-
- kiti
- chupa
- macho
-
- KITABU
- KALAMU
- MWAVULI
Please download this document as PDF to read all it's contents.
Why PDF Download?
- You will have the content in your phone/computer to read anytime.
- Study when offline.(No internet/data bundles needed.)
- Easily print the content to hard copy.