Thursday, 23 March 2023 12:50

Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - Grade 1 Opener Exams Term 1 2023 Set 2

Share via Whatsapp

MASWALI

SEHEMU YA A
Nakala ya mwanafunzi
Kusikiliza na kuzungumuza
Sikiliza hadithi ya mwalimu kisha ujibu maswali.
Amu ana matatu. Matatu ya Arnu ina taa. Matatu ina taa nne. Matatu inabeba watu.

Jibu maswali haya.

 1. Amu ana nini?........................................................
 2. Matatu ya Amu ina nini? ........................................................
 3. Matatu ina taa ngapi? ........................................................
 4. Matatu inabeba nini? ........................................................
 5. Hadithi inazungumzia kuhusu nini? ........................................................

KUSOMA KWA SAUTI
Soma kwa sauti.

 • Paka
 • lala
 • ewe
 • ya
 • tano 
 • da
 • pe
 • tisa
 • koti
 • ka 
 • nane
 • be
 • on
 • ua
 • ha 
ti
 • gari
 • meza
 • wewe
 • zi
 • pera 

SEHEMU YA B:
Zoezi la (i): SARUFI.
Jaza mapengo.

 1. Ma me.......... , .......... mu
 2. ka .......... ki ko ku
 3. ..........se si so ..........
 4. wa we wi wo ..........
 5. ba be bi ..........  ..........
 6. 6 aihdiuam..........za
 7. k..........ti7 aygdyada
 8. 8 aiygduyadaya..........
 9. j..........ni9 iuauda
 10. 10 auygduyadas..........ba

Unganisha silabi hizi kuunda neno.

 1. da + da=........................................
 2. ki + ti =........................................
 3. da + wa =........................................
 4. ka + ka =........................................
 5. sa + sa=........................................ 

Linganisha jina na picha.

 16 auygduyad

Zoezi la (ii): Kuandika.
Imla: Mwalimu atakusomea maneno kisha uyaandike.

 1. ........................................
 2. ........................................
 3. ........................................
 4. .......................................
 5. .......................................

Majibu

 1. matatu
 2. taa
 3. nne
 4. watu
 5. Amu na matatu yake inayobeba watu.

Sehemu B

 1. mi, mo
 2. ke
 3. sa,su
 4. wu
 5. bo,bu
 6. e
 7. i
 8. i
 9. a
 10. a
 11. dada
 12. kiti
 13. dawa
 14. kaka
 15. sasa

16 casual lunch ad

 

 

Join our whatsapp group for latest updates

Download Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - Grade 1 Opener Exams Term 1 2023 Set 2.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.