Friday, 24 March 2023 09:54

Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - Grade 1 Opener Exams Term 1 2023 Set 3

Share via Whatsapp

MASWALI

SEHEMU YA KWANZA: KUSOMA (Alama 10)
Soma Kifungu hiki kwa utaratibu
Mamba alikuwa amepumzika kwake nyumbani. Paka naye alikuwa akimfukuza mtoto wa panya, kwa bahati mbaya aliingia ghafla kinywani mwa Mamba. Mamba alishtuka sana. alikohoa mara moja na akamtrema mtoto wa Panya. Paka naye alikuwa amemsubiri kwa hamu. Alimshika na kumla.

B. KUSIKILIZA NA KUONGEA (Alama 5)
Mwalimu amuulize mwanafunzi maswali naye ajibu

  1. Jina lako ni nani? ........................................................................
  2. Uko na miaka mingapi? ........................................................................
  3. Mwalimu wako anaitwa nani? ........................................................................
  4. Taja vifaa viwili vinapatikana shuleni 
    1. ........................................................................
    2. ........................................................................

SEHEMU YA PILI: LUGHA (Alama 25)

  1. Imla
    1. ..........................................................
    2. ..........................................................
    3. ..........................................................
    4. ..........................................................
  2. Jibu maamkuzi haya
    1. Habari? ..........................................................
    2. Hujambo? ..........................................................
    3. Shikamoo? ..........................................................
    4. Umeshindaje? ..........................................................
  3. Tumia "sisi" au "mimi" kujaza nafasi.
    1. ..........................................................tunasoma vitabu.
    2. ..........................................................tunakula chakula.
    3. ..........................................................tunaenda safari.
  4. Andika majina ya picha hizi
    1. paka
    2. kitabu
    3. kikombe
    4. mguu
  5. Andika kwa wingi
    1. mtu - ................................................
    2. mkoba - ................................................
    3. kisu - ................................................
    4. mtoto - ................................................
  6. Jaza pengo
    1. k___f___a
    2. s_h_ni
    3. t__nd___
  7. Tumia silabi katika jedwali kuunda maneno.
    7 hahgda
    1. ...........................................
    2. ...........................................
    3. ...........................................

MARKING SCHEME

Sehumu ya pili

  1.       
    1. mzuri
    2. sijambo
    3. marahaba
    4. nimeshinda vyema
  2.            
    1. sisi
    2. sisi
    3. sisi
  3.                 
    1. paka
    2. kitabu
    3. kikombe
    4. mguu
  4.                   
    1. watu
    2. mikoba
    3. visu
    4. watoto
  5.       
    1. kofia
    2. sahani
    3. tunda
  6.               
    1. mbu
    2. toka
    3. ala
    4. mto
    5. suka
    6. toto
    7. amu
    8. aba
      (neno lolote sahihi)

 

Join our whatsapp group for latest updates

Download Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - Grade 1 Opener Exams Term 1 2023 Set 3.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.