Friday, 24 March 2023 13:30

Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - Grade 1 MidTerm Exams Term 1 2023 Set 1

Share via Whatsapp

MASWALI

Kuzikiliza na kuongea

 1. Hujambo?
 2. Jina lako ni nani?
 3. Shule yako ni gani?
 4. Nieleze mambo kadhaa kuhusu shule yako?
 5. Mwalimu wako wa darasa ni nani?

Imla

 1. ........................................
 2. ........................................
 3. ........................................
 4. ........................................
 5. ........................................

Chagua jibu mwafaka

 1. Mti huu ni ........................................
  (refu/mrefu)
 2. Macho yangu ni........................................
  (mawili, mbili)

Unda maneno kulingana na silabi zifuatazo.

 1. ba........................................
 2. sha........................................

Andika kwa wingi

 1. mtoto........................................
 2. kitabu........................................
 3. kalamu........................................
 4. darasa........................................
 5. dirisha........................................

Andika kwa herufi kubwa

 1. nyanya........................................
 2. chungwa........................................
 3. Majani........................................

Chora picha hizi

 1. kitabu
 2. kalamu
 3. Damu ni ya rangi gani?

Andika majina ya picha hizi

 1. 26 1...........................................
 2. 27 1...........................................
 3. 28 1...........................................
 4. 29 1...........................................
 5. 30 1...........................................
 6. Mtu akijikwaa utamwambia...........................................
  (asante, pole)
 7. Maziwa ni ya rangi gani?...........................................
 8. Damu ni ya rangi gani?...........................................
 9. Mnyama anayetupa mayai ni...........................................
 10. Nguo ninazovaa shuleni huitwa?...........................................

Majibu

 1. mrefu
 2. mawili
 3. baba
 4. shambe
 5. watotot
 6. vitabu
 7. vilamu
 8. madarasa
 9. madirisha
 10. NYANYA
 11. CHUNGWA
 12. MAJANI
 13.    
 14.    
 15. nyekundu
 16. kikombe
 17. mti
 18. kiti
 19. kitabu
 20. meza
 21. pole
 22. nyeupe
 23. nyekundu
 24. kuku
 25. uniformu

Mazoezi ya Kusoma

Soma majina haya:

 1. hujambo
 2. nyumba
 3. mkebe
 4. ua
 5. safari
 6. ahadi
 7. mlango
 8. tarehe
 9. ghali
 10. dunia
 11. elimu
 12. mke
 13.  paka
 14. bweni
 15. damu

Soma sentensi kwa sauti:

 1. Mtoto anachea.
 2. Kitabu hiki ni changu.
 3. Nguo imefuliwa.
 4. Darasa letu ni safi.
 5. Chakula chetu ni kitamu.
Join our whatsapp group for latest updates

Download Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - Grade 1 MidTerm Exams Term 1 2023 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.